HUYU NDIO TAJIRI WA LAVALAVA ANAYETREND, AWEKA WAZI KUHUSU UTAJIRI WAKE/WIMBO HAUJAKAA KICHAWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 75

  • @mannyboytz
    @mannyboytz ปีที่แล้ว +16

    Sema bonge wa watu yuko peace ✌️

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 ปีที่แล้ว +15

    DJ PAFFY 🏹 flexible 🏹 Man THe Boss 💯🤜 mwamba wa amani...

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 ปีที่แล้ว +13

    Jamaaa yuko poa sana. Big up sana big dj bafi.

  • @beatricesisso8885
    @beatricesisso8885 10 หลายเดือนก่อน

    Huna baya Tajiri🥰🍀💐

  • @godfreypatrick510
    @godfreypatrick510 ปีที่แล้ว +7

    Tajiriiii

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +7

    😳😳😳😳kumbe lava lava anatrendi halafu hamniambii 😄😄😄

  • @hancybrouwn5032
    @hancybrouwn5032 ปีที่แล้ว +8

    Safi sanaaaaaaa

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo ปีที่แล้ว +7

    Big b.i.g safi broo nakubari

  • @yusufm1
    @yusufm1 ปีที่แล้ว +13

    Bafanaa You Nailed This One Fam 👊🏼📌

  • @MwigaKatumpula-mi3zt
    @MwigaKatumpula-mi3zt ปีที่แล้ว +33

    Tanzania ndio nchi pekee ambayo mtu akiwa bonge ndio anaonekana mwenye pesa boss 🙆🙌🏃😃

  • @francomwacha2262
    @francomwacha2262 ปีที่แล้ว +5

    Kwa mwili huo ningeckitika kama Angekua Hana fwedha 😄 🤣

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว +12

    Haya Sasa kina mwijaku na baba levo na uchawa wenu.. huyu hapa Sasa tajiri.. fursa ndio hii sasa msichelewe kuwa machawa wake..😂😂😂

  • @dynamicmwakibinga4371
    @dynamicmwakibinga4371 ปีที่แล้ว +1

    Wewe kweli Tajiri!!!!!!

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 ปีที่แล้ว +4

    Tajiri ameuwaaaaaaaa humu

  • @sadickponera2464
    @sadickponera2464 ปีที่แล้ว +11

    Mwana walimwacha na biriiiii😂😂😂😂 kumbe 😂😂😂

  • @moneythemes
    @moneythemes ปีที่แล้ว +14

    CommuNection😊, nadhani ni muunganiko wa maneno mawili Communication na Connection,kiubunifu kabisa kutoka kwa tajiri. TAJIRI .....TAJIRI....

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 ปีที่แล้ว +8

    Usipopunguza huo unene kisukari nakuombea Mungu uwe na Moyo wa kupunguza mwili kw kulinda afya

    • @noahmdeka5783
      @noahmdeka5783 ปีที่แล้ว

      Kisukar sio unene dogo

    • @nodiebwoy
      @nodiebwoy ปีที่แล้ว

      ​@@noahmdeka5783unene ni kisabishi cha sukari, visababishi vingine ni pombe

  • @stevennyondo2215
    @stevennyondo2215 ปีที่แล้ว +7

    Bongo ukiwa mnene automatically wewe tajiri 😂😂😂

  • @djhajiztz
    @djhajiztz ปีที่แล้ว +3

    Umeua kwenye tajiri

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 ปีที่แล้ว +4

    Kaua kino tajiri

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 ปีที่แล้ว +2

    Mwijaku asimkaribie

  • @bensonwanjohi7111
    @bensonwanjohi7111 ปีที่แล้ว +4

    jamaa roho sana

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 ปีที่แล้ว +2

    Afanze tize apunguke hico kimwiri

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc ปีที่แล้ว +1

    Kwani we unaonaje😅😅😅

  • @ayubukedimundi3221
    @ayubukedimundi3221 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali Sana kiukweli lavalava emuwa Sana

  • @ESquareMasauti
    @ESquareMasauti ปีที่แล้ว +2

    Tsjiri

  • @edozumba5339
    @edozumba5339 ปีที่แล้ว +5

    Nani kwanza akubari upande kwenye mzani wake

  • @abdoulazizalimohamed7995
    @abdoulazizalimohamed7995 ปีที่แล้ว +12

    Wandichi wa bongo mna content za kipuzi sana

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว

      Wewe kama mimi. Sikuhizi vyombo vya habari ni matatizo sana hasa mitandaoni nikutafuta view

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 ปีที่แล้ว

      Vunguwa radio station yako ao online Madia, Kisha ufanye mambo mazuri

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว

      @@vanemmy6043 comment ni maneno ya kiingereza yenye maana ya MAONI kwa kiswahili. Kama aliyeweka vudeo kaacha wazi sehemu ya maoni anamaanisha watu waweke maoni yao. Maoni ni mtazamo. Katika mitazamo tunatofautiana. Huyu aliyetoa maoni anatakiwa kujibiwa na walioweka video waseme afungue redio yake sio sisi tunaotakiwa kiweka maoni ndiotunamjibu.

