ความคิดเห็น •

  • @saidomar1408
    @saidomar1408 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akulipe kheri shikh kwa kuwaelewesha watu na kuyafahamu mambo

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah Sheikh superb, you briefing so well regarding this topic, BarakAllah feek Sheikh as well Watamaman ,crews members, CEO,viewers.

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 3 ปีที่แล้ว +1

    Asant sana huu was was mtihan wallah tunateseka

  • @fettyfettyhamisi6645
    @fettyfettyhamisi6645 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli shekhe mm ninajini nyoka

  • @bbb6nnn561
    @bbb6nnn561 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mpaka majini huamrishwa na allah kwa kuokoa mtu daah

  • @twaibuvarishtuvarishtu2220
    @twaibuvarishtuvarishtu2220 3 ปีที่แล้ว

    Assalam alaykum Sheikh mi ndugu yangu kapalalaizi mkono na mguu na tukimsomea qur an Anaisi moyo unawaka kwenye mwili wake

  • @FatmaAbdulkadir-in2zx
    @FatmaAbdulkadir-in2zx 4 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleykum naomba kujua nini maana ya mass

  • @fettyfettyhamisi6645
    @fettyfettyhamisi6645 3 ปีที่แล้ว

    Sazingone nikilala na mwenzangu huniambia kuwa usiku nageuka kuwa mdudu

  • @FatmaAbdulkadir-in2zx
    @FatmaAbdulkadir-in2zx 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba kujua jee kipindi hichi chaja sikugani na gani?

  • @muktaromar5501
    @muktaromar5501 ปีที่แล้ว

    Asalaam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh sheikh. Kweli kabisa unaco kuongea

  • @hafidhmct7
    @hafidhmct7 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji mbona unaogopa camera mjomba unazidiwa hata na mgeni wako kila mara anaangalia camera pamoja na kuzungumza