Taarab zilipendwa- Jimama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @mariammgomba3329
    @mariammgomba3329 3 ปีที่แล้ว

    Eti lajua kuhema kwa pumzi zake,,langoni mwajiji magomeni mikumi enzi izo 👌👌👌

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 9 ปีที่แล้ว +4

    Rahaaa jipe mwenyewe!!! Mambo ya Hussein kibao
    Shukran!! Eddie

  • @fwzehfwfw1520
    @fwzehfwfw1520 9 ปีที่แล้ว +3

    Its Avery Nice taarab ahsanti naburudika na mama imran

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 9 ปีที่แล้ว +9

    Hussein Kibao na Babloom Fatma kisauji...Enzi za lango la jiji Magomeni
    wapi Kassim Mass...lol

  • @shadrackenock2299
    @shadrackenock2299 6 ปีที่แล้ว +2

    Hakika wimbo mzuri sana

  • @randanomar2914
    @randanomar2914 8 ปีที่แล้ว +1

    Asante Eddie tupe nyingine za babloom .

  • @mwajumaabdi2876
    @mwajumaabdi2876 5 ปีที่แล้ว +6

    Wapi likes za jimama 2019

  • @halmakinty962
    @halmakinty962 7 ปีที่แล้ว +1

    Jimama lata kuzoa zoa kona zote baba oune raha mpaka uteuke

  • @tambomikidadi129
    @tambomikidadi129 2 ปีที่แล้ว +1

    Nihatari sana hi nyimbo naikubali sana

  • @idrisadamabdallah218
    @idrisadamabdallah218 5 ปีที่แล้ว +3

    MASHAALLAH

  • @ratifahassani2232
    @ratifahassani2232 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @farajhamis5832
    @farajhamis5832 3 ปีที่แล้ว +1

    Wau

  • @kichunawayusuf6336
    @kichunawayusuf6336 7 ปีที่แล้ว +2

    Hapo chacha

  • @farajhamis5832
    @farajhamis5832 3 ปีที่แล้ว +1

    Waa

  • @yasminmustafa5455
    @yasminmustafa5455 7 ปีที่แล้ว +1

    hata mimi nataka jimama lakisawa sawa.mimi niko 3rd street.Eastleigh.Nairobi.niko serious.

  • @fatimasuleiman552
    @fatimasuleiman552 6 ปีที่แล้ว

    R.I.P babangu ctoacha kulia nikisikia hii nyimbo ilikuwa ndio nyimbo yko ya mwisho wa uhai wako mungu akusamehe makosa yko babngu Allah umma Amiin

    • @aysherkabby5937
      @aysherkabby5937 6 ปีที่แล้ว

      Fatima Suleiman Masikini sijajuwa Kama Hussein Kibao alifariki, ata Fatma Kisauji nae alifariki..
      Insh'Allah Allah awalaze mahala peponi Amina 🙏🏾

    • @arafasaleh7655
      @arafasaleh7655 4 ปีที่แล้ว

      Enzi hizo

  • @Ngalosis
    @Ngalosis 10 ปีที่แล้ว +1

    hapo nimefika pahala pake....tena sibanduki

  • @hamissijumbe2332
    @hamissijumbe2332 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @twilamtumbi2647
    @twilamtumbi2647 8 ปีที่แล้ว +1

    jamama

  • @shamimnoor4824
    @shamimnoor4824 10 ปีที่แล้ว

    is this kilimanjaro band?

  • @hajiali4727
    @hajiali4727 4 ปีที่แล้ว

    Dalod