Yaani mwaka Jana kwa kwaya ya Mt Agustino Tawi la Saut Arusha, ulikuwa ni mwaka wa USHINDI kwa kila SHINDANO la kwaya, kutoka kwenye mashindano ya 1. jubilei ya miaka 50 ya jumuiya ndogondogo za kikristo ,2.kwaya za vyuo mbalimbali hapa ARUSHA ,then KITAIFA kama Kanda ya Arusha kwa kushiriana na wanakwaya wengine walioenda kongamano hapo DODOMA la TMCS na kuwa MABINGWA WA KWANZA, Namwomba MUNGU tena atusaidie tuweze kumaintain hayo yote bila kumpoteza hata mmojawapo kati yetu, kwanza kwa WALIMU wetu wa kwaya, VIONGOZI wa kwaya na WANAKWAYA WOTE kwa ujumla. Mungu Ibariki TMCS ARUSHA.... Mungu Ibariki TMCS SAUT ARUSHA.......... kwa mwaka huu Mpya 2025.🙏🙏🙏🙏🙏
@@MEELACOS Hata kama utakuwa busy Mwalim, nakuombea uwe busy katika Kwaya yetu pia,hata Kanda kwa ujumla na lait ningekuwa mlezi wa Kanda TMCS, ningekufanya kuwa MSHAURI na ORGANISER wa kwaya shirikisho hapa katika Kanda ya Arusha TMCS ukisaidiwa na Mwalim kiongoz Wa Kanda,,,, Na hii ni Kwasababu ya majitoleo yako juu ya Hii Kanda ya Arusha ,Kwan hujahitaji chochot kwa majitoleo yako as Alumni and as ulivyowafanyia Kwaya tofauti na Arush ,Mungu akubariki sana ila As Kanda, There is something to do for all teachers participated to bring about the CHAMPIONSHIP NATIONAL. MAY THE GOD BLESS YOU ALL OUR TEACHERS Who well organised at 16th National TMCS Conference at DODOMA, 1.Sir& Organist @Meela Costantine ,2.Sir &Choir Master @Coplo Gamaya Paul, 3.Sir&Captain Joefrey.
Unashindanaje na kwaya ya Meela? Meela mwenyewe anashinda kanisani na kinanda, ona organist alivyotulia utafikiri anatafuta makosa kwenye wimbo..kumbe ndo mashindano yako fainali. Meela whatsup me upate bia yako, 0624920400
🎉🎉🎉🎉
🙏🤭
Mungu azidi kuwatia nguvu 🙏🙏kila Mwaka mje na jipya♥️🙏♥️🎹🎹🎹🎧
Amina sana🙏🙏
Amina Sana ,Mungu pia akubariki sana
Safi sana mkuu
Shukrani sana🙏🙏
Hongereni
🙏🙏
Hongera sana Mkuu uliufanya vizuri huna bayaa
🙏🙏🤭
Honger sana kaka ..sanu seminary na jimbo la mbulu ..umeweka alama
Mungu ni mwema🙏
Yaani mwaka Jana kwa kwaya ya Mt Agustino Tawi la Saut Arusha, ulikuwa ni mwaka wa USHINDI kwa kila SHINDANO la kwaya, kutoka kwenye mashindano ya 1. jubilei ya miaka 50 ya jumuiya ndogondogo za kikristo ,2.kwaya za vyuo mbalimbali hapa ARUSHA ,then KITAIFA kama Kanda ya Arusha kwa kushiriana na wanakwaya wengine walioenda kongamano hapo DODOMA la TMCS na kuwa MABINGWA WA KWANZA,
Namwomba MUNGU tena atusaidie tuweze kumaintain hayo yote bila kumpoteza hata mmojawapo kati yetu, kwanza kwa WALIMU wetu wa kwaya, VIONGOZI wa kwaya na WANAKWAYA WOTE kwa ujumla.
Mungu Ibariki TMCS ARUSHA....
Mungu Ibariki TMCS SAUT ARUSHA.......... kwa mwaka huu Mpya 2025.🙏🙏🙏🙏🙏
Hongereni sana💥🤭
@@MEELACOS Hata kama utakuwa busy Mwalim, nakuombea uwe busy katika Kwaya yetu pia,hata Kanda kwa ujumla na lait ningekuwa mlezi wa Kanda TMCS, ningekufanya kuwa MSHAURI na ORGANISER wa kwaya shirikisho hapa katika Kanda ya Arusha TMCS ukisaidiwa na Mwalim kiongoz Wa Kanda,,,,
Na hii ni Kwasababu ya majitoleo yako juu ya Hii Kanda ya Arusha ,Kwan hujahitaji chochot kwa majitoleo yako as Alumni and as ulivyowafanyia Kwaya tofauti na Arush ,Mungu akubariki sana ila As Kanda, There is something to do for all teachers participated to bring about the CHAMPIONSHIP NATIONAL.
MAY THE GOD BLESS YOU ALL OUR TEACHERS Who well organised at 16th National TMCS Conference at DODOMA, 1.Sir& Organist @Meela Costantine ,2.Sir &Choir Master @Coplo Gamaya Paul, 3.Sir&Captain Joefrey.
Hongeren Sana wadogo zetu SAUT
@veronicajoseph826 Asante sana Dada yetu mpendwa, Mungu akubariki kwa pongezi kwetu sisi
Mtiribu na organist tunao ushindi lazima ❤🎉
🤭🙏
Kazi nzuri mkuu.. big up . Nimependa alama za uimbaji zilivyozingatiwa.. 💯
Shukrani sana🙏
Kazi nzuri sana aisee🎉🎉🎉😊
🙏🙏
Safi
Shukrani sana🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏🙏
Aaah aisee congrats sana 🎉
Shukrani sana 🙏
🎉❤🎉 big up
🙏🤭
Kazi nzuri sana wakuu hongera pia mkuu meela🎉
Shukrani sana🤭🙏
@MEELACOS lukela ukamtupilia mbali shenzi zake 😂😂😂😂😂
@datiuschangura5206 hahahah
Naam 👏🏽 Dynamics zmezingatiwa
🙏🙏
Waoooo ongera sana
🙏🙏
Ni jambo la kumshukuru sana mwenyezi Mungu meela na gamaya wapewe maua Yao
🙏🙏
After saut. The coming best choir...hahahhaha
🤭😂
🎉 mmependezaa sanaaaa
🙏
Asante sana mheshimiwa
Hongera saana organist na kwaya kwa ujumla
Amina sana🙏🤭
Asante sana, tunashukurru kwa comment
🎉meeela ...kijana mzalendo kabisa...huna bayaa home boy🎉
Naam naam daima katika utume
Nahitaji namba ya Meela
Lovely
Thank you 💥🤭
Fmilia👏👏
Naàm naaam🤭🙏
🎉❤
🙏
❤
Shukrani sana🙏
Ora mjuba umeitendea haki pedal kwenye baso kinyama arifu
🙏🙏
Meela nakubali xn nahitaji namba yake jmni
0625393245 hizo hapo
@MEELACOS ubarkiwe sn
Meela costerntine has done it again
💥Yes God did it again🙏
background sauti inaharibu watu
🙏
Unashindanaje na kwaya ya Meela? Meela mwenyewe anashinda kanisani na kinanda, ona organist alivyotulia utafikiri anatafuta makosa kwenye wimbo..kumbe ndo mashindano yako fainali. Meela whatsup me upate bia yako, 0624920400
Hahahaha sawa kabisa nakuja Whatsup