Philippians 4:19 "And my God will meet all your needs according to the riches of his glory in Christ Jesus"it's a reminder to you who's reading this that God knows what your heart desires and he'll fullfil in his best time so don't give up I'm wishing you a blessed week 🙏
Happy to be a top fan of Mkurungezi from 2020 UpTo date... Just imagining my baby girl was born 2020 na sahizi Kako almost 4yrs and kashaajua Mkuru na ile slogan ya 'Juicceee'... Wapi likes za Mkuru❤
Najua haiwahusu lakni tushanunua mbuzi ya Christmas,@Mkurugenzi karbu manze jana niliangukia packets kadhaa za juice kuna trela ilianguka sas leo nmerauka nategea pengine ya mkate ama unga wa ngano itaanguka leo 🤗🤣🤭
My favourite huwa young n stupid kwanza mapenzi na pesa ikiwa ndani.Maisha yetu ya kila siku.Sometimes unaona kweli they were young n stupid.wacha niwatch nikicheka
Bado watu wanatandikwa hii town Anyway Abely hapo Kwa email yako Kuna massage nimekuanfikia hapo .. tafadhali itakuwa freshi sana ukipitia hapo😂😂😂 Thank you for making our days better man❤
Mr. Mkuru ile effort unaeka usiwai give up, niko campaign mbaya huku doha 5million subscribers is what you deserve wallahi Big bro not today but one day lazima na usinisahau I believe in you 👊👊respect OG Mutua's family
Mkuru i think huyo jamaa reason yakutaka mtoi ilikuwa juu anajua hakuna majuu wanaenda so ilikuwa kuconvince dem ampee mtoi so akikataa atamshow deal ijaivana juu mtoi ndo itaoneshana wako pamoja na kaa hkn angetumia hiyo opportunity kumkula doo in the name of kuharakisha vitu cjui kaa umeniget
Hapo kwa mimba ogopa, hehehe. nliambiwa hivyo msee akijichocha he feels ready enough to take care of me na mtoto...nikakataa one year later akafanya ile kitu sai ata hiyo pesa ya kutulea na mtoto sijawai ona na ni 7 years now. hahahahaha, ata hawa wa miaka yetu si ati ni wazuri
Philippians 4:19 "And my God will meet all your needs according to the riches of his glory in Christ Jesus"it's a reminder to you who's reading this that God knows what your heart desires and he'll fullfil in his best time so don't give up I'm wishing you a blessed week 🙏
Blessed week too
Amen
Amen, blessed week too
Amen
Amen be blessed
Happy to be a top fan of Mkurungezi from 2020 UpTo date... Just imagining my baby girl was born 2020 na sahizi Kako almost 4yrs and kashaajua Mkuru na ile slogan ya 'Juicceee'... Wapi likes za Mkuru❤
Bless you!!! Kakuru kasalimiwe!
@@Mkurugenziii Salamu zimekafikia Mtu yangu🤜🤛
@@Mkurugenziiihuwa unanipea vibes za our former president Uhuru Kenyatta
Kuna vile naonanga uko roho safi kama yeye
Atleast kwa story ya leo dem ako na akili 😂😂😂
Yeah for once ,I thought atakua in the losing end,,am happy for that lady
@@rosewanjiku411 luckily for her she had nothing to lose
Hata mimi nimenice aje😂😂😂😂huyu dame most likely si wa kukuja
@@maureena.sunday7641 msee ana nice😂😂
Huyu n njeri ama wanjiru 😂😂😂
Yaaani wakurugenzi mulisema likes amtanipea😂 anyway kama ujagrab your ticket then makosa ni yako
Those of us going to Sarit Center let's gather here
Kuna kitu mkuruu nataka ufanye ... yenye ujawai fanya since i follow your stories 😂😂😂 hiyo juice 😅 ujai maliza kwa glass mbona😂😅
Aki
😂😂😂😂
AGREE
Kabisa amalize Kwanza ama tupee pia
Spelling isifanye ukose kwenda mbinguni😂
Mkuru si upige young & stupid yako Moja ya tahidi😂😂
My favourite : young and stupid is back
Good work Abel for keeping wakurugenzi entertained
Niaje wakuru, young and stupid is always a vibe
Inaonekana mkuru unapenda hio podcast ya njugush sana cause umesema By The Way sana😂
Sijui kenye unapitia in life, lakini usipanikiiii mambo itakuwa sawa ❤
Mkuru tuko Locked,, loving the energy and bringing the episode 🎉🎉🎉
NEXT TIME UKIKOSA JINA YA CHARACTER CHUKUA YANGU (YASH MAYAN) NITAENJOY SANA MKURUU ❤❤❤❤❤❤
First person..waiting from somali mkuru😊😊
Somali xita majogtan😂😂
@@4rlKilla-s2g tuko kama bacteria 😃😃
Usheeg sxb mkuru hunibambanga😊
@@4rlKilla-s2g haa
@@mascudyare305 mbya sana manze
Mkuru tuchapie story ya Mysterious Death of Jenniffer Fairgate in room 2805 nimengoja sanaa akii... Anyways much love ❤❤❤naomba likes za Mkuru
Hii ashapeana kitambo
@teresiamaina9573 bdoo
Hiyo sindano iliburst the love bubble 😂😂😂😂
17th pia kuna this man vinny flava wa gee nganga wako na show kubwa nairobi cinema 🎥....
