I thought you people mnataka kuwa kenya na mkuze kenya huku TZ mnakuja kufanya nini we dont need you kaeni huko huko mnaongea upumbavu mitandaoni ila deep down hamna pakwenda zaidi ya TZ, mnajua sisi ndio tumeshikilia east africa nothing more mnaleta dharau kabla hamjavuka mto, wewe katumbili si ndio ulikuwa unamwambia cassipool kua asimame na wakenya au kiki ishaisha bakieni kenya hatuwatakiiiiiiiiiii.
Watakuja Sana na ni ndugu zetu na tutawapokea na tutawapenda cause ni ndugu zetu tu utaki kwenda uko Tanzania na Kenya one family ❤❤❤❤❤ Acha kuleta habari za Kiki. Babalevo alienda Kenya juzi hvyo na wao wakija kwetu lazima tuwapokee ni familia yetu acheni mambo yanayo vunja umoja wetu east Africa
❤❤ keep winning 2mbili 💪 alafu kuna mwingine anaitwa CASIFOOL anaenda 🇹🇿na bus 🚌 alafu ako na audacity ya ku address Kenyans
Very nice. Continue working. Hard😂😅😊😊😊
Keep winning 2mbill God akubless uko na heart poa sana umeshika dem wa fcb sana jah bless❤❤❤🎉🎉🎉🎉
2mbili... Do your best... Wakisha comedy uko Tz
People hate you 2mbili but God is taking you far through them keep shining bro
❤️❤️🙏🙏
Keep on pushing we like you so much tumbili
Keep going Mr 2Mbili and may God bless you more more 🙏🙏❤️❤️🥰
🔥2mbili to the top🔥
Hellow 2mbili tv tupige interview Im KING CEEJAY a kenyan Hip Hop Rapper 💯🔥🔥🎵
Sawa brooo
Keep winning
God bless you ❤❤❤
We love you tumbili but iyo jina kuita jukwani
😂
TUKUS NDYO NN BABA LEVO
Tumbili team bebii we love you all the best
❤️❤️❤️
I thought you people mnataka kuwa kenya na mkuze kenya huku TZ mnakuja kufanya nini we dont need you kaeni huko huko mnaongea upumbavu mitandaoni ila deep down hamna pakwenda zaidi ya TZ, mnajua sisi ndio tumeshikilia east africa nothing more mnaleta dharau kabla hamjavuka mto, wewe katumbili si ndio ulikuwa unamwambia cassipool kua asimame na wakenya au kiki ishaisha bakieni kenya hatuwatakiiiiiiiiiii.
Ati TZ imeshikilia East Africa? You must be joking or uninformed!
vitu za online usieke kwa roho nothing serious. hizo ni kiki tu
@@victormuricho7468mgeni na mitandao huyo achana nae..
Watakuja Sana na ni ndugu zetu na tutawapokea na tutawapenda cause ni ndugu zetu tu utaki kwenda uko Tanzania na Kenya one family ❤❤❤❤❤ Acha kuleta habari za Kiki. Babalevo alienda Kenya juzi hvyo na wao wakija kwetu lazima tuwapokee ni familia yetu acheni mambo yanayo vunja umoja wetu east Africa
This Tz guy talks ill about kenya alafu anakuja hapa kusema nini