Superb! Kazi nzuri, tafakari nzuri sana kwa wakati huu tunapoendelea kutafakari na kumuombea mwenzetu Juliana apumzike kwa amani akaimbe na malaika Mbinguni🙏
Anactacia my big sister ,I just wanted to say that you are blessed with a very good talent, please continue to use that gift for praising Jesus , you will be blessed more and more
Hongera sana dada Muema Ann. Wimbo mtamu kwa mara nyingine tena dadangu kwa Kristo Yesu. Kipaji cha kuigwa haswa! Pongezi pia kwa muelekezi Ray Ufungu na timu yake.❤❤❤
A Solemnly executed piece ...should I say the perfect way to start off the Year?. Jesus our friend.. who stands with us in every situation. Keep up the good work Annastacia.🎉 🎉🎉
Hongera sana sana sana tena sana kwa kazi nzuri hakika umeweza kuufurahisha moyo wangu kwan napenda sana kuckiliza nyimbo za taratibu kama hizo. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki
Rafiki mwema kweli! Acha nikwambie kitu dada Ana, unapendeza sana. Napenda sana jinsi unavaa nguo za kukuenea! Ni kitu kizuri sana. Songa mbele sana kwa kazi nzuri unayoyifanya kupitia nyimbo.
Huyu dada atanifanya mm niwe mkatoliki sasa🎉🎉
Karibu, Mungu na akuongoze unapoufanya uamuzi
karibu sana😊
Talk with me I'll tell you the truth about Catholic best of all other churches 🙏♥️
ujachelewa bado kaka
Hongera sana kipenzi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yes what a friend we have . ....❤❤
You are always my mentor I always admire your songs as your fellow young soprano the song is touching my role model it is wow❤❤❤
Wonderful ❤❤❤ such a beautiful sound track ❣️
Am already in love with this songa, what a friend we have on Jesus! He never leaves our side😭😭😭
Oooh yeees. He is in our lives to stay.❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Congratulations anastacia muema kwa wimbo wako mzuri na mungu akubariki sanaaaa❤❤❤
Nilijuaga ni mbongo
Superb! Kazi nzuri, tafakari nzuri sana kwa wakati huu tunapoendelea kutafakari na kumuombea mwenzetu Juliana apumzike kwa amani akaimbe na malaika Mbinguni🙏
Amina Amina. Mwenyezi Mungu amlaze palipo pema.🙏🙏❤️❤️
Barikiwa sana Anastasia, from Tanzania ❤
The solo artist ,❤️🥳,the voice ,the composition ,The video ,She is just flowing with the song so expressively ,just woow ,Just woow 🥰❤️🥳
Aaaww❤️❤️. Thanks for the compliment. Be blessed❤️
Hongera Kwa wimbo mzuri. Mola Akubariki.
This girl encourages me...thank you...Yesu Rafiki mwema akuzidishie mara dufu❤
Aminaaaa🙏🙏❤️❤️❤️. Be blessed big siz❤
@@anastaciamuema❤Amina
Hongera sana Anastacia Muema kwa kazi nzuri. SAUTI imetulia vizuri, Utunzi nao umekaa vyema kabisa. Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vya juu.
Amina.
Asanteni sana marafiki zangu kwa kutazama.🙏🤗❤️
Mungu awabariki.
So kwa sauti hiyo jaman duu dada umebarikiwa hongela sana
Anastacia rajo and not forgetting Dr Bongole breads something wonderful. Ebdwleeni kumtukuza mungu kwa vipawa vyenu. Be blessed all of you
Tunashukuru kwa comment yako. Ubarikiwe🙏❤️❤️
This is so wonderful ❤God bless you abundantly
❤❤❤ Wimbo mzuri wa tafakari kwa kila mwanadamu wa leo Asante san mkirist himara🎉🎉🎉🎉❤
Tamu sana
Anactacia my big sister ,I just wanted to say that you are blessed with a very good talent, please continue to use that gift for praising Jesus , you will be blessed more and more
Amen Amen.🙏 Glory to God.🙌
Be blessed.❤️🤍
Marafiki huja na kutoweka,lakini yesu yu nasi daima,hongera sana dada
Huyu dada jamn, daahh mungu ambariki TU, ila Anna ujue huku umejaza sm yangu nyimbo zako tyuuu
@YohanaAlfred-j1k mwenyew kajaza yangu, ata status zangu zote ni za nyimbo zake
Thanks 👍👍
Good 🎉🎉
Hongela sana dada yangu
From Claire Waithera you have a very nice voice continue singing and don't ever give up ❤
Very good our lovely singer Anastasia muema ❤❤❤
Yesu is the only friend ❤❤❤ thanks Ann❤❤be blessed
Absolutely. Be blessed🤗🙏❤️❤️
Hongera sana dada Muema Ann. Wimbo mtamu kwa mara nyingine tena dadangu kwa Kristo Yesu. Kipaji cha kuigwa haswa! Pongezi pia kwa muelekezi Ray Ufungu na timu yake.❤❤❤
Shukran sana Silas.
