MCH.DANIEL MGOGO - UTAHISI UMEKOSA KUMBE UMEKOSWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #Uhaimedia
    CONTACT UHAI MEDIA +255 752 348 789
    MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU
    • MCH:DANIEL MGOGO-ANZA ...
    HABARI
    • RPC TABORA:HUTAUONA MW...
    FIKIRI TOFAUTI
    • MWL:DEUS KANUNU-BIASHARA
    MAKALA FIKRA TUNDUIZI
    • DENIS MPAGAZE-UKISUBIR...
    SHUHUDA
    • EXCLUSIVE NA MKE WA MA...
    FAHAMU ZAIDI YA JANA
    • FAHAMU ZAIDI YA JANA: ...
    SIMULIZI ZA VITABU
    • MWANAMKE ALIYEPATA MAT...
    BIBLIA YANGU
    • BIBLIA YANGU-HAPO MWANZO
    NYIMBO ZA INJILI
    • PAULCLEMENT -MUNGU AWE...

ความคิดเห็น • 51

  • @dausonmethod3961
    @dausonmethod3961 3 ปีที่แล้ว +1

    Tupe baba! Mwenye masikio!! Nasikie!

  • @iranginamegabe9120
    @iranginamegabe9120 ปีที่แล้ว +1

    Asante dady mungu akuongezee vipawa kabisa miye ni Prince toka Congo natamani kukuona kabisa

  • @gangachuma2711
    @gangachuma2711 2 ปีที่แล้ว

    Mungu anitie nguvu niwe na unyenye kevu kwamungu na wenzangu

  • @innocentarmani2781
    @innocentarmani2781 2 ปีที่แล้ว

    Thanks dady

  • @josephmwaitendamwaitenda7274
    @josephmwaitendamwaitenda7274 2 ปีที่แล้ว

    Da pastor ana history atar

  • @elizabethchales2663
    @elizabethchales2663 4 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa kujilipua sema baba

  • @salomemueni100
    @salomemueni100 4 ปีที่แล้ว +1

    Kabisaaaaa nisingefika hapa leo...juhudi za wengine zimeniwezesha...👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏

  • @kivivyamunyoki6673
    @kivivyamunyoki6673 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @imanibeda5093
    @imanibeda5093 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 4 ปีที่แล้ว +2

    Uwii mambo ya hekima yapatikana hapa dadangu ako wapi asikie haya

  • @sitinijacklyne8674
    @sitinijacklyne8674 4 ปีที่แล้ว +1

    Seriously napenda sana mawe unayoturushia mtumishi wa Mungu Mgogo . Yatufanya tubadilike kitabia.

  • @benimwakasole7386
    @benimwakasole7386 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli binadam tunategemeana.

  • @suzanalungwe8185
    @suzanalungwe8185 4 ปีที่แล้ว +7

    God keep such powerful men you have annointed to deliver your word to us. protect them keep them in Jesus's name.

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana baba muchungaji
    Nabarikiwa sana Nahaya mafundisho yako.

  • @kalungikingalu9694
    @kalungikingalu9694 4 ปีที่แล้ว

    Ahaaaaaaaaa!! Nikweli mchungaji

  • @zawadimwanyuke3053
    @zawadimwanyuke3053 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen mungu anipatite moyo waku ji nyenyekeza kweli 🙏🙏🙏🙏

  • @marianamlonganile6036
    @marianamlonganile6036 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa pastor wangu

  • @devothamwandala4204
    @devothamwandala4204 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze mtumishi,wanadamu hawana shukrani

  • @psara4067
    @psara4067 4 ปีที่แล้ว

    Amina kweli tumejawa na lawama wana TZ Mungu atusamehe tuwe na unyenyekevu

  • @ezabethjohn3035
    @ezabethjohn3035 4 ปีที่แล้ว

    Amen pastor Bwana akutie nguvu

  • @donathasanga1986
    @donathasanga1986 4 ปีที่แล้ว

    Mtumishi Mungu akubariki sana,nimejifunza kitu

  • @dannythegreat8017
    @dannythegreat8017 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @ndenitoriakimaro9631
    @ndenitoriakimaro9631 4 ปีที่แล้ว +2

    Kila siku kila saa MUNGU anamakusudi ya kunisikilizisha mahubiri yako.Pastor MUNGU akutunze mno mtumishi

  • @peacevalerian4299
    @peacevalerian4299 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulindeee

  • @mamaesta3891
    @mamaesta3891 4 ปีที่แล้ว

    Amina Mchungaji hakika MUNGU akulinde na kila shar mtumishi wote

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💟💟💟💟💟💟💟💟💟

  • @kelvinmarsh2249
    @kelvinmarsh2249 4 ปีที่แล้ว +2

    hiyo ya polisi imenigusa sana,,,,, mungu nisamehe

  • @syliviadeogratias6835
    @syliviadeogratias6835 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli,nimefika hapa kupitia wengine tena wengi. Sina hata cha kuwalipa Mimi. Mwenyezi Mungu endelea kunikumbusha wajibu wangu maana wakati mwingine najisahau

  • @devothamwandala4204
    @devothamwandala4204 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu awatie nguvu wauguzi kwa yote wapitiayo

  • @geoffreysimiyu8454
    @geoffreysimiyu8454 3 ปีที่แล้ว

    Phone ya mujungachi Mimi kutoka kenya

  • @wycliffeomonya9237
    @wycliffeomonya9237 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo Mchungaji Umenilima kweli sasa itabidi nirekebishe.

  • @agnessaumukea3997
    @agnessaumukea3997 4 ปีที่แล้ว

    Haya mawe leo naona ni yangu....

  • @kelvinmarsh2249
    @kelvinmarsh2249 4 ปีที่แล้ว +2

    hiyo ya polisi imenigusa sana,,,,,,, nisamehe mungu

  • @aliceondeko3455
    @aliceondeko3455 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli kabisa

  • @eliaesau217
    @eliaesau217 4 ปีที่แล้ว

    Umekoswa sio umekosa hapo pastor

  • @raghadmubarak553
    @raghadmubarak553 4 ปีที่แล้ว

    Ameeen

  • @nancyosoro7153
    @nancyosoro7153 4 ปีที่แล้ว

    Hahaah apo apo mtumishi wamungu, umenitia nguvu kwahi semina,barikiwa sana

  • @akexandernkika4419
    @akexandernkika4419 4 ปีที่แล้ว

    Exactly

  • @atuganileamani6107
    @atuganileamani6107 4 ปีที่แล้ว

    hakika mtumishi sema tupone

  • @trophainamagogwa7966
    @trophainamagogwa7966 4 ปีที่แล้ว

    Kamati kweli huwa tunafanyakazi nzito,nakumbuka marekani mwaka mmoja mpaka tulichanga dola 300 kila mtu kufanikisha Harusi

  • @daudntemi900
    @daudntemi900 4 ปีที่แล้ว

    .. .

  • @mwombemartin7255
    @mwombemartin7255 4 ปีที่แล้ว

    Amen