"SHK WALID NI YULE YULE | MSINILETEE UMADHEHEBU TU OFISINI | SITAKI KUNYENYEKEWA KABISA"SHK WALID.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • #ShkWalidAlhad #Zvponlinetv #Daressalaam

ความคิดเห็น • 18

  • @Mudi-xi1xd
    @Mudi-xi1xd ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah shukran sheikhe walid pamoja na masheikhe nyote Duniani nakupendeni sana nyote kwa ajili ya Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +2

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @tulisindomwachula1695
    @tulisindomwachula1695 ปีที่แล้ว

    Well said Sheikh wangu. Message delivered and Mungu akupe umri wenye Baraka. Nakupenda kwa ajili ya Allah ❣

  • @sammoses7479
    @sammoses7479 ปีที่แล้ว

    Insha Allah, m/mungu atakulinda

  • @diagfinamix1861
    @diagfinamix1861 ปีที่แล้ว +1

    Allah Amhifadhi sheikh huu Asije kuhusudiwa , kwa kweli afike kiwango cha kurithi hata u Mufti, in Sha Allah. 🇧🇮

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea_Maneno_Mazito_Allah_akulinde_Inshaallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 ปีที่แล้ว

    Dah...shekh walid bana masiraha kazi kwake kkkk eti tende ntapata kkkk

  • @aamarsuleymain2932
    @aamarsuleymain2932 ปีที่แล้ว

    Allah atakupa fikra madras yako ipo wapi nikuletee mwanangu umfundishe naona darsa zako nazipenda saana una kituo cha watoto wanalala huko

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah, miaka 57??? Umri wake ambao wanatumia Gongo washazeeka, kweli Pombe ni Haramu

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 ปีที่แล้ว

    Wallah natokwa machozi kwa maneno matamu ya shekhe warid wallah mpe Kila la kheri amina

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว

    Yule shehe mweupe ndio harudishwi tena c tuliambiwa anapumzika kwa muda mfupi tu

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว +1

    ANAUPIGA SANA MWINGI,,NA SIO KAMA HAJIJUI ILA NI MWINGI WA HEKMA

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 ปีที่แล้ว

    Yule mpuuzi katoka alikuwa anatugawa ktk ramadhani sasa sijui na wewe utafuata nyayo zake? Ila nakuamini na wewe inshallah ndio unafaa kuwa hata mrithi wa mufti manaake afadhali hata unavijidarasa ktk vipindi vya tv