Blessings Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 75

  • @PauloKinyele
    @PauloKinyele 2 หลายเดือนก่อน

    @amen be blessed 🙏👏

  • @kiangianthony5112
    @kiangianthony5112 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema nafrahi kumuona tangu enzi hizo hata sasa anakitendea vyema kipawa alichopewa na Bwana...nami huku nliko nakiwakilisha vyema

  • @MrChalsea
    @MrChalsea 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana linah Mjema kwakeli unatubariki sana!Hakika wewe ni hazina kwenye kwaya na kanisa la salasala

  • @pstpeninahpeter2926
    @pstpeninahpeter2926 2 หลายเดือนก่อน

    Powerful song 🎉🎉 nipitie please

  • @alphonceombeni83
    @alphonceombeni83 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen💯💥💥💥💥

  • @violetadhiambo2995
    @violetadhiambo2995 หลายเดือนก่อน

    Beautiful ❤❤

  • @fabrianjr9163
    @fabrianjr9163 2 หลายเดือนก่อน

    Niceee🎉🎉🎉

  • @winnykathomi9481
    @winnykathomi9481 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana mamaa mungu atukuzwe milele na milele

  • @g-luwetv1377
    @g-luwetv1377 2 หลายเดือนก่อน

    We unaamua tu kukalia hela hapo sebuleni kwako. Fanya hizi kazi ziwe nyingi uone kama Mungu anakuacha hapo hivihivi. Grow grow grow in Jesus name.

  • @navoneiwacharles8468
    @navoneiwacharles8468 2 หลายเดือนก่อน

    Keep the good work❤

  • @MagrethJackson-wx8yu
    @MagrethJackson-wx8yu 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana da Linah MUNGU akupiganie daima

  • @kyorubacentralsdachoir.1137
    @kyorubacentralsdachoir.1137 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri,
    Hakika ukihesabu baraka za Bwana hata ya uhai tu tunapaswa kushukuru.

  • @olebilangombe2599
    @olebilangombe2599 2 หลายเดือนก่อน

    Nice song, 👏

  • @alphonceombeni83
    @alphonceombeni83 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sekimang'a official🥰💯

  • @ronaldochieng7227
    @ronaldochieng7227 2 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Dada Lina Mungu akusimamie na kukutumia zaidi

  • @SheruconNikolas-ms8sv
    @SheruconNikolas-ms8sv 2 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏Barikiwa

  • @eliphasethobias1133
    @eliphasethobias1133 2 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana Dada Linah Barikiwa mno ❤❤❤❤❤❤

  • @frankmwenda6032
    @frankmwenda6032 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kwa kazi nzuri ya uimbaji

  • @NANCEJosephmbwambo
    @NANCEJosephmbwambo 2 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @danielarego8874
    @danielarego8874 2 หลายเดือนก่อน

    Amen. Baraka za Bwana kwetu hazihesabiki. Milima na Mabonde ni sehemu ya maisha yetu. Barikiwa sana

  • @winfridambwambo9830
    @winfridambwambo9830 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kuinua kipaji chako ndugu yangu uwe baraka kwa wengine na kwa familia

  • @CalvinePaul-i8v
    @CalvinePaul-i8v 2 หลายเดือนก่อน +1

    wow ❤❤ amaizing❤❤🎉

  • @GidionMjema
    @GidionMjema 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwaa sanaaa, Dada Linnah mjema

  • @sumayiandrea775
    @sumayiandrea775 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @TunnuhNkya
    @TunnuhNkya 2 หลายเดือนก่อน

    Waooo

  • @MwanaaAron
    @MwanaaAron 2 หลายเดือนก่อน

    Ukuje unitumie bit nitoe remix😅nimeipend hii barikiw dada

  • @JENNYSEKIETE
    @JENNYSEKIETE 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa ndugu Katika Kristo

  • @MussaDaniely-n8f
    @MussaDaniely-n8f 2 หลายเดือนก่อน

    Kwakwel sjutii kusikia wimbo huu ubalikiwe

  • @ayoubmaulid5445
    @ayoubmaulid5445 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri

  • @BillyJuniors
    @BillyJuniors หลายเดือนก่อน

    Linah stay blessed

  • @UpendoAmani-w1i
    @UpendoAmani-w1i 2 หลายเดือนก่อน

    Safi mdada

  • @sulekisaka2081
    @sulekisaka2081 หลายเดือนก่อน

    Beautiful

  • @erickodera6362
    @erickodera6362 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur sana dada

