HABIB UMAR BIN HAFIDH MAZIARANI MAMBRUI | HABIB UMAR KENYA TOUR 2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @imamibnhajar3586
    @imamibnhajar3586 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah! Mashallah! Mashallah!..Allah awape kila la kheir

  • @balkisamisi2131
    @balkisamisi2131 ปีที่แล้ว

    Allahuma amin
    Ya Allah 🥺

  • @nadiaba6418
    @nadiaba6418 ปีที่แล้ว +1

    ❤ Masha Allah Ya Rabi tuweke nao .

  • @Khalid-r6l6d
    @Khalid-r6l6d ปีที่แล้ว +1

    Subhaanallah,,, dua ya ziara makaburini ilifundishwa na mtume wa Allah Muhammad, hyo ingine niyenu tu hii ndio inaitwa فهو رد sasa.

    • @mohamedumri4176
      @mohamedumri4176 ปีที่แล้ว

      Kuna mtu amecomment kama hautaki kaa kando( maana yake usifuatilie.)

  • @kasah-so9gf
    @kasah-so9gf ปีที่แล้ว

    ما شاء الله حبيب عمر، جاء ذات مرة إلى إندونيسيا

  • @AHMEDMUHAMMED-u7c
    @AHMEDMUHAMMED-u7c ปีที่แล้ว +3

    Jamani sasa tuasumbuka nini mtu kama hutaki kaa kando malipo kwa mungu wewe wasema haifai una dakiki zako na anaesema yafaa anadalili zake tusikae kutukanana hapa.

  • @Binfuad
    @Binfuad ปีที่แล้ว +2

    Innalilallah wainna ilaihirajiun msibaa

  • @sifmak0916
    @sifmak0916 ปีที่แล้ว +1

    Masha'allah salluallahnabi Allahhumaswaleh wasalamalai

  • @mibsamswedi928
    @mibsamswedi928 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Barakallah Swalawaat

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah!!!

  • @muhammadikhlas9827
    @muhammadikhlas9827 ปีที่แล้ว

    Assalamu alaikum my brother [ 🇲🇨 ]

  • @Khalid-r6l6d
    @Khalid-r6l6d ปีที่แล้ว +2

    Yani Bora Allah ametajwa na Mtume basi hyo ni dini tayari hta km ni kwa Ngoma na magitaa, Musiba wallah!

  • @saidichina8105
    @saidichina8105 ปีที่แล้ว +1

    Mashallahu

  • @HemedMuhammad-zr3my
    @HemedMuhammad-zr3my ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @mohamedumri4176
    @mohamedumri4176 ปีที่แล้ว

    NAMUUNGA MKONO ANAECOMMENT KAMA UNACHUKIA MASHEKHE KAMA HAWA USIANGALIE KUNA MAMBO MENGI YA KUJIREKEBISHA UMMAT MUHAMMAD.

  • @عمرمباركناصر
    @عمرمباركناصر ปีที่แล้ว

    Huyu babu nae anawapoteza wengi pamoja nae , Allah atuthibitishe katika haki

  • @AbdulyMohamedOmar
    @AbdulyMohamedOmar ปีที่แล้ว +3

    Huyu nae anasoma nn jamani subhaAllah

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว +1

      We ni mtoto wa zinaa huwezi elewa

    • @AbdulyMohamedOmar
      @AbdulyMohamedOmar ปีที่แล้ว +2

      @@husseinally5550 nitumie no yako alafu tuone kati yangu na ww nani ni wa zinaa

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว

      @@AbdulyMohamedOmar Tuma ww ya kwako

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 ปีที่แล้ว

      😂😂😂staghfirullah awataja waliotangulia

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 ปีที่แล้ว

      ​@@husseinally5550haha

  • @bashiryusuf9670
    @bashiryusuf9670 ปีที่แล้ว +2

    Huyu muongo wallahi nyinnyi mwabweha munaoabudu makaburi

    • @AbdulatifBaalawy
      @AbdulatifBaalawy ปีที่แล้ว

      Mjinga ww hujui hat unachokiongea

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว

      We juha kweli yaan.Someni acheni uhabi

    • @bashiryusuf9670
      @bashiryusuf9670 ปีที่แล้ว

      Majinaa makubwa baalawy balpundawy nyinnyi mwajibandika majina makubwa na malemba makubwa mlobaki Kula mipesa ya wakfu na tonge kutoka Kwa mashia

    • @bashiryusuf9670
      @bashiryusuf9670 ปีที่แล้ว

      Mlowajinga ni nyinnyi kwani wafikiri hio mikhurafi yenu wakija ww waona ni bure akusanya kwenye mifuko yenu pumbavu wakija wapoteza mikina abulahab na abujaha imeja maulidi huku na kule kisha lamu imetwawa na zibara shendi type

  • @Khalid-r6l6d
    @Khalid-r6l6d ปีที่แล้ว

    Hizo ma salam za kumeza nakuuma uma zimekwa nyingi sana ambapo nikitu hakipo kabisa!!!!!!!!!!!!