Ubarikiwe sana❤️
🎉🎉🎉🎉🎉
Thank you for this great song. We salute you and love you ❤in Luxembourg 🇱🇺. Salamu
Thanks for the love. Feel loved right back❤️❤️
Congratulations.... that's is true that Jesus is the true friend....God bless you Muema❤❤❤
Absolutely! Amen!
God bless you too!🤗🙏
what a meiodious song god bless you🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika Yesu ndiye rafiki wa kweli.....Asante sana kwa wimbo uliotukuka
Asante sana kwa kutazama🙏❤️
Nakupenda sana Dada Anastazia na napendezwa sana na uimbaji wako...Mungu akuinue sana
Great great.
I dedicate this song to my friends.
Hongera sana my big sister,, I admire the singing. May God keep you always. Ever in my prayers ❤❤
Thankyou so much mdogo wangu.
Be blessed dear.🙏🙏❤️❤️
Waoooo
Congratulations my role model....u made me become a solo artist
Love ur voice
More grace
Glory to God in the highest. Blessings be upon you dear one.❤❤
Asante kwa wimbo nzuri sana dada Anas!
Hongera sana Anna. Nakumbuka sana pale Arusha ulivyoniusia jinsi ya kupambania kazi bora. Naona kweli unapambania haukubali kushindwa ! Hongera sana.
What a friend we have in Jesus! Praise be to Him now and Forever.
This song will go a long way in establishing your singing talent,Anastacia.
Congratulations my favorite ❤❤
You are blessed Ann!!! Continue spreading the word of our Jesus through Catholic songs, uinuliwe dadangu ❤❤
Rafiki kweli ni yesu sifa kwake kila wakati asante sana Ann Kwa wimbo mtamu sana❤
Amina.
Ubarikiwe sana dear🙏❤️
Amazing voice 👏👏 Hakika Yesu ni Rafika 🎉❤
You're going far Anastasia 🎉❤
AMEN AMEN AMEN. Be blessed❤️🙏
Awesome composition and performance
Thankyou so much🙏❤️
Asante Ann kwa kutukumbusha kuhusu rafiki mwema..... congrats for the nice song
Asante sana kwa kutazama🤗🙏❤️
Yesu kweli ni rafiki wa kweli🙏. Annastacia, Mungu aendelee kukubariki kwa kipaji cha kutuinjiillisha❤️. God loves you so much 😊
A beautiful piece...amazing composition and performance ❤❤ Yesu kweli rafiki
Amina🙏❤️
Kwa hakika ni rafiki wa kweli.
Ubarikiwe❤️
Nice & the place brilliant.
Praise be to the living God. Umekuwa baraka kwetu Miss Anne, siku zote. Amina
Sifa na utukufu zimrudie Mungu.🙏🙏❤️❤️
Ubarikiwe sana ❤
What a great song you indeed bless our hearts
Amen Amen🙏🙏❤️❤️
Blessings upon you.
A Solemnly executed piece ...should I say the perfect way to start off the Year?. Jesus our friend.. who stands with us in every situation. Keep up the good work Annastacia.🎉 🎉🎉
As we start the new year, may Jesus our true friend, journey with us!🙏
Be blessed Francis😊❤
Wimbo wakuliwaza kutafakari unavutia mnoooo ❤
Praise be to God forever
Asante Ann
Amen🙏❤️
Praise be to God in the highest!🙏❤️
Well done my fav ❤. May the Lord bless you in his vineyard
Congratulations darling what an inspiring song❤❤yesu rafiki yangu katika unyonge wangu nihimarishe🙏🙏
Beautiful song 🔥
Powerful message 💯
Amazing voice 👏
Uwe na maigsha marefu Annastazia na Mungu akusaidie
You never disappoint Queen of catholic music God bless .
Glory to God. Be blessed!❤️❤️❤️
Congrats 🎈❤❤❤ nice song indeed
Uzidi kubarikiw dada muema nyimbo zako nyingi zmekuwa na mafanikio kwangu be blessed more and more
Pongezi dada wetu Anastacia, twakuombea mema katika safari ya kumtukuza Mungu❤.
Amina Amina.🤍🙏❤️
Nakuombea Baraka tele 🤗
Mungu ni Mwema... Hongera sana Anastacia...🎉🎉❤❤❤ Nimeupenda na umenibariki sana...