Mkuru umesema tukichukua top five Africa tuko number one in the World😀
😂😂 confu son
😅😅😅😅
Why kids? Coz that's how men tie you down and make sure you are tied to them for life.
Wangu anataka kunifunga hivyo,, sitaki wazimu mimi😅
@@CynthiaMumbi-x5s😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂you have made my night
Mkuru ulirecord hii kitu 19th n leo n 27🤌😂😂 ,,,,, anyways makosa n ya nani .....
27th
Kumbe huyo msichana ni kienyenji
Hii JUICE humalizangi in 40mins😂😂😂😂😂
Manze...😂😂ingekuwa mm...ata story haingeisha😂😂😂
His Excellency Honorable Mkuruuu😂🎉🎉🎉
Mkuru please consider adding English subtitles to your videos. There are some international people who enjoy your style but hawaelewi
😂😂😂😂😂😂😂😂
Na wale hatuelewi ruzungu tufanyeje kiongozi 🤔🤔au ni mimi2 sipendi ruzungu yaani siielewi...
@@stephen-CEOtuachiwe lugha yetu😂😂😂.
@@irynejames5161 🤣🤣😅Asante 😅😅🙌au sio 😅🙈
@@stephen-CEO hapo sasa Tukaliwe na uchumi na Tukaliwe na lugha. Haiwezekani
Ukweli mkurugenzi wacheni wana wale shida chungu nzima😂😂😂😂
Najua haiwahusu lakni tushanunua mbuzi ya Christmas,@Mkurugenzi karbu manze jana niliangukia packets kadhaa za juice kuna trela ilianguka sas leo nmerauka nategea pengine ya mkate ama unga wa ngano itaanguka leo 🤗🤣🤭
Nilikuwa nafeel sina accuracy, I had missed thus😂😂
Hey wakurugenzi😊
Kopo sio saa pekee😂pia maji, funda sana mimi 😂😂
hii nayo am sure ni kali cannot wait for the laughter and joy🥰🥰🥰🥰
😂😂😂😂😂😂for once stori ya Leo imekuwa ya dem alikuwa macho kuruka 😂😂
Say whaaaaat!!! Mukuru kayaba... Story sound familia
🤣🤣🤣
😂😂😂i almost fell into the same trap 😢but nilioshwa 60k
How??
😂😂😂😂
😂😂 I'm here for the remaining amount!
Then you fell
😂😂😂pole
Hizi story za mkuru inafaa nitumie my sisters coz weeh huku njee Dust ni mob
Nimechelewa walai lakini nipo hapa na Familia 🎉🎉🎉🎉🎉big up Mkuru🎉🎉🎉
Ningekuwa na ka sponyo anilipie ticket man. Nafeel vibaya sana mkuru😢😢
Habari ya wakurugenzi young and stupid my favorite😊
mkurugenzi sisi kama watu ya singapore tunasema uza ticket zoote ubakishe tu moja ya butita just incase apate bibi before december
Mkuru si unigift hadi tisho bana 😂😂😂
Nakutambua deadly
Unavaa size gani? Na unaishi wapi?
@@christinec740 😂😂😂😂
@@christinec740 navaa medium size
Na mtaa ni HURUMA
Nimekutafutaa. send me your number. @@isaacomondi9011
Nitumie Nr yako basi @@isaacomondi9011
My favourite huwa young n stupid kwanza mapenzi na pesa ikiwa ndani.Maisha yetu ya kila siku.Sometimes unaona kweli they were young n stupid.wacha niwatch nikicheka
Ati Nini mkuruu😂 vijizee mko na pesa😂😂😂,,,, wanapiga watotoo pocket money yenye sisi tunakopa loan kwa bank😂😂😂, halai hii imenimaliza
Good story... Endelea na Headline Hitters saaa😂😂
Sasa juu mkurugenzi asha end even to the world, so what can we say mkurugenzi to the...???
Earth😂😂
Bado watu wanatandikwa hii town
Anyway Abely hapo Kwa email yako Kuna massage nimekuanfikia hapo .. tafadhali itakuwa freshi sana ukipitia hapo😂😂😂
Thank you for making our days better man❤
Inakaa hii Nairobi kula dust ni constant anyway stay safe wakurugenzi.
