Ni utaalam wa hali ya juu sana, hasa katika kufikia sehemu ya bahari ili kupata eneo la kujenga hotel hii, very nice! Ila tukumbuke pia kuna kitu kinaitwa the power of nature. The power of nature ( nguvu ya hasili ya kitu fulani ) hasa baharini uonekana kupitia haya matsunami na vimbunga vikubwa vyenye uwezo wa kung'oa majengo makubwa pembezoni mwa bahari na kuharibu vyombo vyote vya usafiri huko baharini kama tunavyo shuhudia mara nyingi ikitokea katika nchi za hasa Japan, Indonesia, Marekani nk ! Hivyo Mungu atuhifadhi salama !
Asalama aleykum, mm nampenda kujiuliza na huku nikichekeshwa. Kwa wanawake, hivi wanajifanya wanaakili kuliko muumba Allah. Eti wanajifunika kichwa lkn kuanzia maziwa mpaka tupu Za chini zipo uchi, je uwo uislam?. Au kristomusluma, maana Mtume Muhammad S.A.W kesema hadith zake zote mwanamke ni marufuku kuonesha mwili wake, na ha ulivyo , maana suruwali Za mbano sket kibuno nnje. BC Yanni km ww umeamua kukoga bahari ya Shetani koga tu, Allah atakusubiri na adhabu yake kali. Msijidanganye kinafsi kuwa mm nimejihifadhi. Think before you done
@@castrolk.ezekiel7426 asalama aleykum km SS waslamu tunapinga upuzi uwo, unaleta njaa, fitna uharibifu wa imani na dini, Pía ndio ngome Za kishetani wanawake , lkn wauizeni wa ulaya wanoenda uchi km walivyozaliwa nn faida yake wanapata, ni zinaa wanafanyiwa km kunywa kikombe chamaji wakati wowote , popote . Awo ndo wanaleta haki Za mabaradhuli wanawake, Lkn SS tunataka Zanzibar iwe na dola ya kislamu mwizi akatwe mkono muaji auliwe na mizinifu mikwaju au mawe. Apo ubakaji hautokuwepo wala uwaji na wizi, awe polisi waziri au raisi afanyiwe sawasawa. Kila wakijieka uchi ndo wanajishusha thamali Yao. Allah anajua mlokuwa hamuyajuwi. Suratul Nisaai Think before you done.
Ni utaalam wa hali ya juu sana, hasa katika kufikia sehemu ya bahari ili kupata eneo la kujenga hotel hii, very nice!
Ila tukumbuke pia kuna kitu kinaitwa the power of nature. The power of nature ( nguvu ya hasili ya kitu fulani ) hasa baharini uonekana kupitia haya matsunami na vimbunga vikubwa vyenye uwezo wa kung'oa majengo makubwa pembezoni mwa bahari na kuharibu vyombo vyote vya usafiri huko baharini kama tunavyo shuhudia mara nyingi ikitokea katika nchi za hasa Japan, Indonesia, Marekani nk !
Hivyo Mungu atuhifadhi salama !
Wasanii sasa hawaenda kuigizia south Africa watabaki hapa
Amazing resort. Love it!
I been to verde :o is amazing! W my family
Samahanin wakubwa ..nilikuwa naomba p.o.box namba
Big up bahresa home home tu
Wangetoa no ingekua rahisi kujua gharama pia
Nice😍😍😍😍
good place
Kama malaika beach hotel mwanza, zanzibar kama mwanza
unaanza kufananisha maiti na watu xx
Mwanza ?
@@ahmadhaji9293 aka rock city
Nice
Tunasubili No afanye mambo kama haya
Wow
Nimekumiss my home jamani
Shkamoo bwana pesa
Nice one ,can i get ypur contact?
iko wapi hii hotel
Iko Mtoni Zanzibar
Fumba
Asalama aleykum, mm nampenda kujiuliza na huku nikichekeshwa. Kwa wanawake, hivi wanajifanya wanaakili kuliko muumba Allah.
Eti wanajifunika kichwa lkn kuanzia maziwa mpaka tupu Za chini zipo uchi, je uwo uislam?.
Au kristomusluma, maana Mtume Muhammad S.A.W kesema hadith zake zote mwanamke ni marufuku kuonesha mwili wake, na ha ulivyo , maana suruwali Za mbano sket kibuno nnje.
BC Yanni km ww umeamua kukoga bahari ya Shetani koga tu,
Allah atakusubiri na adhabu yake kali.
Msijidanganye kinafsi kuwa mm nimejihifadhi.
Think before you done
Hivi wakati unaandika maneno hayo umejitafakari na kujiona kuwa wewe ni mkamilifu?
Naomba kazi
Afu ukiristo hapo unahusikaje?
@@castrolk.ezekiel7426 asalama aleykum km SS waslamu tunapinga upuzi uwo, unaleta njaa, fitna uharibifu wa imani na dini, Pía ndio ngome Za kishetani wanawake , lkn wauizeni wa ulaya wanoenda uchi km walivyozaliwa nn faida yake wanapata, ni zinaa wanafanyiwa km kunywa kikombe chamaji wakati wowote , popote . Awo ndo wanaleta haki Za mabaradhuli wanawake,
Lkn SS tunataka Zanzibar iwe na dola ya kislamu mwizi akatwe mkono muaji auliwe na mizinifu mikwaju au mawe. Apo ubakaji hautokuwepo wala uwaji na wizi, awe polisi waziri au raisi afanyiwe sawasawa.
Kila wakijieka uchi ndo wanajishusha thamali Yao.
Allah anajua mlokuwa hamuyajuwi.
Suratul Nisaai
Think before you done.