Nafurahi kujua umeupenda. Ubarikiwe😊🙏❤️
Ahsante na barikiwa sana Anastasia 🙏🙏🙏🙏
❤ mpendwa wangu Anastacia mwema Mwenyezi Mungu akujali nguvu 🎉
AMINA🙏🙏🙏
such a wonderful piece , congratulations Anastacia❤❤🎉🎉🔥
Shukran Sister🙏❤️
Nice song anactacia may God bless you for the good work
Thankyou so much.❤❤
Amazing voice 🥰🥰🥰 hongera Ann...kweli yesu ni rafiki wa kweli
Thankyou so much Rosemary❤❤❤
Hakika ni rafiki wa kweli siku zote.🙏
Kweli rafiki wa kweli ni Yesu kristo
Always talented siz keep going
Kazi nzuri dada yetu zidi kumtumikia Mwenyezi Mungu siku zote.
Woow🎉🎉nice one 😊 congratulations Anastacia
Thankyou so much🙏❤️
Congratulations muema, umekua wa Baraka siku zote🎉🎉🎉🎉🎉, hasa injili🙏🙏🙏
Amina🙏
Glory to God🙏
hongera mama...🎉🎉 nice song YESU RAFIKI YANGU kweli
Amina. Ubarikiwe🙏❤️
Ann when i came home nitákutafuta
Hongera sana Anastacia kwa kazi nzuri. Mungu azidi kukuinua na kubariki kila hatua ya maisha yako.
Please Anastacia si ututolee moja ya Mary Mother of God 🙏🙏♥️ otherwise you a great woman in singing for the Lord
Amazing ❤
A very nice song, lyrics 🔥 and amazing voices, congratulations 👏👏
Thankyou so much for the compliment. Be blessed🙏❤️🤍
Hongera sana sana sana tena sana kwa kazi nzuri hakika umeweza kuufurahisha moyo wangu kwan napenda sana kuckiliza nyimbo za taratibu kama hizo.
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki
Rafiki mwema kweli!
Acha nikwambie kitu dada Ana, unapendeza sana. Napenda sana jinsi unavaa nguo za kukuenea! Ni kitu kizuri sana. Songa mbele sana kwa kazi nzuri unayoyifanya kupitia nyimbo.
Hakika Yesu ni rafiki wa kweli hawezi tuacha kamwe, Nimefarijika Sana, Hongera dada Ann Kwa kazi nzuri ya uinjilishaji 🎉
Amina.
Ubarikiwe sana🙏🤗❤️
Wowwww 🎉🎉🎉🎉🎉🎉… such a powerful song.
Let’s pray for her soul to rest in eternal peace
Thanks and Amen🙏❤️
Ni Mungu mwenye nguvu milele
nice song my sister keep it up and may the lord God bless you always
Jesus my everlasting friend. A beautiful blessing song Anastacia. You are a singing witness. More grace sis.
Amen. Be blessed Peter.❤❤
Ujumbe wakweli hongera Dada
Congratulation Anastacia,may the almighty GOD give u more ed more yrs kutuimbia
Amina🙏❤️
Ubarikiwe sana mpendwa 😊❤
Mfariji wa wote na akufariji wakati huu mgumu, sweet voice indeed
Amina🙏💕
Anastasia you are so blessed with a great voice.
Thanks and Amen🙏❤️❤️
What a voice! What a message! Keep going Anastasia.
Hongera. Rafiki. Wa. Kweli❤
Hongera sana,very nice song
Hakika ❤Yesu Rafiki wa Kweli. Sauti tamu, wimbo mzuri kweli
Amina❤😊. Be blessed
Thank you Dada for inspiring me. 🎉🎉🎉
I'm glad kwamba umekuwa inspired❤❤😊😊
Kazi safi dada yangu .my God bless you for the good work
Wow 😳😳😳 so solemn what a wonderful song, YOU ARE A BLESSING TO ME and you will always be a blessing may the Almighty God always hold you in His Arms
AMEEEEEN🙏
From your mouth to God’s ears!
Be blessed.❤️❤️
@anastaciamuema 🙏🙏🙏
❤Outstanding...hongera sana Ann. 2025 full blessings
Thankyou so much dear.
May it be a year of abudant blessings!🙏❤️🤍🤍
Nice hongera
Hongera san Mpendwa That is Good❤❤
Nice masterpiece moreso u have a golden voice 💯
Keep on blessing souls dear,kazi safi❤
Only God, only in him and only with him
Amen🙏❤️
Best song ❣️🤩❣️😍
Wooooow 🎉🎉....❤❤ you have done it again 🥳🥳 my sister 💞
Thankyou so much for watching🙏❤️😊
Amazing one,have loved it😘🥰
You convey the emotions within the music so well🤗🥰.Hakika yesu ni rafiki wa kweli😘🙏
I'm happy you love the song. Be blessed dear❤❤❤
Congratulation my sister in Christ, cool song may GOD bless you
Thankyou so much sister. Be blessed ❤
Wow, very beautiful and powerful message!