Ukuta wa Chuma: Man City, Atalanta na Spurs

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Ukuta wa Chuma: Man City, Atalanta na Spurs

ความคิดเห็น • 25

  • @Lusubilombamba
    @Lusubilombamba 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Timu Iko vizuri pamoja na kwamba wachezaji wapya hawajatumika sawasawa.

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ni kweli hii inabmaana wachezaji wote watakapokuwa wako tayari timu itaimarika zaidi.

  • @MahirHani
    @MahirHani 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Shukrani bro

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pamoja sana

  • @EmmywaUsa
    @EmmywaUsa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ndugu yetu unakaa Sana, bira kutupa tarifa yoyot. Tunagutegemea Sana tajiri, we ndio unatupa habari za arsenal za uhakika.

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sawa bro tutajitahidi kurudi kwenye mstari. Ni dharura tu.

  • @amouralshabiby7543
    @amouralshabiby7543 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Safi sana kaka , nimependa uchambuzi !! Hopefully utakuwa una upload mara kwa Mara tuzid kuwa pamoja ! 👍

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pamoja sana kaka 👍🏾👍🏾👍🏾

  • @ChikamaiSongoro
    @ChikamaiSongoro 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Uko sawa kabisa

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Pamoja kaka

  • @EmmywaUsa
    @EmmywaUsa 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Usikae Sana bos

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sawa bro tutajitahidi kurudi kwenye mstari. Ni dharura tu.

  • @meshackwekesa2597
    @meshackwekesa2597 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tutakua sawa

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      👍🏾👍🏾👍🏾

  • @SeyfSalum
    @SeyfSalum 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kweli Unakaa sana

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      👍🏾👍🏾

  • @SeyfSalum
    @SeyfSalum 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Fikiria hilo pia

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      👍🏾👍🏾👍🏾

  • @athumanshaban
    @athumanshaban 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Broo yani hadi tunaugua tuna kumiss sana kaka

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sawa bro tutajitahidi kurudi kwenye mstari. Ni dharura tu.

  • @SeyfSalum
    @SeyfSalum 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwann coch arteta hawap nafas wale makinda wet kucheza kulik akin matinel ambao hawap kweny form

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Tatizo hili limekuja katikati ya mechi kubwa. Si rahisi kwa kinda kumuingiza kwenye big match, kwa sababu shinikizo ni kubwa. Kinda wanatakiwa kufanyiwa slow integration. Naamini baada ya mechi ya Man City, yaani mechi ya Bolton tunawaona akina Nwaneri

  • @jeilibertbikutabirashakwa5309
    @jeilibertbikutabirashakwa5309 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Salama jama na marafiki kwaninl Co cha wa arsenal hataki kununuwa stricks kwa nini arsenal club inahitaji wasirika watatu 3 ama wawili basi

    • @GanazMedia
      @GanazMedia  15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni fedha. Kwa mfano Arsenal wangemnunua Victor Gyokores kwa poundi milioni 60 tu basi msimu huu wangekatwa pointi.

    • @SeyfSalum
      @SeyfSalum 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@GanazMediapoint za fainacial ama?