Linet meet my camera man😭Kumbe ilikua uongo😭We had to slap her several cane😭Kimeumana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 653

  • @Rclm-l1l
    @Rclm-l1l 3 หลายเดือนก่อน +89

    Uyu linet ako in a certain cult,alikua in a mission but her powers are deafeted in jesus Name

  • @rachelranyawa8866
    @rachelranyawa8866 3 หลายเดือนก่อน +102

    Mungu ameyajibu maombi yetu sisi ni waombaji wa mungu sio mashetani ya giza ashindwe katika Jina la yesu

    • @FideleEjoniheza
      @FideleEjoniheza 3 หลายเดือนก่อน +2

      Amen

    • @SaudaKanini
      @SaudaKanini 3 หลายเดือนก่อน +2

      Amen

    • @Divinah-k1n
      @Divinah-k1n 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen🙏🙏🙏

    • @chustekimani
      @chustekimani 3 หลายเดือนก่อน +3

      𝔸𝕞𝕖𝕟 𝕟𝕝𝕚𝕞𝕨𝕒𝕘𝕒 𝕞𝕒𝕔𝕙𝕠𝕫𝕚 𝕜𝕦𝕠𝕟𝕒 𝔻𝕒𝕧𝕚𝕖 𝕒𝕜𝕚𝕝𝕚𝕒😢😢😢

    • @AM.daadir12-official
      @AM.daadir12-official 3 หลายเดือนก่อน +1

      @Rachel I miss you dia ❤

  • @PeggyShuu
    @PeggyShuu 3 หลายเดือนก่อน +77

    Mark is to blame.Why is Linet roaming free yet she has a case to answer?

    • @Princessamor97
      @Princessamor97 3 หลายเดือนก่อน +4

      Salsa mtu akirepiwa anakubali aje kufanya video

    • @TabithaKiragu
      @TabithaKiragu 3 หลายเดือนก่อน

      Ilisemekana alikua mgonjwa

    • @annemachwa7792
      @annemachwa7792 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu mwenye tunaabudu sio binadamu hawezi kutuhaibisa shindwe mbwa wewe linet you are a devil na uko defeated holy ghost 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @JacksonMutinda-jw5qw
      @JacksonMutinda-jw5qw 3 หลายเดือนก่อน

      Uyu nmuuaji anapaswa kuwa jail

    • @annkiilu2510
      @annkiilu2510 3 หลายเดือนก่อน

      Not mark but the court, she has a lawyer

  • @ABDIAKASOW
    @ABDIAKASOW 3 หลายเดือนก่อน +57

    Dave usikubali mtu kukuja kwa ofisi bila appointment na wewe coz kitakuramba usipo chunga

  • @ABDIAKASOW
    @ABDIAKASOW 3 หลายเดือนก่อน +69

    Dave itabidi uweke rules kwa ofisi yako kama mtu hana appointment na wewe akuna kuenda kwa ofisi

    • @gladysisabu9833
      @gladysisabu9833 3 หลายเดือนก่อน +1

      Very true ama ampigie simu

    • @ABDIAKASOW
      @ABDIAKASOW 3 หลายเดือนก่อน +1

      Niko gulf my dear​@@gladysisabu9833

    • @salomekeruboogaro5922
      @salomekeruboogaro5922 3 หลายเดือนก่อน +2

      Imgn iko hakuna mtu anaenda uko without appointment

    • @NjokiMwagodi-ie7ul
      @NjokiMwagodi-ie7ul 3 หลายเดือนก่อน

      Aki aki dr mungu yuko..nahawezi tetea muovu huyu msichana anataka kuhepa kesi yake bt mungu Ana muona

    • @NjokiMwagodi-ie7ul
      @NjokiMwagodi-ie7ul 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu azidi kukutetea kila wakati sisi huwa tuna kuombea sana mungu akulinde sana aki

  • @MwendwaMuroki-ij3ut
    @MwendwaMuroki-ij3ut 3 หลายเดือนก่อน +27

    I'm a silent follower but hii hapana,,Mark tulikupenda lakini ukaharibu,,,,tunahitaji Dave sana coz anafanya kazi safi....

