WOLPER - "HARMONIZE / ALIKUWA MSHAMBA / SIJAWAZA KUOLEWA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- WOLPER - "HARMONIZE / ALIKUWA MSHAMBA / SIJAWAZA KUOLEWA"
Muigizaji wa filamu nchini, Jackline Wolper, amesema kwa sasa yupo kwenye mahusiano ambayo yapo 'serious' sana na kamwe hatomuweka mitandaoni mwanaume wake...
#WOLPER
www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/
Hakuna perfect man dada yangu Wolper. Wote Wana mapungufu, ni kuvumiliana tu. Hata awe anakupenda vipi ipo siku atakuboa tu ila mnasamehana maisha yanaendelea
N vizuli
Asante mama
Nirikuwa najuwa una hakiri kumbe mutu muzima horyo mungu wangu badirika wolper kuongeya ivo nihaya inaguhangayisha🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hakuna asiyekuwa mxhamba ujanja unatokaga mtaani kujichanganya na watu namna hiyooo Kama nikweli gonga likee hapaaaa
True point
👋👏👏👏
💪💪
Wewe ni star, mzuri na wa kisasa kwa nn u date na mwanamme mshamba? Hiyo ni tabia mbaya haiketi picha nzuri
Kweli
maringo unayo siku zote sifa mingiiiiiiiiiiii unadhani maskini ndo hawana mapenzi wewe ni maskini wa akili wolper hiyo pride yako hiyooooo siyoooo
Wanawakeni mama zetu na Wana hisia za kweli! tueshimu Sana wanacho ongea, Maana katika maandiko yanasema Mwanamke Mheshimu Mumeo na Mwanamke mpende Mkeo!!
As we Aman tuwaheshimu Sana wanawake tunao ishi nao!!
Nilimwelewa Mzee Lowasa aliposema kipaumbele cha kwanza Elimu, cha Pili Elimu na tatu Elimu..😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Hazimo
Kabisa!!
Yan wew mmbwa kwa harmoniz utasubiri
Hatariiii
Umempa ukwel wk kungun huyo hana llt kwa konde boy atasubir
Smash,Lavish and miss Beauty...I like the you answer the questions. Much Love from Dubai.
Nakupenda sana my lv worple
Nakupenda san mpnz auna ujinga
True time is better.
Hatimae leo unaitwa mama P MUNGU wetu nimwema
Tatizo la masuper star wa bongo mnadharau Wanaume masikini mbona masikini huku kitaa tumetulia na mapenzi yetu
Namadharau yko ndio kila mwanaume unaeshika anakuchezea nakukuacha
Yaan upo sahh bro
Apo sasa mme tulia kwel😂😂😂😂
Nakupenda sn Jackline Wolper
afu mnapendaga kusema mpango wa mungu......dah.....mtachomwa moyo nynyi....
Wolper nakupenda bure love
Youth so beautiful wolper
Nimechoka dd mchaga wangu eti daaaaaaaaaa🌷🌷💖💖💗💗💗
I love this woman she is my role model.
Kwanza wewe walper una maringo......kwa sasa hivi harmonize huezi mfikia hata kidogo......ushamba umebaki kwako..........😝😝😝😝 Achana na jeshiiiiiiii💋konde boy for everybody ❤️
sio eti alikua mshamba alikua mdogo wako so hana experience kama yako
Sanaaaaaa
Umependeza sana wolper!hasa izo glass zako uuum nipowa sana, D&G
Vp
Una ongeya sana
Uknow uknow uknow nyiiiiiingi acha hixooooo misifaaaaaaa mingi, ongea kama ww wolpa usiiige muangalie monalisa hanaga makuu,mshamba lakini ndio kesha kugonga na kasepa na hana time,na huyo ulompata unasema kula bata atakula bata kwako then ataenda Kuowa mke mtulivu asoringa na mwenye adabu kuongea mpaka matendo kauli inafunga tujifunze kauli nzuri
Mh.... unaongea usicho kijua 😂
Lot of ❤❤jucky
I Love you Jackline Wolper
Acha tamaa,mwanamke anamda wake wa kuolewa mda ukipita Dada yangu kalaga bao utabaki kuwa NUNGAHEMBE.
Km hajampatajeee afenyejee?
