B4 2022 election,most as you were saying Ruto will never be president,after 2022 election, who's the president now?what magic will be there not Ruto be 2nd term president
Maendeleo ya uda ni kueka marafiki karibu naye lakini kwa ground vitu ni different 😂😂😂hawatoboi from western narudia kusema tulimpa mudavadi free of charge hatuna haja na yy bora ss tuko na Natembea ndo anatupa mwelekeo dhabiti
@@jamesmakori1342 Watu hata saa hii hawafocus sana na Ruto. Watu wanafocus sana na kuangusha tule tuMp's twake kule kwa maConstituencies. Kule kwenye wanatimuliwa mbio wanashindwa kuishi kwao. People have realised, once you remove most of his MP's and Women Reps. and Senators, it will weaken him hata akishinda Kura. How will it weaken him, you may ask, simple, more GenZ's and millenials win MP, Women Rep and Senate seats, then, wakiingia huko, wakiona bill yenye inakaa imeletwa na Ruto, wanaiangusha tu😂😂😂. You might tell me ati watanunuliwa, no!!! Infact, GenZ and Millenials wakona track record ya kukula fare bila kulipa bwana😂😂. So, watakuwa wanakula pesa za Ruto wakimpigisha corner, lakini, wakiona bill yenye inaoppress watu inaingia Parliament, wanaiangusha asubuhi na mapema. Wewe ni kama bado hujapata Memo. GenZ watamuachia presidency, but hapo kwa powerhouse yake ya Parliament na Senate, watakuwa voted in wengi, na Ruto can find it extremely difficult to get silly laws to be passed after 2027. Siri sasa ni kumake sure GenZ wote na Millenials wote wenye wanavie for Parliamentary positions na Senatorial positions wapewe haraka haraka, asubuhi na mapema. Si mnataka Presidency tena, ni sawa 😂😂😂, lakini who will rule the power house of parliament and the Senate?! 😂😂😂 The same people wenye hukula fare bila kutokea, the same people who do not care if you give them billions or not, the same people who saw their own parents suffer, while putting all their hopes on politicians to save them, the same people who were willing to die for their country in protests in order to save their country, that is the crop of parliamentarians and Senators Ruto will get in 2027 akishinda. That crop is tough to control if you do not come with good policies. Ruto might end up doing nothing akishinda in 2027 if the bill doesn't help the people, wewe ngoja uone. GenZ walishachukua hiyo route kitambo sana. Watapatana parliament na yeye sasa come 2027 to 2032 😂😂😂. Believe you me, hata taxes zitashukiwa through the parliament processes, bills za kusaidia wasee zitapitishwa na constitution itafuatwa whether the president likes it or not, na Prezzo hatakuwa na say hiyo time 😂😂😂.
Hahaha slow by slow kidiki is being kicked out again 😂😂. Prof don't wait until its too late ❤we love you and we know you are clean kindly toka hio bus b4 ianguke
They said no shareholders when dp Gachagua said? Mt kenya makes zakayo win mygoodness kaongo that not far is this woman thinking surely. May God punished evil 😈 Ruto
Kutetea president wetu nahii chama yake Ya uda imekua ngumu aki sasa dp kindik kakufanyeje tena naulisema righat nimbaga wee kenya kuna mambo yenye sisi hatuezi elewa
The whole feeling of this government is like hmmm cant be bothered. The changing of offices in this government officers is like too frequent its like a child play.
It's good you reminds us of shareholders 🎉🎉🎉🎉🎉
Hehe heee Ngai, now you have impeached hata kakindi ketu kwa chama😢😢
The road to surgoi is unstoppable even if they merge
😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata waungane Ruto must Go
Aende wapi, gasia
😂😂😂😂😂😂😂😂
B4 2022 election,most as you were saying Ruto will never be president,after 2022 election, who's the president now?what magic will be there not Ruto be 2nd term president
Aende kwako taka tska@@GdwnI-f1x
Woiye..kindiki😂
😢
Níkwajia gúthúka! Na bado😂😂😂
Maendeleo ya uda ni kueka marafiki karibu naye lakini kwa ground vitu ni different 😂😂😂hawatoboi from western narudia kusema tulimpa mudavadi free of charge hatuna haja na yy bora ss tuko na Natembea ndo anatupa mwelekeo dhabiti
🤣🤣🤣🤣things are boiling really nicely, well well well🤣🤣🤣🤣
💃💃🤸🕺🤸🤸🤸💃💃Shosh wa njugu
"Never disrupt your enemy while he is making mistskes" ~tsun tsu
I thought Kîmani Ichûng'wa , will be the Deputy party leader 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Not possible kimani ni ng'ombe yenye inahitaji vaccine
United to go home 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂mapema
They are busy uniting parties rather than delivering services to Kenyans
hapo sasa!
