I love people from Coast! Am kikuyu but I married there. They are lovely. and wonderful. kama huyu angekua mwanamke wa bara huyu jamaa angekua amepelekwa FIDA mara sijui matusi lakini huyu aliyavumilia na akaendelea na maisha yake. beautiful
Muigai... I came across this comment 3 yrs after the said patanisho and it really irked me to the core. Why? You may ask... Well, nimetoka bara. Baba mtoto wangu alikuwa mswahili. Kanipachika mimba na akatoroka. Sikumfwata. Sikutaka tena uwongo wake. Mtoto wangu sasa ameolewa na hata huyo mwanaume hana shughuli. Uwe wa bara, uwe wa Pwani haijalishi.
Uyo jamaa anakaa mtu funny sana kwa kweli..Analeta vichekesho kweli😅😅😅😂😂
2012😂😂...patanisho zngne nilisema ziende Churchill show...comedy tupu
Uno mwaname inakaa niwakurobokuwa sana kuliko bibi ..Uyo mama ni mtulivu kweli
@@sweetmumwake9729 exact
Uhh nimaombi inayesha kwake
@@sweetmumwake9729 Holy Joes
😅😅😅😅😅😆😆😆😆Leo ni afro movie
I love people from Coast! Am kikuyu but I married there. They are lovely. and wonderful. kama huyu angekua mwanamke wa bara huyu jamaa angekua amepelekwa FIDA mara sijui matusi lakini huyu aliyavumilia na akaendelea na maisha yake. beautiful
Inategemea,ata wewe bwana akikuacha na watoto,aende aoe na akona pesa nyingi atakikusaidia watoto na mama hana ata kazi lazima fida
uskue na roho chafu mwanadada
Muigai... I came across this comment 3 yrs after the said patanisho and it really irked me to the core. Why? You may ask...
Well, nimetoka bara. Baba mtoto wangu alikuwa mswahili. Kanipachika mimba na akatoroka.
Sikumfwata.
Sikutaka tena uwongo wake.
Mtoto wangu sasa ameolewa na hata huyo mwanaume hana shughuli.
Uwe wa bara, uwe wa Pwani haijalishi.
@@wanjikuwaweru8541 I gerrit pole lakini.
Huyu mume ni mwehu😜😜😜😜😂😂😂😂haishi vituko.
Napenda sana kiswahili cha wa kenya!
Mimi pia nina miaka mitano wacheni tu nisugue khamum mambo na ndoa ni balaa tupu.
Wow khasil khamum? Where? Tali shili? 😃😃😃😃
@@florencenandawa6388 ana khosri khamam hina dammam haa.
The guy is funny 🤣🤣🤣🤣 anaongea as if anahubiri
funny nice dude and funny...pole mzee😂😂
alibeba hadi mkebe ya chumvi 😂😂mzee kiherehere kweli but muende VCT coz hujui kile kiliuwa bibi wa pili
Charo you can be a hilarious comedian!! Loh miaka hizo zote jamani bwana we haujapata jiko jingine !
Mwanaume amehangaika ndio maana uataka kurudi lea watoi achana naye anaona mizigo umepungua juu watoi niwakubwa
That lady is a very reasonable lady.
Exactly ☑️
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mimi wachaneni niishi kivyangu ii drama siezani
apo sawa mke mzuri sana
The man he's not serious.
Fast to comment
Kabla wakutane waende VCT.
The right thing
Florence Nandawa kweli
Florence Nandawa Bwana yuakaa jambazi nene
Lazima!
VCT pap mumy.... napenda wacost wako soft..... jaman ghost
ehh jamani😂😂nilioa lakini si tena
Huyu jamaa ako sawa ama n mlevi vile anaongea 😂😂😂😂😂😂
Chalo kua serious
Ni Charo sio Chalo
Sante tina
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤸🏼♂️🤸🏼♂️🤸🏼♂️🤸🏼♂️🤸🏼♂️🤸🏼♂️house of comedy
Just becouse yule mwengine juu alifariki ndio maana anakukujia @mama Edith.kama angekua hai angerudi
Huyo ghost anacheka kama mama
Waaaah
waswahili hao, patanisho taamu
Second wapi likes
Warudi waendelee kuishi wako na watoii wakubwa c vizuri kutengana halafu charo uache muzaha mwingi ushazeeka
No:4
mzee mafya
Leo n mgriama bt huo jamaa anajoc Sana huo Charo wetu.
Aki ya Leo ni tamu
Mke mzuri kweli
Brian na kevo pia ugrow up🤣
Huyu mume anamakuruu, afu anakaa mwehu tu! Haishi vituko
Hahahaha mwanaume ameona anazeeka na ako peke yake, akaona arudishe babe ndiyo awe anapikiwa angaliwe poa, hio ni afrosinema
Should continue shortly...😂😂😂😂😂😂this is hilarious
😆😆choro mbeleka bbi pole pole ndio mwendoo
Mama nakuomba kuamakini sana muende kupimwa kwanza
Rudianeni lakini mkapime ukimwi kwanza, mana huyo baba ni pasua kichwa kama mchanga wa Pwani.
Hahaha i die finish
Ghost ukicheka tena nazima radio
Comedian huyu mzee
Gidy na ghost hi kipindi enu uwa naipenda kila asubui jambo pap
we ghost unacheka hata kwamatanga
Leo niya mugiryama wetu😂😂lamukadze😂😂
I love Wagiriama sana. lovely
Tina Santa lamuka
@@periswarish7022 😂😂😂ndovidzo
@@muigainjoroge1432 Asante sana,twakupenda pia
Patanisho hio nkal sana
Ghost ulisifiwa kwa kicheko ila siku hizi umezidisha umbea sana wakati mwenzio ana jitetea wewe wacheka ehee
Kenya yangu jamani mmmmmmm +974🤚🤚
+973 pap
👊
@@celestineayush4012 👊👊🤣
Hehehe cartoon
No.3 kucomment
Ghost kiasi yakesho haijulikani😂😂
Kwani watu wanakaa kwa ndoa 20yrs tene wanafanya ivyo lkn uyo mwanaume amegoka ukuta ndo anataka kurudiana, pole sahii ndo unamtambua ni bibi wako
ni kweli sababu hata mimi nimepigiwa leo simu na dame yangu tangu 2012 eti anataka turudiane, ya fir Auni haya
My fellow coast women wea r u.....hatukurupuki we ukienda life inasonga kama kawaida wala hakuna atakaekutafuta
Kiswahili ya Mombasa ni sexy sana sana mwanamuke akiongea, lakini waende test. Huyu bwana amekula kitu hako high
At age 50 mwaitana baby....na Mimi niko 2 huyu anaita nugu hii hujapika maisha ni safari sina fare😂😂😂😂😂
Mwanaume kiherehere nayo,,,,
Hahahaha bwana naye anakaa ameweka mashini kwa mdomo
Uyu mwanamme poooh🤣🤣🤣🤣
Huyu jamaa ana kiherehere kama umbwa ya police
Ya police huwa Na adabu
Ati shetani,anakujia wapi
Charoo ma speed kweli
Heeeee......hahaaaaaaaa......
Leo wazee washikanisha kweli doa nisafari
Huyu jamaa ni matatizo sana
😂😂😂
Hehh tuko wengi
Wazee niwapo wanasema age yao Mimi siwezi
Wee mzee acha utani bwana eee.
Yaa huyo mzee anamchezo kabisa
Charo machachari
11@number