  • @saidi1365
    @saidi1365 ปีที่แล้ว +2

    Tajir

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 ปีที่แล้ว +1

    Unahoji au mnapiga stori

  • @loth5
    @loth5 ปีที่แล้ว +3

    tajir mwili umem-beba .. jamaa kaua

  • @Delomar3
    @Delomar3 ปีที่แล้ว +2

    Mnaigeria flani hivi

  • @lyamcyjunior
    @lyamcyjunior ปีที่แล้ว +2

    oyah dj baffy nguo unanunua wapi?

  • @susankahindi244
    @susankahindi244 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah 😘❤️🙏😅

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 ปีที่แล้ว +4

    Ukifa hauozi tajiri😂😂

  • @nurdininanjota4056
    @nurdininanjota4056 ปีที่แล้ว +5

    Tajiri🔥

    • @nicholasmwangome7979
      @nicholasmwangome7979 ปีที่แล้ว +2

      Huyu mwamba twataka watu kama hawa tanzania watu wa roho safi kabisa yaani

    • @nurdininanjota4056
      @nurdininanjota4056 ปีที่แล้ว

      @@nicholasmwangome7979 sahihi man

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 ปีที่แล้ว +5

    Tajiri kama Tajirii😂😂😂 Mbwa tajirii.😂😂😂

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 ปีที่แล้ว +4

    Nchi sahv kila kitu mziki mziki tu,hv hkn mambo mengine ehhh

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 ปีที่แล้ว +1

      Nenda tbc na itv utapat ayo mengn

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 ปีที่แล้ว +2

      Nenda ayo tv grobo itv tbc Kuna vifo ajali kuchinjana byeeeee

    • @mustaphajaphar6166
      @mustaphajaphar6166 ปีที่แล้ว

      Mpaka ligi ianze

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 ปีที่แล้ว

      wakati we mwenyewe unajiuliza hayo maswali mbona we upo kwenye kufuatilia muziki

    • @abdulymaeda2697
      @abdulymaeda2697 ปีที่แล้ว

      Usisikilize

  • @iamdjgunz1414
    @iamdjgunz1414 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anafanana na Panda kisenge!😂😂

    • @udizungwahimalaya5213
      @udizungwahimalaya5213 ปีที่แล้ว

      Panda yule mnyama ama😂😂😂😂 uyup😂😂😂😂😂😂

    • @afreyghp34
      @afreyghp34 ปีที่แล้ว

      😂😁😅

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla ปีที่แล้ว

      cumamake

  • @mirroyjunior8348
    @mirroyjunior8348 ปีที่แล้ว +7

    Tajili 🤣🤣🤣

  • @DanielSanga-uy7ln
    @DanielSanga-uy7ln ปีที่แล้ว +5

    media nyingi zisinge kuwa na bifu za kijinga kama hapo nyuma nazani tungekua na wasani kama mond hata kumi hata wasafi isinge kuwa kubwa kiasi kile. .. mpende adui yako

  • @jacklinejohn222
    @jacklinejohn222 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 10 หลายเดือนก่อน

      Njoo tajiri yangu ni wewe

  • @SaumuNinga-np5zb
    @SaumuNinga-np5zb ปีที่แล้ว +4

    Bonge la mwili au matatizo ayo

  • @blackblue9729
    @blackblue9729 ปีที่แล้ว +3

    Wazee wa KOKOTO 🤣🤣

  • @NM-yl2uw
    @NM-yl2uw ปีที่แล้ว +3

    hatuna mwandishi apa hivi huwa mnawaokota wapi maana masali ya kitoto sana

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 ปีที่แล้ว +1

      Mbona we mwenyewe kuandika hujui eti masali ndo nini

    • @presenterkabuma1646
      @presenterkabuma1646 ปีที่แล้ว +1

      Acha majungu kimba wewe

  • @josephluvanga5233
    @josephluvanga5233 ปีที่แล้ว +2

    Gasho huyu