ความคิดเห็น •

  • @DeboraMwandobo
    @DeboraMwandobo 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana dada Irene kuna kitu Mungu ameona kwako so usivunjike moyo we songa mbele

  • @Jowarilili-q5p
    @Jowarilili-q5p หลายเดือนก่อน

    ❤mungu ahangali upo wapi unafanya nn ao uliwai kuhuwa ao LA juwen ya kwamba mungu akimchaguwa mtu umtowa katika ukahaba Ata ujambazi na kumfanya kuwa mwana kondoo wa bwana ndo mana anahitwa mfalme wa aman akuja kwa ajili ya wa takatifu Bali sisi wenye zambi amem nakupenda Bure Irene fanya kazi ya mungu wala usiwe na hoga hohote ule mwamin mungu mwamin Yesu tarayari umekombolewa amem

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ikiwa ni kweli Mungu kasema ufanye kazi yake, Ufanye kwa uaminifu, Nitaku- support Kwa Maombi, Mungu Akubariki ❤🙏

  • @fatumamohamed9614
    @fatumamohamed9614 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana uwoya nimependa sana njia uliyo amua kupita endelea zaid na zaid 🙏🙏🙏

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 4 หลายเดือนก่อน +6

    Ireen Owoya fanya vile Mungu alivyoongea nawe na Mungu atakupigania, Muangalie Mungu atakushindia kwa mengi. 🔥🔥👍🏽

    • @NtuliSuzan
      @NtuliSuzan 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu yupi huyo ni marine kingdom?

    • @happinessmisanga4944
      @happinessmisanga4944 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu yupi na makope na manywele ya kisanii ya rangi kama anaenda kukata sebene

  • @DevotaMachite-io9nk
    @DevotaMachite-io9nk 4 หลายเดือนก่อน +5

    raha sana kuwa mrembo halafu mcha Mungu

  • @Gwahenye
    @Gwahenye 19 วันที่ผ่านมา

    iren hapo ni wapi?

  • @UpendoLangeni
    @UpendoLangeni 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤Yesu akutunze

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 4 หลายเดือนก่อน

    Uchungaji na sanaa,usanii na ulokole,kazi iendelee

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukung'arisha

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 4 หลายเดือนก่อน +13

    Kama kweli umeitwa na MUNGU umtumikie ungekaa chini ya wachungaji waliokoka wakufundishe NENO la MUNGU wala kwa konde boy, usingeenda, Nuru na giza huwa havichangamani

    • @evakessy3282
      @evakessy3282 4 หลายเดือนก่อน

      Acha upotoshaji Mungu hapingani na mazingira mbona mwamposa kaenda

    • @beatricesamwel8161
      @beatricesamwel8161 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@evakessy3282usiwe mbishi kaongea ukweli 2wakorintho6;14-18 soma

    • @emmanuelgyy7232
      @emmanuelgyy7232 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tumpe mda tafadhali.Mungu bado ananmfinyanga awe kama apendavyo..Tuzidi kumuombea..

    • @happinessmisanga4944
      @happinessmisanga4944 4 หลายเดือนก่อน +2

      Anajivuruga tu na atasomba wengi sana hasa wale wanaoenda na mkondo

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 3 หลายเดือนก่อน +3

      huyu ni Lusifa anamtumia

  • @righitkileo
    @righitkileo 3 หลายเดือนก่อน

    Mmh! Hay dada kanisa qan? Maana ulikuwa mroman na sasa

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kapendeza mno...❤❤❤

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 4 หลายเดือนก่อน

    Sure uwoya ..Cha muhimu apo ni kua consistent...maana Kaz ya mung..ni Kaz..inahitaj uvumilivi,,na kuomba sana....the world 🌎 is at end..be aware ..

  • @DativaValerian
    @DativaValerian 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani kila. Mtu anawaza pesa ila hawazi wapi atakuwa ikifika siku yenye vilio na wengi wanaosapoti mm simpingi ila kasomea huo uchungaji? Au ndo ile j2 ikifika unaambiwa njooni kuna keki ya upako, mafuta, maji, matunda bila neni

  • @veronicangailo7644
    @veronicangailo7644 3 หลายเดือนก่อน

    Ukae kwanza chini ya wachungaji ujifunze ndio utamke habari za uchungaji

  • @DativaValerian
    @DativaValerian 4 หลายเดือนก่อน

    Uchungaji kasomea wapi?

