Song: KUASI 1.Kuasi ni kama dhambi ya uchawi uleta madhara sana na ukaidi kama ukafiri ni kama vinyago angalia kutii ni bora kuliko dhabihu na kusikia kuliko mafuta ya beberu {jamani tuwe watiifu na tuwe chanzo cha mabadiliko kwa jamii}² Kiitikio Mkabidhi bwana njia zako mtumaini na atafannya usiwausudu watendao ubatili kama michemi mibichi watanyauka umtumaini bwana utende mema maana kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora kuliko uwingi wa mali wa wasiohaki watenda mabaya wataharibiwa kwa ghaidhi iliyowaka kama moto eebwana niumbie moyo mpya kisha nienende kwa mienendo minyofu 2.Wakiachiliwa nzige kuadhibu waliozama dhambini parare na madumadu na tunutu mungu amekasirika jua litageuka kuwa usiku na mwezi kuwa damu kabla haijaja Siku ya bwana mungu (tangazo limewekwa jihadhari minara ya moshi kuingia duniani)²
Injili kama hii ndio iliamuru yule samaki amsafirishe yona hadi ufuo wa ninawi, huu ni mlipuko wa injili ambao kizazi hiki kinahitaji, hongera sana wapendwa, wimbo wenu ni barua njema kutoka mbinguni na mmefikisha ujumbe huu kwa wakati, mungu awabariki
Ubeti wa pili umechagizwa na baadhi ya maneno kutoka yoeli 2:25( parare, nzige na madumadu) na yoeli 2:31 ( jua kutiwa giza na mwezi kuwa damu ...).korasi naadhi ya maneno ni kutoka zaburi 37:1,2,5, 16 Mungu awabariki sana. Tunabarikiwa kutoka Dar es Salaam.
A round of applause to your composers 🔥🔥🔥...stanza two ... Parare na madu madu na tunutu eeiy kiswahili will chicken me oooh TIMELY POWERFUL MESSAGES 💕 Long live the H.E.M Nipewe likes zangu please family.
Jaman nawapenda Sana ninyi,yaan sio sili huwa mnanibariki sana kwa uimbaji wenu,hasa mdogo wangu na mme wangu yaan bila kuwasikia ninyi huwa hawaliziki na huwa tunapiga mazoezi kupitia nyimbo zenu hakika nasi zimetufungua makoo,kwakwel Mungu awajalie neema na mibaraka tele,karibuni Tanzania
Mungu awabariki sanaa my brothers and my sisters I don't know if now happens in this extent how could be one day with angels with God around there singing a base how much awesome could be. O God bless your servants
Nani hutunga hizi songs aki juu it's on another level the Kiswahili sanifu na full of meaning just makes you people unique and special may God strengthen you especially huyo mtunzi
I was almost making some bad decisions this month but this song just gave me a full sermon. Thanks to the most high God i bumped into this good news 🗞️
You are super in the Lord. Mbona' tujigambe' and now this. You don't know the impact these songs have in our lives. And the kiswahali is on another level. May God bless you and keep you. I miss heaven!
HEM: this song Kuasi ni kama dhambi ya uchawi: my daily prayer on repeat before going to work in the morning and after work again I play and before going to bed that's my last song. translation or from the Book of within the Bible Pleases help the needy in christ
This song reminds me of my grandma at the Mogue, i wept loudly especially hapo kwa chorus. Since then it has been my favorite n memorable song from HEM
An excract from the chorus "... niumbie moyo mpya, kisha nienende kwa njia minyovu." This should be our prayer all day every day. Thank you HEM for blessing us with powerful songs every release.
translate for me in English please even light translation so i understand the message within this song that i really enjoy day in day out...this song inspire me this group HEM is a blessing to this world
1. Disobedience is like the sin of witchcraft and brings many effects, and rebellion is like heathenism and idolatry , obedience is better than sacrifice and a ram's fat. Let us be obedient and a source for change in society.. Chorus Commit your ways unto the LORD and trust him to fulfil them, don't honor those that glorify vanity, like wet seedlings they will wither, trust the Lord and do good for better is the righteous man's little fortune than the unrighteous man's much fortune. The wicked will all be destroyed: oh LORD create in me a new heart that I may walk in a straight path.
2. If the locusts are left to punish you who are deep into sin , the Cankerworm and the caterpillar and the palmerworm because God is angry: the sun will turn into darkness and the moon into blood before the great day of the LORD is come. A warning has been given: take heed before the great wrath of the Lord is released to the world.
