Jamaa amejitahidi sana kuongea facts,comparissons hajatuhumu kaongea hali iliopo ingefaa wote wawe hivi msitukanane kila mmoja amnadi kiongozi wake bila kumtusi mwingine
Hizi propaganda tumezizoea. Ujinga mtupu. Lisu yuko nchini kwa sababu ya maridhiano, alipopiga kura yake 2020 alikibilia ubalozini, kama ni bingwa mbona hakubaki nchini? Hatudanganyiki.
Sisi CCM tulimng'oa lowasa akiwa na ushawishi MKUBWA NCHI NZIMA itakuwa hako kalisu Tena kanamtukana aliekakaribisha nadhani lisu na kakundi kake wataondolewa wakiweza kama ushawishi ni rahisi nawakaunde chama Chao lisu, heche,slaa na mwambukus Tuone mbiozao
Mshindi wa uenyekiti upo katika mahesabu ya wapiga kura ndani ya ukumbi. Tathmini ya ushindi ni uhakika wa mpiga kura kusimamia anachokiamini. Ni kama ilivyo Marekani kura milioni mbili hazina afya kwa kura 270 tu za electoral votes ! Kuna mahesabu yenye umakini. Tusubiri tuone maana tupo kwenye Count down timer !
Umeongea kwa facts sana! Good
Ndagha fijo mwaisa 😊
Jamaa amejitahidi sana kuongea facts,comparissons hajatuhumu kaongea hali iliopo ingefaa wote wawe hivi msitukanane kila mmoja amnadi kiongozi wake bila kumtusi mwingine
Yericco Nyerere njoo ujibu hoja
#mbowe must go
Lisu kwaza ✌️✔️
Leo nakuelewa sana Liberatus,hongera sana
Wapinzani hawawezi kuchukuwa serikali mpaka ipatikane tume HURU na KATIBA MPYA.
Aisee
Libe unafaaa sana
Zakayo ashuke
Uwo ndio ukweli nguvu kubwa itatumika ili mradi lisu na heche wasipite Kwa sababu nimwiba mkali Kwa ccm
Mungu anaenda kutenda. Hawatupi waja wake
Ameishia kumpa samia Tuzo mbowe hana jipya
Hili ni genge la kuua upinzani na linafadhiliwa upande wa pili!! Kumbuka nccr cuf wako wapi
Kwa nini watu wa CCM wanampigia chapuo Mh. Mbowe ? Hivi pilipili iko shamba inakuwashani ??
🎉mbowe✖️✖️✖️✖️✖️must goooooo Alutaccontinuaa👪🤰💃🤽👭💪🇹🇿🇹🇿🙏
Hizi propaganda tumezizoea. Ujinga mtupu. Lisu yuko nchini kwa sababu ya maridhiano, alipopiga kura yake 2020 alikibilia ubalozini, kama ni bingwa mbona hakubaki nchini? Hatudanganyiki.
Sisi CCM tulimng'oa lowasa akiwa na ushawishi MKUBWA NCHI NZIMA itakuwa hako kalisu Tena kanamtukana aliekakaribisha nadhani lisu na kakundi kake wataondolewa wakiweza kama ushawishi ni rahisi nawakaunde chama Chao lisu, heche,slaa na mwambukus Tuone mbiozao
Mtapiga kelele mpaka ko zitawakauka lakini ukweli ni kwamba mbowe atashinda tu poleni 😂😂😂
Mtashangaa Lissu atakavyoshinda
Mshindi wa uenyekiti upo katika mahesabu ya wapiga kura ndani ya ukumbi. Tathmini ya ushindi ni uhakika wa mpiga kura kusimamia anachokiamini. Ni kama ilivyo Marekani kura milioni mbili hazina afya kwa kura 270 tu za electoral votes ! Kuna mahesabu yenye umakini. Tusubiri tuone maana tupo kwenye Count down timer !
@@richardnganya2311 Na kweli tusubiri
Chawa kama chawa
Mbowe ana haki acheni propaganda
Nani hana haki 😅😅
Wote wana haki ila sera ziko vipi ?
Agombee ili afikishe miaka 68😂😂