Love
Em tuone km mtafikia maneno yakuambiwa maana wale wamesha kua 1 ila hatutaki mapenzi wala mtukalie uchi tunataka muvi ambayo tutaangalia na family kwa pamoja
Eti kapuni kapuni kapuni kapu kweli ila hawatufikiii na mzeee mwinyimkuu huku maneno ya kuambiwa❤
Maneno yakuambiwa iko hot sana
Hapo uligonga ndipo
@@asherinashoni4526 kweli kabisa il mbon kapuni sio mbayaa
Sasa ku experience kiaje 😂😂😂buana wee...usiongee kizungu kma hujui maana yake ...umeulizwa mbona kwa umri wko hujafikiria mambo ya familia eti unajibu hujaexperience 😆😆😆😆😆aaiiisseee.....si mpaka uingie kwa familia ndio upate hiyo experience wolper kachemsha ungesema tu huko tayari kupata mtt na kuolewa maana ushachezewa sanaa
😂😂😂😂😂
Hahaaaaaaaaaa,fact
Shania una maneno km yoteee
Dah mm hyu dda nmkbli sna 🤠dah wolper mm sjui nsmje nnvokukubali
Nakuku Bali my
umeongea smart kula bata mama uko mzuri
Mtoto Mchaga dah!. I lived in Taveta , wachaga nawajua .
😄😄😛😛et Sina experience ya mimba😄gambeeee
Wolper kwa sasa konde boy humuwezi wew ndomana hunamzungumzia sn lkn hakuzungumzii ata kdg
Achana na konde boy si leval yko, ashakusahau konde yko busy na cute sara
Wadangaji super
Acha hizo wew mnapenda serengeti boys acha habar hizo huwo ni shamba uwoya
Love love love wolper asokupenda mchawi
Nampenda xna Wolper
Penda sana mm wolper wasiokupenda wajinyonge.
❤️💚💛
mtafutaji wangu
Happ kwenye pesa ndio nakupenda dada
Mpambanaji💓💓💓
Wolper nakupenda saanaa
Wolep nakupenda etii waringaaa😂😂😂😂
Wolper na Harmonize kuna maneno wana-share """ you know """"
Daa mihukupenda km Huna Ile miwiqi yko
Nakupenda sana dada uko vzr
Umependeza saana my c na unatema vitu vizr saana
Wanawake sisi mungu tusameh mtu anakukojoza ,we mkiachana unamnanga nna imani wanawake ndotuna aibu nying zaid kama wanaume tunaoachana nao na wao wakianza kutuanika mhh tutadhalilika
Kuringa kubaya na kudharau maskini sio vizuri..coz hujafa hujaumbika..leo na kesho umepoteza mguu, maskini mwenye miguu miwili utamuona wa maana sana.
Mremboooo
Huyu ana utajiri gani Ata anajigamba na kutukana watu Hana anacho jua Zaid ya you know na actually shenzi huyu hiyo maana ya experience sijui kama anajua
Kama wewe unajua kwanini usiende kumsaidia kuongea kenge wewe
Huhuhuu 🙉🙉
yuno yuno yuno yuno....yuno iyo veeepeeeee😁😁
Hiyo yonoo ukimchanganyia kingeleza ataanza kuuliza, yaani haja sikia kile kingeleza yunooo🤣🤣🤣🤣
Hahaha yo know
Hahaha
Plan pesa but one day utakumbuka hayo maneno .kumbuka mdomo unaumba ukikaa bila kua na familia yako sijui utakua unamtafutia Nani hiyo pesa . Hakuna kitu Cha msingi Kama kua na mtt mis money but akid is very important to our lives
leo unawaita wenzio masikin jaman kweli maisha hubadilika
Nadya Hassan True ...Hakuna MTU ajuwae ya kesho
Wolfer una upungufu wa akili, maringo na sifa ambazo hazina faida dadangu dunia ni duara. Harmo kukuacha inakuuma sana sahi harmo nhumuwei hata kidogo..
Kweli kabisa kazi na pesa ndoo mwanaume sasahivi ❤❤❤❤❤💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋
Ni kweli kabisa 👌👌
@@Superman--un9xz uwongo uwongo
Ok
Dadaangu usiringe Sana wanaume hawaaminiki..n you don't know where your future holds... Hivo unavoviita vishamba vinaeza kuja kuwa mumeo.
Harmo ananyoosha kiingereza we na iyo u know ni nyingii sana
Yuuu noooo,yoooo nooo yaaani wabongo banaaaaa 🤣🤣🤣😂
😅😅😅
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Wewe wawapi
hakuna kama maneno ya kuambiwa🙌
🤣🤣🤣
hahhahahaaaa jack bana eti ana kipepo cha maringo sa si ukikemeee hahhahaaa 😊😂😂😊😂😂😂
Uko vzur dada
Ustahili kusemahamo nizealikuwa mshamba Nahisi hata wewe ulikuwa mshamba nakumbukasana boyfriend ambaealikuwa nawewe Leo unamwita mshamba ustahili ulikashifu sana Hamo ukawa unashangaza watu sana hakunabinadamu asiekoseana nanagirlfriend au boyfriend acha jina la kumwita Hamo alikuwa mshamba arekurespekt sio kama maeasta nawamatatoo aliyekusema unanuka Bibi huyo ndio akukurespekt au muongo aliekudhalilisha na mapicha machafu .siku Zote usipende unamwambia Hamo Ni mshamba angekündigt mshamba sidhani kama angekuua Gauni try to User a good Language maisha hapana kupita usimseme Hamo mshamba wakati juzi tuu umemuengelea kwa uzuri au ulikuwa unapretend wakati anafungua cd yake .sawa nampenda kukueleza ukweli ukichu,ja sawa
UNAJIMPYA WEWE
Toka hapa,ashame on you,dharau ipi uliyo nayo,Na ww
Kweli mimi napendaga ginsi uyu dada
Uwoya auna utafauti na miss buza.. Watu washakutumia sanaa sahv umebak amaboko tu..ushachuja wewe auna jipya
Sorry co uwoya ni wolper auna jipya watakutumia watakuacha km bata
So beautiful Jack 😘😘
Nilikuonya juu ya kupendana na kile kijamaa cha WCB, hukuelewa.. Umeona kilicho tokea?
