Watangazaji ni waongo
Indonga ka score sanaa mtangi mchumba tu kampiga mwenzake ngumi nyingi za kisogoni
Sheria iko hivi mtu akianguka hapigwi ila mtangi kaendelea kumpiga mwenzake na refa yupo hapohapo
Shame one mtangi
Huyo Richard mtangi arudi tena shule maana kuna vitu bado makocha kama mmeona mrekebisheni huyo bondia wenu
Unapigana na bingwa wa dunia
#Sawa
Afundishiki
Huyo mtangi si bondia
Pambano la mchongo
Huyu dogo aloshindi afunzwe tena vip asimame ili awe na balanzi ya kurusha ngumu
Lamchongo hilo hamna kitu.
Uyo dogo bado kabisa,pambano kama la mchongo
Terence alimuumiza vibaya sana vinaya sana tumbo la indongo