More of this kindly
Mkuru tafta shot glass,unapiga shot moja ya jyuuuce…because why do you need a whole glass na unapiga sip moja 🤔
Uhuru alipoga typo,we will never forget.
Mr. Mkuru ile effort unaeka usiwai give up, niko campaign mbaya huku doha 5million subscribers is what you deserve wallahi Big bro not today but one day lazima na usinisahau I believe in you 👊👊respect OG Mutua's family
Despite dem kuiignore izo redflags still kako smart akakufall kimalenge.
Sadly men like this one's exist, Pathological liers 😢😢the same with narcissists they abuse you at night they buy you range rover during the day !
Watching from Morroco 🤣🤣.. I got my juuuyce
Mkuru unajua nini 😂😂 aaah achana nayo😂😂
Leo niko kwa premier gang 😂😂😂🎉 from kampala.
I had to run to my friend's house to use her phone to watch mkuru since mine is faulty 😅😅😅fell the love mkuru❤❤❤❤
Wabeee 🎉🎉 Young and Stupid Sundays is back 🎉🎉🎉😅
Asie sikia la mkuru huvujika ..
😂😂
Mkuru msee anakureach aje akiwa na story moto 😂😂 very intresting
Nirushie kwa email . stories@mkurugenzi.co.ke
Aaah....skuizi nachelewa sana bana
🎉🎉🎉 Yee this time round the girl is lucky 🤭🤭😅😅
Mkuru Always make my day
mkuru nimekuskiza sana 😂 design nimemaliza story zako ni wewe huwa nangoja ushoot new one😂
😂😂😂😂😂 hiyo effect ya mukuru kayafa .
Good job mkurugenzi
Hizo jaba zote halafu aka notice uzi na sindano! 😅😅
In the Building watching from Baltimore MD 😎😎😎
Kopo la uji😅😂😂
Thank you mkuru I have been waiting for this 😂😂tupatane sarit center guys
Mkuru nakupenda ka ghasia...Mimi na binti wangu ....I wish ningekuwa na pesa ya kukuona ...But anyway ....Ipo siku nitakuona ..ukipiga hekaya
S.W.O.T analysis -Strengths,weakness,opportunity,threat
24:12 the yie! got me real good. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Justice for undercover in Qatar 😢😢😢
😊😊
By the way
Alisema eti jamaa alipotea😅
@@MaryIswaalisema lini😅
@michaelmaruhi4440 Check kwa previous videos utapata kwa one of them comment section😅
Mkurugenzi ❤❤❤❤❤❤❤like za mkurugenzi
Karibu nichelewe😊
Sunday best ❤️
Mapenzi chenga😢😂🎉❤
Mkuruuu tuandalie ile story ya ule jamaa aliua familia yake after kuona series ya killing Eve jameni.
jaama anaeza kuwa alikuwa mkale na jia ni kimutai🤣
Hujui town😂😂😂😂😂
Kopo la uji😂😂😂😂
Watching from Netherlands 🇳🇱 mkuru to the world🦾
Mkuru watching live from chepalungu where is the download button??
❤
😂😂😂😂for once huyu alifikiria
Mkuru! Niko na stori moto,sijui itakufikiaje
Nirushie kwa email: stories@mkurugenzi.co.ke
waah kumbe engineering inaitwa uhandisi... hii kiswahili sio national language🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mapenzi wewe! Redflags unaignore. Akili kwa handbag.
Mkuruweng himself 😊am always downloading your videos
Mkuru i think huyo jamaa reason yakutaka mtoi ilikuwa juu anajua hakuna majuu wanaenda so ilikuwa kuconvince dem ampee mtoi so akikataa atamshow deal ijaivana juu mtoi ndo itaoneshana wako pamoja na kaa hkn angetumia hiyo opportunity kumkula doo in the name of kuharakisha vitu cjui kaa umeniget
Tufanyie story ya jack the reaper
Ten hag ame bounce 🎉😂
God bless mkurugenzi
Nayo ukiona jamaa anatumia pesa sana kwako, wewe jua huyo anakwambia.
Hapo kwa mimba ogopa, hehehe. nliambiwa hivyo msee akijichocha he feels ready enough to take care of me na mtoto...nikakataa one year later akafanya ile kitu sai ata hiyo pesa ya kutulea na mtoto sijawai ona na ni 7 years now. hahahahaha, ata hawa wa miaka yetu si ati ni wazuri
Uzi na sindano 😂😂😂😂😂
uskii kashai nihappenia😂😂😂
Hiyo juice haukunywi nikujie😂😂
What i wish ningekua available mkuru.otherwise all the best bro
anafaidika kupea wanawake watoto ama nnn mbaya🤔
Na hiyo ID ya wazazi aliitisha mko sure hakufanyia mabaya
Wapi kelele ya mechanical engineering weweee😂🎉🎉🎉