    • @queenyakinangop4096
      @queenyakinangop4096 3 หลายเดือนก่อน +1

      Apana Wacha kumuchukia ni manjaribu ya shetani lakini imeshindwo in the name's of Jesus Christ damu ya yesu Iko na hii team shetani hataeaweza

    • @Magdalene-gj9dd
      @Magdalene-gj9dd 2 หลายเดือนก่อน

      Kwaza huyu mark ananiboo🤮🚮ako na kiherehere sana

    • @queenyakinangop4096
      @queenyakinangop4096 2 หลายเดือนก่อน

      @@Magdalene-gj9dd kwako huwezi Ona kazi njema yenye amefanya for me Na congratulations some times MTU hutoa true face yake. So Sio lazima akuwe mzuri kilacwakati nakma WAMUchukia percentage kubwa tunampenda Na tunamuombeaa Mungu amupatie promotion Sio rahisi kufanya job KMA hii inahitanji grace YA Mungu team Dave kanyangieni hapo mko Na God's

  • @chepkemoisharon8325
    @chepkemoisharon8325 3 หลายเดือนก่อน +21

    Huyu mark pia anafaa makofi
    Alichapa Dave Bure bwana nkt

  • @linetmwende01
    @linetmwende01 3 หลายเดือนก่อน +16

    Aaai,officer Mark we loved you but if this how you'll handle our people ziiiii,,,,,, you're too much pia,,,why didn't fight Tom???? ai hapana

  • @eliecell6035
    @eliecell6035 3 หลายเดือนก่อน +9

    nilisema tuu from the word go ilikuwa setup mark aliona kuchapabdave na champeeee nndio vizuri mark ulifanya mbaya sana

  • @vomalizavomaliza746
    @vomalizavomaliza746 3 หลายเดือนก่อน +32

    Mark ukitaka vita nenda hukapingani na Tom sisi wadau hiyo office ni yetu wacha kukimbilia mambo Tena wewe unaonekana umepewa 40m na hitakunja kunjurikana coz hizi ni damu za watu na kumbuka bwana yesu yuko kazuni

    • @Annimelia95
      @Annimelia95 3 หลายเดือนก่อน +3

      Aliomba msamaha bana ukiachiwa utairun ona huyu

    • @Damacklinebosiboriogaya
      @Damacklinebosiboriogaya 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe hutawesha hii kazi kama hutawesha basi mark hakuwajie hufanye kama mtu hameomba mshamaha imeisha

    • @vomalizavomaliza746
      @vomalizavomaliza746 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ulimuona vizuri wewe vile alingia na anamuchapa Dave Bila sababu

    • @Annimelia95
      @Annimelia95 3 หลายเดือนก่อน

      @@vomalizavomaliza746 walikuwa live Jana and he apologized

    • @Damacklinebosiboriogaya
      @Damacklinebosiboriogaya 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@vomalizavomaliza746kama mtu hameomba mshamaha imeisha to

  • @MaryWanyiri-hz6ek
    @MaryWanyiri-hz6ek 3 หลายเดือนก่อน +19

    Weka hidden camera

  • @DestinyDiva
    @DestinyDiva 3 หลายเดือนก่อน +19

    Don't allow any suspects of undergoing investigations or any of their associates in your office henceforth.

    • @PaulineNdirangu-ys1jv
      @PaulineNdirangu-ys1jv 3 หลายเดือนก่อน +1

      Good advice

    • @Rclm-l1l
      @Rclm-l1l 3 หลายเดือนก่อน

      Ata mpizzy alimleta yule mchawi supermarcus kwa studio hiyo hiyo tu two weeks ago

  • @petermunyiri7602
    @petermunyiri7602 3 หลายเดือนก่อน +16

    Senior Dave call pastor to pray for this ofice uchawi is working

    • @elosynyei7523
      @elosynyei7523 3 หลายเดือนก่อน

      True

    • @Rclm-l1l
      @Rclm-l1l 3 หลายเดือนก่อน

      Na Pete iliwachwa apo studio bado

  • @MARYNJARAMBA-nw3pf
    @MARYNJARAMBA-nw3pf 3 หลายเดือนก่อน +13

    No weapon formed against senior Dave and his team will prosper in Jesus name, officer mark ukiwa umepokea zile million 40 urikua unapewa Kaa ukinjua ukweli utapatikana na usifikirie ata ukienda kwa senior Dave ukinjigongesha milango hapo eti vile umekasirika ufikulie hanjajipanga na came,Dave ni mnjanja kusikia tu mlango umegongwa washa iyo camera haraka, so usiwai eda hapo ufikulie hakutakua na evidence mind your own business baba