Yeah
we warned you
😂😂😂😂😂 eeee aulize Mtangulizi wake Riggy G ilikuaje dalili ya mvua 😮
Ulitaka akatae kazi ya dp afanane na babako?He is in a better position than before adding his wealth and connections for his family
We want kindiki 😢😢
UDA is dead in Morima......ni hayo tu kwa sasa.
😂😂😂😂😂😂😂😂na hapo ndio kura
UDA IS THE OFFICIAL MLIMA PARTY. RUTO TANO TENA.
@@jamesmakori1342 makori ni kisii ama😂
@CHD1718 wait and see. Ruto is in power. You either vote him in or he takes it the kibaki way. Period.
@@jamesmakori1342 Watu hata saa hii hawafocus sana na Ruto. Watu wanafocus sana na kuangusha tule tuMp's twake kule kwa maConstituencies. Kule kwenye wanatimuliwa mbio wanashindwa kuishi kwao. People have realised, once you remove most of his MP's and Women Reps. and Senators, it will weaken him hata akishinda Kura. How will it weaken him, you may ask, simple, more GenZ's and millenials win MP, Women Rep and Senate seats, then, wakiingia huko, wakiona bill yenye inakaa imeletwa na Ruto, wanaiangusha tu😂😂😂. You might tell me ati watanunuliwa, no!!! Infact, GenZ and Millenials wakona track record ya kukula fare bila kulipa bwana😂😂. So, watakuwa wanakula pesa za Ruto wakimpigisha corner, lakini, wakiona bill yenye inaoppress watu inaingia Parliament, wanaiangusha asubuhi na mapema.
Wewe ni kama bado hujapata Memo. GenZ watamuachia presidency, but hapo kwa powerhouse yake ya Parliament na Senate, watakuwa voted in wengi, na Ruto can find it extremely difficult to get silly laws to be passed after 2027. Siri sasa ni kumake sure GenZ wote na Millenials wote wenye wanavie for Parliamentary positions na Senatorial positions wapewe haraka haraka, asubuhi na mapema. Si mnataka Presidency tena, ni sawa 😂😂😂, lakini who will rule the power house of parliament and the Senate?! 😂😂😂 The same people wenye hukula fare bila kutokea, the same people who do not care if you give them billions or not, the same people who saw their own parents suffer, while putting all their hopes on politicians to save them, the same people who were willing to die for their country in protests in order to save their country, that is the crop of parliamentarians and Senators Ruto will get in 2027 akishinda. That crop is tough to control if you do not come with good policies. Ruto might end up doing nothing akishinda in 2027 if the bill doesn't help the people, wewe ngoja uone. GenZ walishachukua hiyo route kitambo sana. Watapatana parliament na yeye sasa come 2027 to 2032 😂😂😂. Believe you me, hata taxes zitashukiwa through the parliament processes, bills za kusaidia wasee zitapitishwa na constitution itafuatwa whether the president likes it or not, na Prezzo hatakuwa na say hiyo time 😂😂😂.
This is very intriguing and interesting 😊
Bado mapema kindiki is a passing cloud
Staki kujua ata ka atapoteza adi meno?😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 you have made my day! Baraka.
Ni kama mvua ya Kindiki haitangojea achukue mwamvuli?The rain has already started raining on him na ananyaganywa kiti akiwa absent 😂😂
Kindiki Mr yes sir is just there for the salary 😂😂😂😂😂 Hadi mikutano huchungulia kwa dirisha.
UDA constitution says president will be party leader and deputy president will be deputy party leader,,, kindiki anatumika tuh😅😅😅
So hauelewi kiswahili ama? Wamemerge na ANC meaning UDA constitution no longer holds
@@dripslick44 waambie... Ni hight time we united against misinformation
Masahibu huanza hivyo
U guys are funny 😂 u think hiyo sauti kama ya msichana kindiki will lead a party lol 😆
Hata waungane na Kadu. Must go must go
Haya tengeneza iebc sasa
The road to sugoi is unstoppable nonsense
😂😂😂😂😂😂😂
The union won't protect ruto. Must go
Kweli Kenya nchi yangu!!! Wanasiasa wa Kenya hawana msimamo. Tuliwachagua waende wakaunganishe vyama ama kutufanyia kazi kama wakenya??
Get ready get ready get ready
The main shareholder is 1.
Things are boiling
Sasa wale viongozi wa Mt Kenya wako wapi kwa hiyo leadership ya Chama?????
Hiyo niyao.huko tulitoka
😂😂😅😅😮
Hahaha slow by slow kidiki is being kicked out again 😂😂.
