You can improve your Vocal tone by placement of mouth and facial expression,also by knowing proper placement of your glottal muscles,, Try to sing as if you want to smile,extend yourlips ,,make that voice as if your kinda mourning,,pleading with ease..+255712061252 find me for further details
Mr kiki kwanza asante kwa kunisaidia mpaka hapa. Nilikuwa na changamoto nyingi sana ila mpaka sasa nina tatizo moja la kushindwa kwenda na mdundo. Naomba kama utajali uje na somo hilo.
Mungu akubarik naelewa
Ahsanteni saaana
Yap brother barikiwa
Asante karibu Tena na tena
Ahsante Mr Kiki Mimi. Ni msanii wa bongo fleva nakufatiiilia
Karibu saaana
Big up bro sana
Asante sanaaaa
mungu atakulipa bror
Ameenah nawe pia atakubariki
Pamoja Kiki, twasonga,mbele thumbs up👉
Asante sana kaka, siku izi utowi videos tena brother kwakweli tunahitaji msada kutoka kwako
Sitoi sio kweli zipo mbona sema hufatilii Kila wiki nafanya ivyo
@@imbatokamoyoni2209 Asante sana kaka mungu akuhinue zaidi
Ameen
How to increase vocal tone
You can improve your Vocal tone by placement of mouth and facial expression,also by knowing proper placement of your glottal muscles,,
Try to sing as if you want to smile,extend yourlips ,,make that voice as if your kinda mourning,,pleading with ease..+255712061252 find me for further details
Kazi nzuri zaidi bro kiki watching from kenya
Kazi nzuri
Mnapatikana mkoa gan
Nipo Dar
@@imbatokamoyoni2209 dar maeneo gan
kaka unapatikana mkoa gani
+255712061252
Mbarikiwe sana watu Wangu
Im Kephnet i love u bro
Je wasps unapatika nataka unifunze
Yeah nipo sana+255712061252
Unanibariki nifundxhee kuimba aiseee
Mr kiki kwanza asante kwa kunisaidia mpaka hapa. Nilikuwa na changamoto nyingi sana ila mpaka sasa nina tatizo moja la kushindwa kwenda na mdundo. Naomba kama utajali uje na somo hilo.
Ok,usijali tutakuja nalo hilo muda si mrefu endelea kufuatilia waite na wengine
Asante
🙏🙏🙏🙏🙏
ningepata muda wa kukaa na wew hata wiki walah ningekua bonge LA mwimbaji
freshi kaka