ULIWAHI KUONA NYUMBA ZA ASKARI WETU UTADHANI MTU ALIHAMA MWAKA _KIUMBE MWANADAMU "PASTOR MGOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
    Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
    TH-cam : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
    #PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

ความคิดเห็น • 22

  • @dianawanyika7074
    @dianawanyika7074 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Mchungaji. Vijana wetu wamekuwa mzigo kwa wazazi ni Mungu awabadilishe.

  • @habibamwinyi9816
    @habibamwinyi9816 ปีที่แล้ว

    Kweli mtumishi maneno yako yanajenga hua nakuita mzee wa kunyoosha,mungu akubariki uishi maiaha marefu ilitupate mema kutoka kwako naitwa robbinson kutoka Arusha maji ya chai mtumishi naomba mungu akupe nguvu uje kutulisha neno.

  • @jesseian2766
    @jesseian2766 ปีที่แล้ว +3

    Amen

  • @daisyakhini9331
    @daisyakhini9331 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏roho ya cain iko kwanada wa leo, mwanadam hamuogopi mungu yy ana kuua tu, tena ndo wa kwanza kuchangia matanga yako, mungu aturehemu kwa kweli, barikiwa sana pastor, 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @consolateurmgeni6772
    @consolateurmgeni6772 ปีที่แล้ว

    Baba yangu mungu azidi kuku bariki kwa kazi yako apa Congo goma tuna kufata 5 kwa 5

  • @edithmushy1010
    @edithmushy1010 ปีที่แล้ว

    Serikali Ina wasemaji wake kwa watumishi wake. Hyo waache wanasiasa mchungaji.

  • @johnkigina1696
    @johnkigina1696 ปีที่แล้ว

    Serikali Ni too sio mimi

  • @barakakanagwa8527
    @barakakanagwa8527 ปีที่แล้ว

    Amen papa 🙏

  • @kenyyapoma3858
    @kenyyapoma3858 ปีที่แล้ว

    Kweli, Amen

  • @edithmushy1010
    @edithmushy1010 ปีที่แล้ว +1

    Otherwise well said to youth. Amen. Hawajitambui vijana wa siku hiz. Wanakua mizigo kwa familia. Wenyewe starehe tu.

  • @millicentakinyi5504
    @millicentakinyi5504 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeen🤣😂🤣😥😥😥🏹😍

  • @CHARLES-sb9ex
    @CHARLES-sb9ex ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @elionanancy3307
    @elionanancy3307 ปีที่แล้ว

    Ndivyo amina

  • @Maureen1266
    @Maureen1266 ปีที่แล้ว

    Ndo binadamu tunaishi na wao

  • @maryfransince7038
    @maryfransince7038 ปีที่แล้ว

    Una kesi ya Uujumu Uchumi inakusubiri

  • @kevinwanjala9445
    @kevinwanjala9445 ปีที่แล้ว

    Hahahah,, hii imeniachia maumivu ya mbavu jamani

  • @odenlwila8390
    @odenlwila8390 ปีที่แล้ว

    Wewe mchungaji wa kiki tu sifa sana asa sisi wananchi situnatoa kodi serikari inatengeneza kupitia hizo kodi acha kuhubiri unafiki

    • @edithmushy1010
      @edithmushy1010 ปีที่แล้ว +1

      . Unahitaji uponyaji . Badilika ndugu. Umepewa ukweli ndio maana unatoa povu. Kama ni Kijana toka hko kwa waZazi kajitegemee ww uwatunze wazee wako hta Kama ni matajiri . Wape zawadi wazee wafurahi. Be creative not a looser to ya parents.

    • @clarapeter3271
      @clarapeter3271 ปีที่แล้ว

      Usimnyooshee mpakw mafuta wa MUNGU kidole Kam unaon aikuingii potezea sawa ucjitafutie ukomaa

    • @consolateurmgeni6772
      @consolateurmgeni6772 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu serekali gani inayo pata kodi yaku jenga nyumba zote za wana inchi wote?