Prof don't wait until its too late ❤we love you and we know you are clean kindly toka hio bus b4 ianguke
Please please aibu zingine wachene kuweka kwa news coz sisi wananchi tunawacheka TU tukijua we are counting every minute tukingojea 2027
Mudavadi bora ashibe tu......
Tough
After slap, ni kutimuliwa mbio, KINDIKI heri ungekaa kwa interior Cs, ungekataa kama kang'ata alikuwa nikitanzi anajiweka.. 27 u will be out😂
I thought the DP. Should be the deputy party leader ,
Nothing will change the hearts of Kenyans Ruto and his friends must go come August 2027
Mrima nje....next vice Ni mudavadi...
Ivoivowaende🎉😮😅❤
Ruto must GO go goooooooooooo
waende wakiendaga home mapema
woiyee kindiki
Let's wait tuone NI wapi paa lavunja
They have swallowed 😮ANC
The whole lot come together so we can send you packing in one sweep kudos
next impeach
Whaaat,...cooking 2027
They said no shareholders when dp Gachagua said? Mt kenya makes zakayo win mygoodness kaongo that not far is this woman thinking surely. May God punished evil 😈 Ruto
iko wapi mlima hapo?? kama ni kenya nzima maasai wakamba and the others na indigenous kenyans ama mlima wako wapi?????
😂😂 kenya bado tuko 1990's😢 siasa after siasa
Kenyans just pray God
Mt kenya where are Yu ending to? Ni nyie mnafutwa tu😢😢
How many mps does ANC has?
Swali nzuri, majibu yake, ANC ni kiwete cha siasa.
4mp,mca 8 ad senator 2 ad governor 1
You are going home come 2027
We are not boarding.
Kutetea president wetu nahii chama yake Ya uda imekua ngumu aki sasa dp kindik kakufanyeje tena naulisema righat nimbaga wee kenya kuna mambo yenye sisi hatuezi elewa
The whole feeling of this government is like hmmm cant be bothered. The changing of offices in this government officers is like too frequent its like a child play.
Kucheza cards za 2027.
Endless bickering, there are no shortcuts to power
Mama wa embu pia anakula home
nasio tafadhali home straight
😂
Kindiki amekua kama dp wa uganda sasa😂😂😂hapa patamu
Wewe hauna mwelekeo😊
Na bado hajaonja yake,atulie kimrambe pia
hehehehehehehehehe. I am only an observer
This is a clear
Ruto-Mudavadi ticket
KULENI HELA POLE😢
Kindly explain to me how Anc and uda join to become United democratic alliance party (uda) 😅
So kindiki hata kuwa DP,as things stand🤦
Mtapata aibu kubwa sana kenya 2027
There's no cure for c.i.c's incompetence & there will be no forgiveness for the atrocities he has visited on Kenyans....!😅
can i join??
Who are you
@@wycliffepoet5201 i am him
Bado odm imezwe😅
Tinga ikalie whilubaroo zidunde pamoja 😂😂
This is embarrassing
Ruto ni mkarabati that's why Gachagua had to go for this realignment to succeed
Kasongo afanye atakavyo bora asiguze mlima!!
😂😂😂tunataka pesa
Wakiendanga sugoi
Kenyans with our amnesia, don't forget this man aliua magenz during maandamano. Msianze kumhurumia. Amepata karma yake.
Sasa Mudavadi ni bure tu vile hana kura Western
Kidiki habari ndio iyo,hauna maana wala impact yoyote kwa UDAku party no wonder unaskumwa skumwa in public.
😂😂😂😂
Only one powerful super natural power Kenyans need is just God to intervine . Otherwise ruto has all the instrument of power to turn around everything
Teren teren 😂
Madam which unity are you talking about Kenyans are united you're uniting mps , C's and all leaders in Kenya but not Kenyans
Inconsequential 😂
and kindikki alikuwa anafanya nini embu
Kindiki is being played.
Kidiki is just a puppet lol..
Nonsense detected
The next opposition party like kANU
Next election ruto's running mate will be mudavadi,,,kindiki is nowhere to be seen
Kindiki uta shangaa 2yrs uende nyumbani...
Biased media, badla muulize wahusika munatunga Sheria yenu ya chama hamjui! Si mungetafuta habali ya kutosha !
Hata mugane Kwa zakayo haturudi
RUTO TANO TENA.
D😢😅😅😢😢
Anatafuta kura zetu za western hapati coz hata hatumtaki mudavadi ng'o
😂😂 mshahama pia nyinyi 😂
Wewe na nani.
Kura yako ni mmoja Dada Mwanaidi.Mudavadi alipigania Urais 2013 akapata 5000000 nyingi Kakamega na Vihiga.
Wewe hujapigania kiti chochote kikubwa
Kindiki must open his eyes, else his political career is dying