NATUMAI-ANN ANNIE (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @young_brother27
    @young_brother27 3 หลายเดือนก่อน +1

    Natumai kwake tuuuu🙏🙏🙏
    Huu wimbo niliusikia kwenye tangazo la Maombi kwenye Redio moja ya kiinjili hapa Tanzania, nikajua mwimbaji ni Oliva Wema🙆‍♂️ kumbe Dada yetu Ann Annie ❤
    Naupenda sana sana sana huu wimbo hasa nikiwa nimelala usiku napenda kuweka repeat hadi Asubuhi

  • @ministergilbertedward1123
    @ministergilbertedward1123 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sanaaaa Mlawi wa Bwana Hakika tumaini letu ni kwake yeye

  • @pendonaniyai866
    @pendonaniyai866 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you my dr aunt 🌹

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 4 ปีที่แล้ว +2

    Juu yake dhambi zangu,aniosha kwa damu,nionekane kwa MUNGU nisiye na laumu, hakika huu wimbo unanifaa zaidi

  • @edithdaniel208
    @edithdaniel208 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hafananishwi na chocolate

  • @lydiamkeni7494
    @lydiamkeni7494 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzurii unanibariki hongera sana dia

  • @pastoreliassamson9946
    @pastoreliassamson9946 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe saana

  • @pastorandrewsiokino8898
    @pastorandrewsiokino8898 2 ปีที่แล้ว +2

    Unaimba vizuri sana,Mungu akubariki...naomba nikualike

    • @annannieofficial
      @annannieofficial  2 ปีที่แล้ว

      Ameen,Mungu akubariki sana.
      Hamna shaka Pastor,Nipo tayari kwa mialiko.

  • @elizabethenos301
    @elizabethenos301 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera dada

  • @gospotv
    @gospotv 5 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri

    • @annannieofficial
      @annannieofficial  5 ปีที่แล้ว

      Gospo Media Much Thanks Gospel Media MANAGER

  • @dafrosamonko8254
    @dafrosamonko8254 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kitambo sana wetu! Nakukasha nethikupata

  • @AlexJoseck
    @AlexJoseck 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada. Nimebarikiwa na wimbo huu mzuri! Mungu akuzidishie zaidi!!!!!

  • @selinalangu5045
    @selinalangu5045 4 ปีที่แล้ว +2

    Good song, huu wimbo ulinitoa mbali sana naupenda sana nikiusikiliza nakumbuka mwaka 2016 wakati ambao nilipitia magumu na machungu ya dunia, I thank,s God kwamba alinivusha.

  • @estamapesa363
    @estamapesa363 5 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa my dear tumaini Ni kwake to

  • @FurahaMwasila
    @FurahaMwasila 2 หลายเดือนก่อน

    yanga wanakaa

  • @alexmollel363
    @alexmollel363 4 ปีที่แล้ว +1

    😘😘😘😘dada yang umepewa uwezo wa kuwafanya waaliopondeka mioyo kurud teyn kundini ubarkiwe dada kwa nyimbo hiz nzuri za kubariki

  • @lydialomnyaki2191
    @lydialomnyaki2191 2 ปีที่แล้ว +1

    What a blessed song jamani

  • @benakonaay1522
    @benakonaay1522 3 ปีที่แล้ว

    Naomba unitafute my dia Mimi Joyce minja

  • @uriotv9989
    @uriotv9989 5 ปีที่แล้ว +4

    Well done my Lovely Sister God is inspiring you

  • @elibarikijumbani3645
    @elibarikijumbani3645 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumish wa MUNGU nabarikiwa sana kwa nyimbo zako zlizobeba ujumbe mzur unaofungua miyoyo

  • @mathewmassawe5982
    @mathewmassawe5982 5 ปีที่แล้ว +1

    Amina Barikiwa sana sana. Wimbo una ujembe mzuri sana

  • @rachelkaaya5539
    @rachelkaaya5539 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dear kwa wimbo mzuri

  • @laurensipeter8664
    @laurensipeter8664 2 ปีที่แล้ว

    Amen Kazi mzuri👏

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 4 ปีที่แล้ว +1

    Saaaafiiiii my boss

  • @janemulandi962
    @janemulandi962 2 ปีที่แล้ว

    Anna I love you
    And your ministry , you are such a blessing to me

  • @razinicemrdifferento1120
    @razinicemrdifferento1120 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen!!! nimebalikiwa sna nyimbo ikanifaliji hat na Video pia

  • @LawrenceYobuNdosi
    @LawrenceYobuNdosi 5 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumishi. Namtumaini Bwana
    #lawrencendosi

  • @wairimumosha9655
    @wairimumosha9655 4 ปีที่แล้ว +2

    God bless you, increase you beyond your expectations. I love you 💞💞

  • @dianangunda2409
    @dianangunda2409 4 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri imenibariki kwa kweli

  • @furahayohannes1763
    @furahayohannes1763 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako Dada yangu

  • @bartholomewmhema2732
    @bartholomewmhema2732 4 ปีที่แล้ว

    Penda Sana nyimbo zako my dada

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 4 ปีที่แล้ว

    Huduma yako ni safiii, nazipenda sana nyimbo zako zoteee

  • @nayasdouglasta5352
    @nayasdouglasta5352 4 ปีที่แล้ว

    Tunaye Mungu

  • @virginiagitau8850
    @virginiagitau8850 5 ปีที่แล้ว +1

    Awesome, keep soaring dear🔥🔥🔥

  • @ananoel9530
    @ananoel9530 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @ayubuleeotieno5155
    @ayubuleeotieno5155 5 ปีที่แล้ว +1

    May you be annointed even more

  • @Alinebeauty1
    @Alinebeauty1 4 ปีที่แล้ว

    Nice 👍 Music 🎶

  • @amenipasanga9865
    @amenipasanga9865 3 ปีที่แล้ว

    ameeeen so talented

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

    • @annannieofficial
      @annannieofficial  2 ปีที่แล้ว +1

      Nashukuru sana shea kwa wingi rafiki

    • @masterkey536
      @masterkey536 2 ปีที่แล้ว +1

      @@annannieofficial tafazali naomba namba yako ya whtsp dada

    • @annannieofficial
      @annannieofficial  2 ปีที่แล้ว

      @@masterkey536 0755661464 na 0715661464

  • @felistargabrielly1236
    @felistargabrielly1236 2 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙏🙏🙏

  • @Alinebeauty1
    @Alinebeauty1 4 ปีที่แล้ว

    Nice beat

  • @africanheroestz-acapella2458
    @africanheroestz-acapella2458 4 ปีที่แล้ว

    Good song be blessed alot