Huyu jamaa ni hatari sana, kwa sisi tunaoujua mziki tunajua ni nini anafanya... personal naona jamaa ana-deserve a plaque. Anajua jinsi ya kucheza na lugha... ana switch flow, iwe drill song kama hii or hard hip-hop still anatembea nazo vizuri kabisa.
Yasss Mex. We killin' em!!!! This is our season. Let's goooo Manimendra. This is the heat the world needs right now. This new song and album is 🔥 🎉. Tanzania to the world!!! 🇹🇿 Signed, Management ❤️
Now Max your going to the Big Big spender,I see you going so far and take the Tanzania/East Africa/Africa to International Levels.Surely you gonna win that Grammy my G! I’m officially your number 1 fans Tanzania boy Kelvin “Geek” The Krumper all the way from Toronto,Canada. Wish you all the best!
Mdogo wangu unaogopesha sana😢
❤
Duh bonge la ngoma sipatii picha remix yake
Ha ha haahah aha
kaka mwambie jamaa apunguze yai nyumbani anatuacha sana 🤣🙌
Kwa upande wangu mex ndo raper anatisha na anajua zaid kuliko wote hapa bongo 🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Nakuona parefu sana Mr. MANIMENDRA
Nikki mbishi kaipenda sana hii kila akiskiliza anacoment mwamba ni mkali
@@jimmyx8412 H ah ahaha
Kunawasenge fkani ivi wataanza kukomenti team kelele gonga like hapa akati madini tunayo hitaji ndiyo Aya d take easy
th-cam.com/video/mWupTAYB-j4/w-d-xo.htmlsi=pIQjM_YRP4a4j8CO
th-cam.com/video/mWupTAYB-j4/w-d-xo.htmlsi=pIQjM_YRP4a4j8CO
Mex kama angekua anazingatiwa kama hakina lunya angekua mbali sana
Niaje sijawahi huyu msee🔥🔥🔥
Bonge la ngoma.. Endelea hivyohivyo Bandugu,unapatia sana
Eee bana Dah 🇹🇿💪🔥
❤❤❤ love nyingi kwako mex apa wa Kenya watesema yootee bado ndo intro tuuuu
Tanzanian 🇹🇿 steph capella from Kenya 🇰🇪
“Right when I capture a Casper he vanished” hii line itakuwa ime pita over many heads! Killing Ghost writers
umegonga ndipo ♨️♨️♨️
Kharigraph anasemaj 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 kwamives hibong nyongo 🇹🇿 is❤❤❤❤
Huyu jamaa ni hatari sana, kwa sisi tunaoujua mziki tunajua ni nini anafanya... personal naona jamaa ana-deserve a plaque. Anajua jinsi ya kucheza na lugha... ana switch flow, iwe drill song kama hii or hard hip-hop still anatembea nazo vizuri kabisa.
Mwamba is so talented
"Leave you in a quantum state" noma sana artist na scientist at the same time nimeelewa kwanin khaligraph alimtaja uyu jamaa ni anajua mpaka sio vzr 💯
Huyu anataka kuiheshimisha Hip Hop ya Bongo n Rapper next Level...
Tulikua tunasubir hiz kaz🔥🔥🔥🔥
We put hennesy in big dispenser 🔥🔥
Kaza mwanangu kama A. K. A we miss him cover gape mwamba
International Rapper🙌
Yasss Mex. We killin' em!!!! This is our season. Let's goooo Manimendra. This is the heat the world needs right now. This new song and album is 🔥 🎉. Tanzania to the world!!! 🇹🇿 Signed, Management ❤️
Sheesh 🔥🔥🔥💯💯bruv ain't even spitting he's drippn saliva...Your fan from🇰🇪🇰🇪much love Cortez
Safi sana kijana tunaliona soko la kimataifa
Ni vile lugha inasumbua Bongo Ila Huyu Ni Nyoko hashikiki
Nakubali bro...OG ataona hii✌💪
Nakubali wadunia
The only one who is on level za khaligraph Jones love from 254
Mex level nyingineeeeee aseee
Let goooooo
Jamaa ana kitu kubwa sana akipewa nafas ,,khaligraph hagus hapa fire
Tz media should support this greatest rapper in Tz
Problem tanzanians can consume English n they won't support him but let him target global market for this cox the guy can spit
@@bryanabudho6244BT Mex Ni bilingual
Huyu jamaa ni heavy weight MC 🙌
what the heeeeeeeeeel, hi mutu inajua manimendra sijajua ina maana gan ila sis wa tz tunamuunderate sijui kwann hi ni next level mzee
Manimendra ni jina lake
Kiwango Cha Juu.
