#Exclusive

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 8

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 วันที่ผ่านมา +2

    Simba Tumeshakupuuza

  • @AminaMohamed-o7p
    @AminaMohamed-o7p วันที่ผ่านมา +1

    Yaani ni heri mchawi kuliko mnafiki unalielewa hilo

  • @bulaasiywez7014
    @bulaasiywez7014 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa msema kwel

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina วันที่ผ่านมา +1

    Simba ikifanya vzr unaiponda yanga ata ikifanya vby unaisifia yani ata kuigiza ujui mwenzako dosa anakuacha mbali sana

  • @AminaMohamed-o7p
    @AminaMohamed-o7p วันที่ผ่านมา +2

    Acha unafiki, mbona simba hata ikifanya vzr unawasema vibaya, na yanga hata ifungwe ifanye vibaya unaitetea wewe ni mnafiki mkubwaaa mbwa wewee

  • @PamelaKasoyaga-l3k
    @PamelaKasoyaga-l3k วันที่ผ่านมา +1

    Sasa hivi wanalunyasi tumeamua hatufungui clip yoyote inayoonyesha mahojiano ya Mchome sababu ni mnafiki Mkubwa sana hata Simba ikifanya vizuri yeye kazi ni kuiponda timu na wachezaji wote. Sasa ya Nini kumsikiliza. Kazi kwenu media mnaotafuta viewers kama hamjashtuka shauri zenu.

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 วันที่ผ่านมา

    sawa Tumefungwa lakini sio goli 5

  • @AminaMohamed-o7p
    @AminaMohamed-o7p วันที่ผ่านมา +1

    Tena sura yaako inaonyeshaga huzuni kubwaa simba ikishinda,na inaonyesha huzuni yanga ikifungwa unakua mnyoongeeee unatuambia nn ww ,sisi sio watt