Song: KUASI
1.Kuasi ni kama dhambi ya uchawi uleta madhara sana na ukaidi kama ukafiri ni kama vinyago angalia kutii ni bora kuliko dhabihu na kusikia kuliko mafuta ya beberu {jamani tuwe watiifu na tuwe chanzo cha mabadiliko kwa jamii}²
Kiitikio
Mkabidhi bwana njia zako mtumaini na atafannya usiwausudu watendao ubatili kama michemi mibichi watanyauka umtumaini bwana utende mema maana kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora kuliko uwingi wa mali wa wasiohaki watenda mabaya wataharibiwa kwa ghaidhi iliyowaka kama moto eebwana niumbie moyo mpya kisha nienende kwa mienendo minyofu
2.Wakiachiliwa nzige kuadhibu waliozama dhambini parare na madumadu na tunutu mungu amekasirika jua litageuka kuwa usiku na mwezi kuwa damu kabla haijaja Siku ya bwana mungu (tangazo limewekwa jihadhari minara ya moshi kuingia duniani)²
thank you, kindly share for other songs too
Nice work
Great work. May God bless this group
Thanks please share samueli too
Beautiful! Mit to mit ndi
It's 2025, I play this thrice a day.... It's rejuvenating moreso the chorus
Injili kama hii ndio iliamuru yule samaki amsafirishe yona hadi ufuo wa ninawi, huu ni mlipuko wa injili ambao kizazi hiki kinahitaji, hongera sana wapendwa, wimbo wenu ni barua njema kutoka mbinguni na mmefikisha ujumbe huu kwa wakati, mungu awabariki
Mungu awepamoja nanyi mnajua sana nyimbo inanifanya nijihisi niko karibu na Kristo kwa namna hii mungu atawalipa👏👏👏
2025❤❤ still loving this song🎉
Mtunzi wenu Mungu amzidishe
Eeh bwana niumbie moyo kisha nienende kwa mienendo minyofu
Amen amen
Big up I like the song be blessed
Kazi nzuri wakubwa wangu ..... Mbarikiwe
I'm always blessed after listen to this song...eeh Bwana niumbie moyo mpya kisha nienende kwa mienendo minyofu😢😊🙏
Ubeti wa pili umechagizwa na baadhi ya maneno kutoka yoeli 2:25( parare, nzige na madumadu) na yoeli 2:31 ( jua kutiwa giza na mwezi kuwa damu ...).korasi naadhi ya maneno ni kutoka zaburi 37:1,2,5, 16
Mungu awabariki sana. Tunabarikiwa kutoka Dar es Salaam.
Utabithi wa ndani sana huu na kwa haraka, ubarikiwe aise
This specific line,
"Eeh Bwana niumbie Moyo mpya kisha nienende Kwa mienendo minyofu"💯💖🙏🙏🙏
🙏like the way bass sing
A round of applause to your composers 🔥🔥🔥...stanza two ... Parare na madu madu na tunutu eeiy kiswahili will chicken me oooh
TIMELY POWERFUL MESSAGES 💕
Long live the H.E.M
Nipewe likes zangu please family.
Joel 1:4
Hata sijui wanatamka aje hicho Kiswahili 😂😂😂
Repeated this song thousand times
That's what I'm doing!
Jaman nawapenda Sana ninyi,yaan sio sili huwa mnanibariki sana kwa uimbaji wenu,hasa mdogo wangu na mme wangu yaan bila kuwasikia ninyi huwa hawaliziki na huwa tunapiga mazoezi kupitia nyimbo zenu hakika nasi zimetufungua makoo,kwakwel Mungu awajalie neema na mibaraka tele,karibuni Tanzania
This song has really .motivated me walahi
This sooong🙏🙏☺️
One of my favorite
Am I the only one who loves these people 🤔
❤. Thank you mbiu for good song God bless you Amen Amen
Nice composition..
#Brayo bass# Kijana ya OJ hapo tenor# Peris alto Big up
Mungu awabariki. Naomba naomba ya cimu ya mwalimu was kwaya
Mwandishi ametunia misamiati mkali sana ambayo inaitaji mkalimani.
aky jameni tujueni kuna mungu juu mbiguni😢 sikizeni io wembo,,,
Mkabithi Bwana njia zako mtumaini na atafanya..... umtumaini Bwana utende mema .... niumbie moyo mpya kisha nienende kwa mienendo minyoofu
Amina
What a song. Just blessings 🔥
Am so glad to hear this amazing song. I am a Catholic but SDA songs keeps me going. continue with this!
Mwalimu wenu anaitwa nani
@@rosewangila7487 Enock miranyi ndo mtuzi wa wimbo
thank you you very much
Mungu awabariki sanaa my brothers and my sisters I don't know if now happens in this extent how could be one day with angels with God around there singing a base how much awesome could be. O God bless your servants
Halleluyah. God bless you .from Dodoma Tanzania
Nice song by you people,may God continue using you
Such a great and blessed choir
How can I like 10001 times? Am not satisfied with a single like
😭😭eee bwana niumbue moyo mpya niende kwa mienendo minyofu😊
Barikiweni na Bwana 🙏
The vocabularies in this song 😅 nimebarikiwa sana😊
Amen….