  • @RuthKerubo-n3q
    @RuthKerubo-n3q 3 หลายเดือนก่อน +7

    Linet amlipe tycoon kwa kumharibia jina na iyo office nzima ya SD hope mark atamsaidia mpate justice

  • @PaulineMwikali-my1vi
    @PaulineMwikali-my1vi 3 หลายเดือนก่อน +13

    Hawa wote walikuwa wamerogwa wa fanye hivyo so ata mark akuwa anajua anafanya nini so tuombe sana

    • @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
      @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw 3 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru sababu ya mwenye aliomba DV akichapwa akisema ,,,,may Mark come to his senses in Jesus name,,, now he has come to his senses so let's forgive the Officer pls

  • @MaryMuthoni-rf2qu
    @MaryMuthoni-rf2qu 3 หลายเดือนก่อน +6

    No weapons formed against senior dave ad the team shall prosper in Jesus name

  • @nyiturikiangel
    @nyiturikiangel 3 หลายเดือนก่อน +6

    God is good and we new was just lying. Mark is not a corrupt officer at all,he is always fighting for justice to everyone

  • @EmmanuelIngura
    @EmmanuelIngura 3 หลายเดือนก่อน +2

    Senior Dave mfanye Director awe your body guard,, He's very strong indeed

  • @marymutavi
    @marymutavi 3 หลายเดือนก่อน +17

    hizi nyoka from iluminati hazijajua hazitoboi ,Mungu atapigana vita😢😢😢

  • @CarlbaniceShiro
    @CarlbaniceShiro 3 หลายเดือนก่อน +3

    Champe iz always a comedian 😂😂

  • @carolinemwenze8831
    @carolinemwenze8831 3 หลายเดือนก่อน +2

    Linet ako kwa mission dave chungeni sana

  • @teresiakamau9400
    @teresiakamau9400 3 หลายเดือนก่อน +16

    Huyu mchishana ni Illuminati Nani anakubaliana na mimi

    • @susangathii2782
      @susangathii2782 3 หลายเดือนก่อน +3

      Very true shetani ya mtu

    • @Rclm-l1l
      @Rclm-l1l 3 หลายเดือนก่อน +1

      Very true ata ni devil agent

  • @anngithere7951
    @anngithere7951 3 หลายเดือนก่อน +2

    Whaaa na vile dav alipigwa na mshipi na uyu mtu wetu

  • @RozinaNgina-rb9un
    @RozinaNgina-rb9un 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu kwa kujibu maombi yetu🙏🙏

  • @cicilygichuki8854
    @cicilygichuki8854 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu linet anafaa kofi mzuri

  • @nightiebinti5236
    @nightiebinti5236 3 หลายเดือนก่อน +9

    LIKES HAPA.....DAVE AND YOUR GROUP BE PRAYERFUL...NI KUMBAYA. ATA HIVO MARK ALIWACHAPA HAIKUWA YEYE THE GIRL AMEPATA DEMONIC ANNOINTING HADI YA ULIMI YA KUINGIZA WATU BOX. IMAGINE ANAONGEA HADI MKUBWA WA MARK ANATII. KOTINI GUDGE ANATII....WAAAAH.

  • @lennahharrison8809
    @lennahharrison8809 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kila siku tuwe tukiimbaliki na kuiosha hii studio ya senior Dave na damu ya mwana kondoo🙏🙏🙏

  • @AjerinahMbula-ps4hx
    @AjerinahMbula-ps4hx 3 หลายเดือนก่อน

    Mark.pliz.husiwai.mpiga.dave.tena

  • @SusanMwai-nz7lg
    @SusanMwai-nz7lg 3 หลายเดือนก่อน

    Msichana amevuta drugs

  • @Rclm-l1l
    @Rclm-l1l 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo studio inaitaji maombi how comes director anaacha muuaji kwa studio pekee,ni vitu gani aliacha kwa studio ,mnaitaji maombi wafanyikazi wa Dave

  • @MercyMulekye
    @MercyMulekye หลายเดือนก่อน

    Mungu ni Mungu ,,,huyu mschana hajielewi

  • @MbulwaMunyao
    @MbulwaMunyao 10 วันที่ผ่านมา

    Ikiwa alisaliti ma pts w kuzimu nyinyi n shadow hii n uogo ashidwe sana katika jina ka yesu hio pepo iachilie mark sai