Naonaga kama hujui vizur lugha fulani bora kujisalimisha kwa kujizalilisha demu mzur unafosi kuchomekea vionjo vya mambele
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣haja experience kuwa na mtoto, 🤣🤣🤣🙌🙌 nacho sikia n you know tu 🤣🤣🤣🤣
Wolper zaa mtoto Mmoja hapo unafeli
Worper sikuhiz unavyovaa kiheshima hadi raha
Nc
Heshima ya mwanamke ndoa,then mtoto we unaongea nini mambo ya pesa tuachieni wanaume ndo fani yetu.
He kumbe m siheshimiki kisa sijaolewa bado duh jmn na ndoa iwe yenye baraka sio. Ndoa ndoano afu useme naheshimiwa dah tumuombe Mungu amabao bado htujaolewa
prisca njooo nikuoe upate heshima
Wanaume wenyewe ck hizi wanapenda kulelewa
Ni true wolper,kuna mijiti haifai kukuumiza
We mwenyeo ulikua mshamba adi sasa mshamba
😂😂😂😂
yeahhhhh
Kuzaa hujaexperience! kuolewa hujaexperience! na kutombwa je hujaexperience?
Wolper nakukubali sana lkn kusema unakataa milion 30 uongo huo
Wolper hapo hujanywa :🙄🙄🙄😁😁😁😂
😄😄😄
😁😁😆
Mary Gaspary kanywaa uyooo🤣🤣
we Million 30 ipi io ambayo utakataa ww 😪😂
Wew lofa sana
Jua kam harmonize yupo Juu sana
Pesa nitamu ukiwa na mtoto wakuikula...kaa hauna mtoto pesa ina maana gani...watanzania mkona nakasoro ya kukosa masomo mengi....
Ifikiee hatua watanzania tuipende tu lugha yetu maanaaa daahaa yunoo yunoo yunoo yunoo actually actually ...yeh yeh yeah ukuda tu yunoo nn sasa aaaah muwe specific embu wakenya kujenii muone ujinga yetu Tz
Penda sana jack
Ringa ringa wolper usiringa kwann wakati unae umpendae
Mbona sara kamuweza amonaizy
Hasna Abduly c nasikia wameachana
@@fasratabuu2585 aaaa wap hawajaachana juz tu katoa wimbo saea ndo vidio vixer
😂😂😂😂😂😂😂yani izi siku dada yangu una maringo hadi kero😂😂😂😂ila nakupendaga sana my choice
Ttzo movie za bongo ukianza ikifika kati tuu mtizamaji akajua inaishia wapi tofaut na za wenzenu
The other side of the coin is out, konde boy pole juu ya Huyu O
Ayo ni maneno ya dharau sana
Mmmh,,,,jamnieeeee hapa hakuna ndoaaa watu hawataki kuolewaa kazi kazi fanya kazi kisha kapumzike pembeni
Nakupendaga we dada mpk bc Yani natamani kila cku niwe nakuona tu
Ulipokuwa unamvulia chupi ulikuwa haumuoni Kama Ni mshamba? Leo baada ya kupigwa chini ndo unajifanya eti alikuwa mshamba.
hill nalo nenooo piga makofi kwa Kondeake weweeee
Wolper umenibamba nimekupenda bure 😃😃😃😃
Namba namba ya wolpa
Nimeipenda hapo kugaramia mtanzania hakuna kushea😂😂😂😂😂😂😂😂
Unadharau kwenu Tajili nyooooo
Dada hapa hujajieleza poa though some points umenena kweli
Mhhh hapo kwenye umasikini hapo,ndugu yangu ,,,,,,we bado huna pesa ,
Wenye talent ndo wanapiga hela mfano akina joti ringo nk
Wauza sura nyie ndo mnahaha
Wee kiboko nimeipenda hiyo huna pran😆😆😆
mi mshamba naomba uje upoteze muda na mimi wolipa, jaman niko chini ya kitovu chako 😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
Bongo movie Bongo lala