Nani hutunga hizi songs aki juu it's on another level the Kiswahili sanifu na full of meaning just makes you people unique and special may God strengthen you especially huyo mtunzi
great message good song
What a blessing.wow...just wow
My all time.. mkabidhi bwana njia zako, 🔥
hii iko repeat mode kwa system yangu
NC song.among the first watching
❤️❤️❤️❤️
Heavenly echoes always makes my day 💯👌🥳 tufike 1k likes wenye wamekufia heavenly echoes 🔥🔥
AMEN 🙏🙏🙏 BE BLESSED
From Chogoria SDA church the song is nothing but too good
Ooh I rilly like heavenly echoes I don't know well swahile .but i like how you compose each song.may God be blessing all singers
Tuwe watiifu na tuwe chanzo kizuri kwajamiii ni somo kubwa mnooo❤❤❤❤❤❤
It's was a thrilling experience spiritual lifting to be listening to you sing,the coordination in the singing: lips move in synchrony..God bless yiu
I was almost making some bad decisions this month but this song just gave me a full sermon. Thanks to the most high God i bumped into this good news 🗞️
You are super in the Lord. Mbona' tujigambe' and now this. You don't know the impact these songs have in our lives. And the kiswahali is on another level. May God bless you and keep you. I miss heaven!
May God bless you abundantly,
I'm blessed enough by this song
I like this because it gives me hope
HEM: this song Kuasi ni kama dhambi ya uchawi: my daily prayer on repeat before going to work in the morning and after work again I play and before going to bed that's my last song. translation or from the Book of within the Bible Pleases help the needy in christ
The greatest choir❤❤❤❤❤🎉😊😊😊😊
Mitna.... Another national anthem... Enock thanks for this composition
My favourite always.....Nice one
Heavenly echoes you bless me with your songs ....mbona tujigambe..samweli...this one now🔥
This song reminds me of my grandma at the Mogue, i wept loudly especially hapo kwa chorus. Since then it has been my favorite n memorable song from HEM
thanks Soo much nilidream na jina kuasi yenye this song ndio imenipa ufahamu/ meaning
Samweli, mbona tujigambe and now this song!
The composer's command of Swahili language is incredible
One of my best song from Heavenly Echoes❤❤❤
God will bless and keep this choir for us in Jesus name
Ameeeeen
Mungu awabariki sanaa
Amen God bless you more,
U always don't miss on our comment section.
@@themiranyisfamily Amen
Wow! wat a song! Ni mahubiri tosha..be blessed HEM.
God Bless you Vijana.
Mubarikiwe kwa wimbo huu mzuri
Waiting to be blessed 😊😊😘😘
Indeed am blessed... Mbarikiwe sana sana🙏🙏
My favourite song,,God bless yiu heavenly echoes ministers
My prayer we bwana niumbie moto mpya nienende kea mienendo minyoofu
Jesus is ready to come pray n fast more often for holy purification n sanctification
👌
Very nice choir ever be blessed HEM
Nice
This song ,reminds me how close I'm supposed to with my Saviour . God bless you heavenly echoes .
My favorite song ❤️❤️❤️❤️I get emotional anytime I listen to this song,be bless HEMs🙏🙏🙏🙏
Amen
@@YvonneChepchumba-m2e Amina
Has blessed me... Amen 🙏
Mnanipa goosebumps waaah another one added to my playlist
Amen
Asanteni sana HEM for this song
The great is to sing for god
Oiro -like composition ❤
Listened to this song athousand times ,,,nice job guys
I have reached 10×
They came to Athi river main church grate my friends
😊😊
I love it too
Nice one heavenly echoes
2years but on it,God bless you
Am waiting 😊 eagerly
It touches my heart
Finally 🔥🔥🔥🔥
Amen, God bless you guys so much 🙏🙏
So encouraging...God hear our innermost prayers
What a song,, really inspiring🙏🙏
An excract from the chorus
"... niumbie moyo mpya, kisha nienende kwa njia minyovu."
This should be our prayer all day every day.
Thank you HEM for blessing us with powerful songs every release.
translate for me in English please even light translation so i understand the message within this song that i really enjoy day in day out...this song inspire me this group HEM is a blessing to this world
1. Disobedience is like the sin of witchcraft and brings many effects, and rebellion is like heathenism and idolatry , obedience is better than sacrifice and a ram's fat. Let us be obedient and a source for change in society..
Chorus
Commit your ways unto the LORD and trust him to fulfil them, don't honor those that glorify vanity, like wet seedlings they will wither, trust the Lord and do good for better is the righteous man's little fortune than the unrighteous man's much fortune. The wicked will all be destroyed: oh LORD create in me a new heart that I may walk in a straight path.
2. If the locusts are left to punish you who are deep into sin , the Cankerworm and the caterpillar and the palmerworm because God is angry: the sun will turn into darkness and the moon into blood before the great day of the LORD is come. A warning has been given: take heed before the great wrath of the Lord is released to the world.
@@uerihivatuvaterakanguatjiv6603 check here below for the translation
Amen
Hakiauuuu to mitna wuod Olum
The best ever. God bless you so that you continue blessing and changing souls. Kongoi misiin
Amina.
I salute you people.... The best choir ever..... Have a blessed sabbath
It's very hard to remove the repeat mode for this song in my playlist......what a nice piece...
God bless you Heavenly Echoes
❤❤ my favorite group