  • @jusijustine5592
    @jusijustine5592 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hio ring director atoe

  • @Wilgister
    @Wilgister 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waaaah Hadi makers alipewa ring ya usheitani

  • @PhilesOngono
    @PhilesOngono 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mark hapa there is something you want to hide us how comes linet is out hata kama n mgonjwa maabusu si hujukuliwa hospital while under arrest

    • @abbygaelsharon497
      @abbygaelsharon497 3 หลายเดือนก่อน

      Na hata Ndollo si alikuwa mgonjwa na bado alikuwa ndani

  • @RuthWanjiku-e6o
    @RuthWanjiku-e6o 3 หลายเดือนก่อน +1

    mtu akilepiwa huenda hosi Kwanzaa unapimwa alafu anaenda polisi kuripoti

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 3 หลายเดือนก่อน

      Hiyo nashangaa why officer kaamini bila hospital evidence report

  • @kekxjnrcommedy9059
    @kekxjnrcommedy9059 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tusilaumu mark tafadhalini devil ndio ilifanya akawachapa si kupenda kwake akh msifanye hafeel pain pia yeye hakujua

    • @julianagowele9163
      @julianagowele9163 3 หลายเดือนก่อน

      Anatakiwa kulaumiwa. Kulingana na kazi yake anatakiwa kufanya uchunguzi kwanza kabla hajafanya maamuzi

  • @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
    @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw 3 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you Jesus for revealing to us the secret behind what happened to our Son SD,,,,kumbe Officer was not in himself,,,sd keep on with ur Jesus and his Angels will protect you ,,,Psalms 91:11 and 12

  • @mamaboizpure842
    @mamaboizpure842 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani dci hii ndio akili uko nayo mtu akisema amerepiwa step ya kwanza ni kupigana ama ni kuenda kupimwa kwanza ajulikane kama kweli ametiwa

    • @molynearan8673
      @molynearan8673 3 หลายเดือนก่อน

      Aliovereact vibaya sana😭😭

  • @gladys5617
    @gladys5617 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awafunikie na danu Yako in Jesus name amen

  • @MERCYmercy-rl3lu
    @MERCYmercy-rl3lu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dem mjinga sana alidhani mungu analala akuna simu yenye God analala lazima atetee watu wake

  • @rosemsaki1111
    @rosemsaki1111 3 หลายเดือนก่อน +4

    I SWEAR NIKO TZ HUYU MALAYA NI MUONGO NA KWA NINI HUYU OFICER AFIKE NA KUANZA KUPIGA WATU NA HANA USHAHIDI HOVYOOOOOOOO!!!!!!

  • @meshackamimo1945
    @meshackamimo1945 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo askari kevo ndie alichoma..yeye kama trained security officer angebaini ya kuwa linet Hana Nia nzuri tokea mwanzo na hangemruhusu kuingia studio.
    Alilala kwa job!
    Mimi nilisema Jana wakati haya mambo yalipotokea ya kuwa huyu Dem ametumwa...ya kuwa director Hana hatia.
    I also blame DCI MARK for poor judgment..he shudnt have laid hands on senior Dave at all!

    • @DoreenMuhavi-d7b
      @DoreenMuhavi-d7b 3 หลายเดือนก่อน +1

      Si uliona kevo aliingia pia yeye kuchapa Dave meishowe mark akamgeuka na waliingia wakiwa pamoja

  • @WinnieRotich-x3b
    @WinnieRotich-x3b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Please SD achana na story za makarao

  • @MaryMukuria-s1u
    @MaryMukuria-s1u 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ooh my goodness,no weapon formed against your team shall prosper,, keep on praying for yourselves,na mubuy Bible mukaage nayo huko studio,muwe mkiombea hiyo office yenu kila siku before,muanze kazo,, remember you have many enemies but they can only defeated by your prayers,nawaombea pia

  • @MwangalaEverlyneNelima
    @MwangalaEverlyneNelima 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini Marcus aliwacha linet studio

  • @Latifa123Latifa12
    @Latifa123Latifa12 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo mnafiki sana huyo demu

  • @anneilado3352
    @anneilado3352 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona muchape marks

  • @JanetKariuki-fo1cx
    @JanetKariuki-fo1cx 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu cameraman wako na yy nikama hajui kushoot