    • @IsaacMayengo-dz6iw
      @IsaacMayengo-dz6iw 4 หลายเดือนก่อน

      Neno la Mungu ni Roho , ni pumzi ya Mungu haina darasa. Kusoma ni kuongeza maarifa TU. Mtu anaitwa vyovyote alivyo. Hata awe na dhambi nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama theruji!!!!

  • @judy830-b5v
    @judy830-b5v 4 หลายเดือนก่อน

    ACHA kuchezea Imani, Mungu haziakiwi.

  • @silviasaleh4667
    @silviasaleh4667 4 หลายเดือนก่อน

    Je, mungu hakumuonya kuhusu vipodozi??

    • @show...002
      @show...002 4 หลายเดือนก่อน

      kwaiyo achakae😂😂😂😂😂

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@show...002😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gloryleon4187
    @gloryleon4187 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa Ni zamu ya mawigi ya upako,, tuwe makini watu wa Mungu

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 3 หลายเดือนก่อน

    Hizo hereni mizigo,ila jmn

  • @jacksonjamesndyabawe471
    @jacksonjamesndyabawe471 3 หลายเดือนก่อน

    Philimason.. Ametawala sana Tanzania.. Mungu awasahidie sana.. Wanao taka umaharufu na pesa za haraka.. Awape macho ya kuona... Vifungo awawezi kutoka huko

  • @reginaruta3249
    @reginaruta3249 4 หลายเดือนก่อน

    Ongera kama kweli umeokoka maana anayejua kuokoka kwako ni Mungu sio SIsi wanadamu. Ila najiuliza mtu unaokoka hapohapo unafungua kanisa? Bila hatakuka kujigunza kwanza? Kuokoka sio kitu lelemama. Nakufungua kanisa nikitu kinginena Je Mungu amesema na wewe kuhusu kufungua kanisa?

    • @AnnuGerelvas
      @AnnuGerelvas 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @EsterMhagama-fd1ln
    @EsterMhagama-fd1ln 4 หลายเดือนก่อน +1

    Haya sasa wameshindwa kutushawishi kwenye urembo sasa wanamtumia mungu km sehem ya kuonekana amemaliza kula.bata juzi tuu leo.kaja na neno la Mungu ndugu zangu hawa ndo manabii wa siku za mwisho tujihadhari nao hashindwi Irene kuwa na waumini ndo nyie mtakuwa makafara wao zumaridi yuko wap mzee wa upako je yu wap

  • @AlexTitto-m7r
    @AlexTitto-m7r 4 หลายเดือนก่อน +4

    Dada endelea kumtumikia MUNGU

  • @DativaValerian
    @DativaValerian 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani serikali chukueni kodi na makanisani maana huko kuna viwanda, mwamposa kila j2 anachakufanya ili ajaze watu ivi kama umeitwa uwasaidie watu mbona unataka pesa? Si ujiombee na ww uwe nazo mpaka mtakatishe mifuko ya watu jamani?

    • @gaudeciajackson8398
      @gaudeciajackson8398 4 หลายเดือนก่อน

      Kasome viz neno,unaambiwa watakula mmadhabahuni

  • @kisoso890
    @kisoso890 4 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi waandishi wa siku hizi mnaboa sana hamjiandai na maswali mkifika kuhoji mtu mnazunguka sana mpaka mnahoji upumbavu tu jifunzeni kuandaa maswali na muulize one 2 one sio mnaanza kuzunguka so far so far ni nini hiki ukiwa muandishi professional unatakiwa ukienda kumuhoji mtu ujue kabisa unaenda kuhoji kitu gani lakini siku hizi mnaondoka na makamera yenu mnaenda kwenye hafla mkimuona mtu mnamvamia mradi mmepata habari

  • @SeifJuma-yt1pk
    @SeifJuma-yt1pk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ondoa mapambo kwanza

  • @farajapeasonmagota8226
    @farajapeasonmagota8226 4 หลายเดือนก่อน

    Andika ushuhuda kwenye TH-cam kuna hayo mapambo dada Mungu hapendi

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 4 หลายเดือนก่อน

    Kuishi kwinginkuona mengi jamani

  • @bululaomary8494
    @bululaomary8494 4 หลายเดือนก่อน

    Mhh ndio maana mivua ya ajabu inanyesha dini Gani isiyokua na mipaka

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 4 หลายเดือนก่อน

    Hahahhaha anatega hela za sadaka hahhaa awa wezi awa

  • @alsam4881
    @alsam4881 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa baadhi ya wasanii wakishaona umri umeenda basi utawaona aidha wanataka kuingia serikalini na kuwa wabunge ili wapate pesa za kodi za wananchi au wanaingia kwenye dini na kuwa wachungaji ili wapige pesa za sadaka, kwa mfano akina Mc pilipili, Masanja Mkandamizaji, Monalove n.k, Wanataka kutajirika kwa pesa za watu masikini.