Mex NI neno jengine kbsaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🙌
Hii kitu Ina vibe
Mwanangu wa DIT🔥
Huyu jamaa ni mnoma
Smart mental flow
huyu jamaa ni mkalii banaa
Uyu so MTU wa kawaida 😢
Unajua mzee keep pushing bro 🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ngoma kali sana
Supiri Aiyaaa
Mex fan can like it's song's amezing ⭐🌍
Hili ni zaidi ya PINI , Hili ni PINA wananguuu
Oyah! Hii Crown Nakuvisha Wewe 👑 Embu Tupeleke International Muda Ndiyo Huu ✍️
Mbwa koko na Mbuzi wakalale sasa.🇹🇿
Moto Sana🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Bonge la kopo boi mex..salute sana 254 to Doha
Hii imeendaaaaaa cose ni motoooo
The Top Tier 🇬🇭 representing🔥🔥
Nakubali sana mzee Mex kazi kali sana tena nzuri All time Rapper of Tanzania 🇹🇿
Yan mshikaji namkubali san anajua san sema bongo sio level yako tafuta connection mbele uku ushavuka
Jeez..!! 🥶🔥 kama siyo mbongo 🔥🙌
Pure Michano Hip Hop 🔥🔥👊
King solomon in rap 👑👑
Dopest in the East ..kubwa sana ii
Eeeeehhsikupingi mzee baba
Big up bro🇺🇬🇹🇿🇰🇪
/Tatizo Nikisema kitu leo nyie mnaanza kuidigest mwakani/
/Hizi ni milage za Grammy/
🔥🔥🔥🔥
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿mex cortez wewe jamaa ni sumuuuuu❤❤
Bongo hii sio USA
🇰🇪🇰🇪 leathal salute
Damn man Fire 🔥
Yesiiirrrrrrr🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🚀🚀🚀🚀
Hip hop Tanzania 🔥🔥 to the world 🌎🌍🌎
Mzee wa kazi, in the building lyrics on point 🔥🔥🔥🔥💯
Huyujamaaa noma kwanza anapimzi na anapigangeli hatri
This should be in the top of billboard ayye❤
Leave you in a quantum state 🔥🔥🔥
Moto Sana 💪
Huyu Jamaa ni mnoma mno. Huu ndio muziki sasa
Mex corteeeeeeeeeeezzzzz
From Dr congo Bukavu 🇨🇩❤❤❤ una Tisha brother
Heavy bars plus flow
🔥🔥🔥🙌🏾
Huyu ndiyo anabeba hip-hop ya bongo ❤
oyaeee 🎉🎉🎉🎉 like kwa mex
Hip hop ya tz ipo kwenye mikono salama
Kijana uko na bright future
Now Max your going to the Big Big spender,I see you going so far and take the Tanzania/East Africa/Africa to International Levels.Surely you gonna win that Grammy my G!
I’m officially your number 1 fans Tanzania boy Kelvin “Geek” The Krumper all the way from Toronto,Canada.
Wish you all the best!
Mex ukiamua kukiwasha utakuwa sign ya hip hop kwa Tz... Unajua mzee
Umetisha sana, another khaligraph from another code. East africa OG wpo wawili2.
Hiii kitu,🐐 imetoa idea kwa watu😂
Babu hii imeendaaaaaaa
We put the hennesy in big dispensers 😂😂😂🔥🔥🔥
mex mwanangu we noma
Kenya 🇰🇪Rock with this.
Damn ! bro u b killing em✈️🔥🔥🔥🇹🇿
This is is insane big bro
Mex to the world ☠💀☠💀
Hatariiiiiiii mzee
#MANMENDRA 🔥 🔥 🔥 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Manimendraa✌🏻✌🏻
Hii sio bongo kabisa yani
Kauwa kinoma
FIRST SLAP!! Keep going
Mpwa..hapa Stuttgart Germany hiyo tune imepita💪🏼
Mex outside finna eat🔥🔥🔥
This shit is African levels wazee competitive sound in the hiphop game.Lyrical,flow,style everything is dope in here
Yooooo!