  • @emmykorir5187
    @emmykorir5187 3 หลายเดือนก่อน

    ALISEMA alirepiwa juu

  • @HarrietWawira-s3x
    @HarrietWawira-s3x 3 หลายเดือนก่อน

    Msichana mdogo hivo maisha Yako haikusubui

  • @RadegundaChambi-ec7yw
    @RadegundaChambi-ec7yw 3 หลายเดือนก่อน

    Aibu sana kwenye ofisi yako wakenya mnalaana

  • @jojojojo-cb9ij
    @jojojojo-cb9ij 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kindly fans wa Davi please tumsamehe Mr mark aliomba msamaha Jana alitueleza kinaga ubaga what had happened

    • @LilyJames-pt8kb
      @LilyJames-pt8kb 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna msamaha, this is the second time he’s beating Dave for no reason, akwende na huko…😤

  • @Infinix23-s4m
    @Infinix23-s4m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dave in Jesus name u will succeed in Jesus mighty name we pray for you

  • @roselinenyasuguta
    @roselinenyasuguta 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo mark ameingiliwa na pepo

  • @reggiesmyth2778
    @reggiesmyth2778 3 หลายเดือนก่อน +1

    2024 is a year of exposing all the evil activities in kenya. Senior dave we are in prayers no weapon formed againast you will prosper psams 23:3

  • @CeliyKilobi
    @CeliyKilobi 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu tulindia Dave n watu wake

  • @queenyakinangop4096
    @queenyakinangop4096 3 หลายเดือนก่อน

    Mr Mark groly be to God wacha. Ukweli injitokeze

  • @khadijaty7148
    @khadijaty7148 3 หลายเดือนก่อน

    Dav poree Sanaa kaka yanguu wewe endereya kuwomba mwenyez.mungu hawowot wanakugewuk. wewe simama tu namungu wako siku moja watajuta. Mbere yako ishallaa

  • @CharityChao
    @CharityChao 3 หลายเดือนก่อน

    Maombi n silaha bunduki n mzingo,tumeombea sana Mungu wa deve halali amejibu maombi

  • @KmolyZzz
    @KmolyZzz 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atatupinganiya ule musichana mujinga sana

  • @PeterNgungi-qf9vh
    @PeterNgungi-qf9vh 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo upande wetu shetani hana nafasi

  • @MargaretWangui-v2i
    @MargaretWangui-v2i 3 หลายเดือนก่อน

    Senior dave change the office iyo office iko na mashetani

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dave ambia markers atoe hyo ring sai watu wanaingiza watu kwa mashetani na pete alipewa

  • @marggiekarikamaina2187
    @marggiekarikamaina2187 3 หลายเดือนก่อน +2

    Champee pliz wachagaa kupigia dave magotii kila time😢😢😢 may God open doors for u champee aki

    • @Rclm-l1l
      @Rclm-l1l 3 หลายเดือนก่อน +1

      Very true champee angepata tu kazi nzuri hii maisha haimpeleki vizuri

  • @RobbyMukonjero-rp5gt
    @RobbyMukonjero-rp5gt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ask her if she went to hospital.?

  • @StephenMuoki-r8q
    @StephenMuoki-r8q 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu saidia vijana wetu kwa mitego mbalimbali

  • @gladys5617
    @gladys5617 3 หลายเดือนก่อน

    GOD Procter team senior Dave 🙏🙏🙏

  • @lucygitobu5725
    @lucygitobu5725 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni Asante kwasababu wewe ni mwaminifu Kila wakati, Dave anapiganiwa na Mungu, Glory to our God

  • @ShantelSharon
    @ShantelSharon 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ww camera man toa hyo Pete yenye alikupea labda Iko na kitu mbaya

  • @elizabethminayo236
    @elizabethminayo236 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu msichana ametumwa

  • @AnnNdungi-p1y
    @AnnNdungi-p1y หลายเดือนก่อน

    Mark umekosea sana ci o fair

  • @JaneMomanyi-mh5kk
    @JaneMomanyi-mh5kk 3 หลายเดือนก่อน

    Yy iso siku mbili alikua wapi mbona Saiyo alikua wapi mbaka xiku iso mjinga.sana. uyu

  • @CarolyneOnsongo
    @CarolyneOnsongo 3 หลายเดือนก่อน

    Angalia sim

  • @ladyjayjane7358
    @ladyjayjane7358 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona ikawachapa mark.. Nmeaza kutubooo

