BORITI -Upperhills AYS-Kenya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มี.ค. 2022
  • 2Wafalme 6:5 “Lakini mmojawapo alipokuwa katika kukata boriti, chuma cha shoka kikaanguka majini; akalia, akasema, Ole wangu! Bwana wangu, kwani kiliazimiwa kile.”
    Moja ya jambo baya kabisa kuliko yote Duniani ni pamoja na kukata tamaa, Mtu awaye yote hata awe na uwezo vipi, awe na pesa vipi, awe na akili vipi, awe na imani, vipi, awe na uzoefu vipi, awe na nguvu vipi na awe na karama na vipawa kiasi gani, au awe na elimu kubwa kwa kiwango chochote kile, ikitokea tu mtu huyu amekata tamaa, kwa vyovyote vile hakuna atakachoweza kukifanya, Kwa ufupi naweza kusema miongoni mwa mambo mabaya sana Duniani ni Pamoja na kukata tamaa.
    For more information and deeper meanings listen to this song carefully and you will be carefully blessed.
    MADE IN CHERUBS
    @Oluh Saye
    #Sheikh Sheriff Creations
    #Blueflicks

ความคิดเห็น • 71