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nice uwoya kuachana na Dunia

  • @pastoreliya663
    @pastoreliya663 3 หลายเดือนก่อน

    Ndugu Zangu Hizi Siyo Biblia ,Jamani Zimetoka Kuzimu Yaani Zina Mambo Ya Kishetani Msinunue wala kuchukuwa ,

    • @OlyUpowerfuljesus
      @OlyUpowerfuljesus 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa hv ukinunua Bible hakikisha unajua Ina Nini ndani kabla hujampa mtoto na hakikisha unajua wachapishaji wake ni akina nani.
      Mimi sio mkamilifu ila nawasikitikia waamini wa Hilo Kanisa

  • @raiyaomary1988
    @raiyaomary1988 4 หลายเดือนก่อน

    Unapendeza kuwa mama mchungaji.nakupenda bure

    • @DativaValerian
      @DativaValerian 4 หลายเดือนก่อน

      Na baba mchungaji nani?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@DativaValerian😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @protasraphael6961
    @protasraphael6961 4 หลายเดือนก่อน

    Apo hamna kanisa ni maigizo kama tunayoyaona huku mitaani

  • @josiasntakisigaye-sv4ot
    @josiasntakisigaye-sv4ot 3 หลายเดือนก่อน

    Msiingie barazani pa wenye mizaha haku Mungu wa utukufu aache utukufu aje kwene tamasha La hivo we we umewezaje kufika hapo

  • @GodwinNgoga
    @GodwinNgoga 4 หลายเดือนก่อน

    Tapeli hyo aache kwnd kwa mpaa kbs hyu

  • @pastoreliya663
    @pastoreliya663 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bibilia Hipo Wazi Kusikiliza Bongo Fleva Ni Dhambi ,Tito 1:15-16 , ,Huyo ni ajent Freemason Huyo Alivyo Tu Mungu Anawakataa kwa matendo ,Someni Maandiko

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 4 หลายเดือนก่อน

    baada ya miaka mitano ijayo Uwoya ataanza kutafuta mwanaume wa kumuoa lakini hatokua sababu kwa sasa anajiona bado mrembo na mzuri....

    • @winnerlucas5924
      @winnerlucas5924 4 หลายเดือนก่อน

      Alishaolewa ndoa mbili hamna jipya kwake

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makanisa namalayaa

  • @NaturalAnimals-cp7uw
    @NaturalAnimals-cp7uw 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nina miaka 30 na sijawahi kuona biblia nyekundu ????
    Neno la MUNGU linasema wengi watakuja kwa jina langu, : Wanadamu tunapoteya kwakukosa maarifa . 😅😂😂

    • @janesuma-is4wc
      @janesuma-is4wc หลายเดือนก่อน

      Yangu ni nyekundu na haina tifauti na nyeusi ni kava tu ndugu cha muhimu ni kujiuliza kweli uyu dada kaitwa na Mungu ilo ndilo la msingi

  • @SolixTofresh-em8rx
    @SolixTofresh-em8rx 4 หลายเดือนก่อน

    Sura mbayaaa

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 4 หลายเดือนก่อน

      Tuma yako tuione

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@mwitaagness455😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @NeemaKayinga
    @NeemaKayinga 4 หลายเดือนก่อน +1

    ayo matatoo aliyochora sasa

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 4 หลายเดือนก่อน

    This is just a game let sit down and watch it

  • @VenasiaEmmanuel
    @VenasiaEmmanuel 4 หลายเดือนก่อน

    Siku hizi kanisa imekuwa biashara.mbona hawafungui misikiti?