  • @happynesschristopher8493
    @happynesschristopher8493 2 หลายเดือนก่อน

    Unique song keep it up

  • @JoseMichuki
    @JoseMichuki หลายเดือนก่อน

    Nice song

  • @IbrahimChambua-ps6wt
    @IbrahimChambua-ps6wt 2 หลายเดือนก่อน

    hngr san

  • @JumaAbeid-u6c
    @JumaAbeid-u6c 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sanaa Dada Linnah Mjema! Kwa Ujumbe Mzuri! Endelea kubarikiwa

  • @NamsifuJonas
    @NamsifuJonas 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi zuri dada yngu Mungu akulinde ktk kz yake akuvushe ngambo salma🙏🙏

  • @nicholemogash262
    @nicholemogash262 2 หลายเดือนก่อน

    I'm really blessed 🙏🙏🙏 very powerful message ❤️

  • @sabatojacob9620
    @sabatojacob9620 2 หลายเดือนก่อน

    Be blessed 🎉

  • @HappinessAhia
    @HappinessAhia 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen and great job

  • @charlesmarwa1658
    @charlesmarwa1658 2 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @adventistcreativetz
    @adventistcreativetz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Good Song madam, Nyimbo zijazo weka pia MKALIMANI WA LUGHA YA ALAMA 🔥🔥🔥

    • @navsville
      @navsville หลายเดือนก่อน +1

      Lugha ya alama ama ya ishara?😂😅😊

  • @NamkundaMjema-b9m
    @NamkundaMjema-b9m 2 หลายเดือนก่อน

    Uzidii kubarikiwa wimbo ni💥💥💥💥

  • @godfreyfranc5235
    @godfreyfranc5235 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera

  • @frankmaenya
    @frankmaenya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina ...barikiwa

  • @amokobrian3821
    @amokobrian3821 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo nzuri sana❤

  • @PisonDaud-q8j
    @PisonDaud-q8j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki

  • @michaelmanento8173
    @michaelmanento8173 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤❤❤ #FahariyaMang'a

  • @venancemeshack3709
    @venancemeshack3709 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika atabaki kuwa MUNGU 🙏🙏🙏🙏

  • @joycecleopa4174
    @joycecleopa4174 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo naoupenda sana jaman ❤️❤️❤️❤️milima imetutoa mbali sanna🙏🙏🙏

  • @joycecleopa4174
    @joycecleopa4174 2 หลายเดือนก่อน

    Hongers sana sis linah be blessed kwa kutuletea kitu cha moto ivooo🙏🙏🙏

  • @sebastianmbazi2811
    @sebastianmbazi2811 2 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥

  • @obediHerodias
    @obediHerodias 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana apewa sifa
    Na uzidi ku barikiwe dada wangu Linah

  • @julius_johnmakenge
    @julius_johnmakenge 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki na hii kazi ikawe mbaraka Kwa wengine

  • @maguvision4728
    @maguvision4728 2 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe umetulia vizuri barikiwa my dada

  • @NamsifuJonas
    @NamsifuJonas 2 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa mnooo Mungu akutebdee mema kila wakati❤

  • @Bar-ngayo2024
    @Bar-ngayo2024 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mno dada

  • @navsville
    @navsville หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe hizi moves si kwa choir pekee hata huku wacha leo nakuangalia ukipanda kwa stage😅😊😂😂😂😅

    • @navsville
      @navsville หลายเดือนก่อน +1

      Nimesema tu hii kitu initoke

    • @linamjema5640
      @linamjema5640  หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rachellameck611
    @rachellameck611 2 หลายเดือนก่อน

    Baraka za Bwnaa🙏🏼🙌🏽

  • @simonmagibo7804
    @simonmagibo7804 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinulie uso wake na kukuzidishia

  • @malagajoganya386
    @malagajoganya386 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana dada angu ubarikiwe

  • @ElinazJacob
    @ElinazJacob 2 หลายเดือนก่อน

    wimbo umenibariki sana sana

  • @praygodtv9219
    @praygodtv9219 2 หลายเดือนก่อน

    Wa Kwanzaa❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @UpendoAmani-w1i
    @UpendoAmani-w1i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kipaji tangu muda

  • @kiangianthony5112
    @kiangianthony5112 2 หลายเดือนก่อน

    Hiki kipawa kimetoka mbaali mnoo nyiie..toka enzi hizo naimba nae PF Mamba hukoo...yeye ya kwanza mimi ya tatu..tusipoenda kwaya inapwaya

    • @linamjema5640
      @linamjema5640  2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @kiangianthony5112
    @kiangianthony5112 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema nafrahi kumuona tangu enzi hizo hata sasa anakitendea vyema kipawa alichopewa na Bwana...nami huku nliko nakiwakilisha vyema

  • @navoneiwacharles8468
    @navoneiwacharles8468 2 หลายเดือนก่อน +1

    Keep the good work❤

  • @linamjema5640
    @linamjema5640  หลายเดือนก่อน

    Aminaa