  • @RoseKamiti-t3h
    @RoseKamiti-t3h 3 หลายเดือนก่อน

    Alafu mniletee uyu officer akule kofi" ya STIMA

  • @MwalimuKatana-yc1cz
    @MwalimuKatana-yc1cz 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa Dave mfute job

  • @MaryWanjiku-lx9mf
    @MaryWanjiku-lx9mf 3 หลายเดือนก่อน +2

    Director,director nikuite mara ngapi??? Why wearing a ring hujui imetoka wapi,eti linet alikupa.. Chunga sana wewe😢

    • @Lydia-m9q
      @Lydia-m9q 3 หลายเดือนก่อน

      By the way hiyo ndio inamconnect na huyo dame

    • @Lydia-m9q
      @Lydia-m9q 3 หลายเดือนก่อน

      Na iko na nguvu za kishetani

  • @RobbyMukonjero-rp5gt
    @RobbyMukonjero-rp5gt 3 หลายเดือนก่อน +2

    But sikupenda vile Mark alichapa Dave na Chapee.

  • @Latifa123Latifa12
    @Latifa123Latifa12 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke sio mzima

  • @wanjirupurity5023
    @wanjirupurity5023 3 หลายเดือนก่อน

    Hio ni uongo linet hakufanyiwa kitu

  • @ronaldnambale9287
    @ronaldnambale9287 3 หลายเดือนก่อน

    The director's information is very correct and precise wao

  • @MaggyGesare
    @MaggyGesare 3 หลายเดือนก่อน

    Dave plz be careful but mungu hanakupenda 🙏🙏🙏

  • @winfrednzulakamami1093
    @winfrednzulakamami1093 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awalinde na awaepushe na mabaya yote katika Jina la Yesu

  • @hadijakangu5508
    @hadijakangu5508 3 หลายเดือนก่อน

    Uyu musichana anazoea kurusha watu kwamaji sasa iyo damu yauwaji imemutuma huku

  • @NgathaElijah
    @NgathaElijah 3 หลายเดือนก่อน

    Jesus! tycoon alipewa pete na akavaa... ohh My God!

  • @annkiilu2510
    @annkiilu2510 3 หลายเดือนก่อน

    Msiwai ruhusu huyu ibilisi hapa,maadui ni wengi senior dave

  • @redemtormwende2251
    @redemtormwende2251 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo. Mshichana. Hatuma. Mashetani😊

  • @mercyramsey7148
    @mercyramsey7148 3 หลายเดือนก่อน

    Dave plz weka CCTV kwa studio aki

  • @SheilaLovega
    @SheilaLovega 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona huyu linet aliachiliwa? Mark tell us what is happening?

  • @marywanjirukamwaro7261
    @marywanjirukamwaro7261 3 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi mumekaa namikora nahamjaichanuka mm nilijua tu nimipango yakuhari studio

  • @sadiahassan3096
    @sadiahassan3096 3 หลายเดือนก่อน +1

    Usiwakaribkshe Kwa ofisi yako Tena without DCI Mark tafadhali

    • @DuncanOtwori-ug2ii
      @DuncanOtwori-ug2ii 3 หลายเดือนก่อน

      Hata huyo DCI Ako na office amalizie kule wakifungwa ndio akuje aelezee ju alipomfungulia alifanya chini ya maji now ni kupigana

  • @magdalinewalter5081
    @magdalinewalter5081 3 หลายเดือนก่อน

    Security kwa mlango pls

  • @khadijaty7148
    @khadijaty7148 3 หลายเดือนก่อน

    Enyi watuu wa mungu mukay mukijuw hakuna urafiki wa porisi hata kidogo

  • @kipkorirkipkorirrobert
    @kipkorirkipkorirrobert 3 หลายเดือนก่อน

    Watching live from Pyongyang ❤❤❤

  • @husseinessanya4667
    @husseinessanya4667 3 หลายเดือนก่อน

    Huy linet ni mkora

  • @hezronmotari3662
    @hezronmotari3662 3 หลายเดือนก่อน

    Sanitize huyu msichana

  • @charity4908
    @charity4908 3 หลายเดือนก่อน +2

    Do not entertain this girl in that studio again, ever.

  • @fredrickdavid7831
    @fredrickdavid7831 3 หลายเดือนก่อน

    Aka naeza nyonga