    • @rubbymusa1971
      @rubbymusa1971 4 หลายเดือนก่อน

      Tunakushughulikia ipasavyo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@rubbymusa1971😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @DativaValerian
    @DativaValerian 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe fungua hadi kuzimu ila mungu anayo orodha ya watu wake ila kama wamuhitaji kweli utaongezwa kwenye orodha

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa hyo Irene uwoya nae ana roho mtakatifu sio???

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 4 หลายเดือนก่อน +3

      Ndugu yangu acha kumtaka ROHO MTAKATIFU kwenye upuuzi kama huu hao ni wale wanaotumwa kuzimu Ili KUWAPELEKA watu kuzima wameona hakuna namna ya kuwashika watu Ila ni kwa namna ya kujifanya wana muhubiri KRISTO. Watakuja wengi km hao kuweni macho shetani yupo kazini

    • @azaransari7307
      @azaransari7307 4 หลายเดือนก่อน

      Ukimkiri Yesu Kristo kuwa Bwana wa maisha yako automatically unapokea Roho Mtakatifu

    • @azaransari7307
      @azaransari7307 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@blandinajoseph1291
      Unakosea nani ageweza kujua Mtume Paulo ambaye alikuwa Sauli alikuwa chombo kiteule cha Mungu? Njia za Mungu na Akili za Mungu hazichunguzike

    • @blandinajoseph1291
      @blandinajoseph1291 4 หลายเดือนก่อน

      @@azaransari7307 hufahamu ndiyo maana UNASEMA hivyo

  • @AminaMgenzi
    @AminaMgenzi 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu woya anatfta Kiki tu umeona mchungaj anaenda kwenye mizk ya kidunia 😂😂😂😂😂 adange tu

  • @bongo39
    @bongo39 4 หลายเดือนก่อน

    Kanisa ndio dili sasahivi ndio kwenye pesa michango kibao keshaona umri umeenda na usanii haimlipi tena umri sii unajua tena kaona mbali anaogooa fainali uzeeni

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 4 หลายเดือนก่อน

    Ulale nakuamka umefung8a kanisa duuuh

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 3 หลายเดือนก่อน +2

    Malikia wa kuzimu wamejaa wengi sana. Mtu akigusa tu, nafsi imekwenda na maji. 😂😂😂🤣. Freemason wametegesha mtego kwenye dumu lenye asali.

  • @mulolemary1317
    @mulolemary1317 4 หลายเดือนก่อน +1

    I wish angekuwa muislam ninavyopenda

  • @JosephMtambo-b6k
    @JosephMtambo-b6k 27 วันที่ผ่านมา

    MUNGU hajakupa kibali ww msaka tonge

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae ni tapeli

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bible za kuhamasisha ushoga izo

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 4 หลายเดือนก่อน

    Shetani kaamua kuwa Malaika safi???!!!!!

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 4 หลายเดือนก่อน

    Heee😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @africa7479
    @africa7479 4 หลายเดือนก่อน

    hahahahahahaha hii dini hii

  • @pastorbarakangata606
    @pastorbarakangata606 4 หลายเดือนก่อน

    kinapa moyo kishetani kupotosha watu

  • @hawasaid5286
    @hawasaid5286 4 หลายเดือนก่อน

    The devil is at work

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 4 หลายเดือนก่อน

    Freemason tu

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 4 หลายเดือนก่อน +4

    Acha kisingiziya Mungu. Uyo Freemnss wenu mukisha kula hela zake munakuja najia ya Mungu 😂

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani Mungu ni mali ya nani??

    • @samehewaliokukoseya2605
      @samehewaliokukoseya2605 4 หลายเดือนก่อน

      @@malkiarosemuhando3310 yako 🤣

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@samehewaliokukoseya2605😂😂 jamani

    • @VenasiaEmmanuel
      @VenasiaEmmanuel 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yani kila mtu akiamka anafungua kanisa fungueni na misikiti.

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 4 หลายเดือนก่อน +1

      Nakumbuka story ya marehemu kanumba vile aliambiwa afungue kanisa.........

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 4 หลายเดือนก่อน

    Ni wajinga sana wanao kupinga maendeleo yako wanakuonea wivu wa maisha

    • @DativaValerian
      @DativaValerian 4 หลายเดือนก่อน

      Si unaona sisi tunaongelea kuhusu kweli katummwa na mungu ww unawaza wivu wa maisha au unazani utaenda kuwa mshika maiki wake?

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukung'arisha

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uchungaji na sanaa,usanii na ulokole,kazi iendelee

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