  • @NafisaAhmed-g9k
    @NafisaAhmed-g9k ปีที่แล้ว +1

    Hawa ni mashia

  • @allyngale6850
    @allyngale6850 ปีที่แล้ว +1

    Mambo matamu saana haya
    Allah akulipeni
    Na anaye yachukia hayo naakawa na hasira ni anga'te jiwe

  • @fahadhussein4846
    @fahadhussein4846 ปีที่แล้ว +1

    Mwapotoshana tu duuh

    • @husseinally5550
      @husseinally5550 ปีที่แล้ว +1

      We ndo umepotoshwa na mama yako hajakuambia baba yako wa kweli

    • @fahadhussein4846
      @fahadhussein4846 ปีที่แล้ว

      @@husseinally5550 shukran baarakaAllah feek

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 ปีที่แล้ว +1

    Nasikia msichum msichum😂😂😂 masufi wanashida kweli. Kisha mtu anasalamia watu waliokufa na mwingine asema ameen😂😂😂 Zero understanding

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz ปีที่แล้ว

    Wazushi wapokazini

  • @irshadabuhafsi6585
    @irshadabuhafsi6585 ปีที่แล้ว

    Msiba mkubwa watu wabusu makaburi

  • @FahmiAbubakar-ym6xw
    @FahmiAbubakar-ym6xw ปีที่แล้ว

    Wacheni ujinga nyinyi mawahabi kasomeni huyu sheikh anawaombea mungu waliokufa sio kuabuduuliona mtu akisujudi hapo wacheni ujinga

  • @salumumangi994
    @salumumangi994 ปีที่แล้ว +1

    Ulie poshwa ni wewe usiejuw subir ufe ndio ujuwe hayo ni kupotoshwa au

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz ปีที่แล้ว

    Huu ni uchizi kabisaaaa

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 ปีที่แล้ว

    Minauliza aliota mtume au ndo haovwabarzanjii yaani cheo chake kwa DINI yetu ni nani ?ni imamu wa msikiti au

  • @allyjuma9669
    @allyjuma9669 ปีที่แล้ว

    Masufi acheni kupoteza muda ndio maana akambiwa huyu ni mchafu Aachen hayo mambo ya kijahil upumbavu

  • @AbuuAbdillah-hb8li
    @AbuuAbdillah-hb8li ปีที่แล้ว

    Waabudu makaburi hao wapo kwenye ibada yao unasikia hapo wanamtaja kiumbe kisha wanasema kwa huyo kiumbe shida zote zinaisha kwa huyo kiumbe ushirikina uliokubuhu subehaanalllah

  • @bashiryusuf9670
    @bashiryusuf9670 ปีที่แล้ว +1

    Haya makaburi ni kuvunjwa tuu ndio dawa

  • @abdulkarimmavuo645
    @abdulkarimmavuo645 ปีที่แล้ว +2

    Watu wawaombea ndugu zao wa palestine nyinyi mna yenu ya kuabudu makaburi

    • @silimakhamis7088
      @silimakhamis7088 ปีที่แล้ว

      Kwani kuwaombea watu wa palestina imethibiti ,hiyo si bid'aa???,au bid'aa maulidi tu?

    • @abdulkarimmavuo645
      @abdulkarimmavuo645 ปีที่แล้ว

      @@silimakhamis7088 wakristo na nyinyi mwafanana

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 ปีที่แล้ว

      Neno nalo

    • @BinDaudy-ch2cc
      @BinDaudy-ch2cc ปีที่แล้ว

      Mawahabi wenyewe hawajui walifanyalo alafu munafuatilia namambo ya mabwana wakubwa kama hawa mutaumia vichwa mama elimu zenu ndogo hakuna munacho fundishwa zaidi ya kupinga Tu kilakitu . Masikiini mayahudi washawaharibu ndug zetu mutaongoka Tu insha'Allah nyie mawahabi maana Akiko zenu ni chache Sana.