Kurudilia ma neno sio shida ila kosa ni kurudilia msemwa mzima wa nyimbo iliopita. Happy, love and peace for Zena Salma pamoja na Serious group. Almighty God bless all of you. Keep singing.
Hongerini lakini mimi niwape ukweli. too long song nimambo yazamani sana wimbo ni dakika 5 inatosha All your song the same Melody hiyo nayo ni weakness ya mtungaji Ukweli unauma ila hongereni sana big up
@@zenasalma6640 tunapenda sana kazi zenu lakini Jaribu kutumia différent Melodies ngoma tofauti: rumba, slow, zuke, seben, tarabu lakini nyinyi nyimbo zote goma moja tu
Siku tatu,views elfu 3,siyo jambo dogo ukiringanisha na idadi ya subscribers waliopo na ikumbukwe hapo kuna subscribers wengine walishakufa,wengine walipiteza simu na hawaijui email ,yani Mungu mkubwa kwa ilivyo tazamwa
Asante sana tena sana jmn kwa support yako kwangu Mungu wangu w mbinguni ninaye muomb n kumuamini namuomba mara tena akubariki saana. Simulizi za mja gongo 👏👏👏🙏🙏🙏
Oh my God ,Dah Sana mmbarikiwe 🙏🏾
Amen amen 🙏
Etienne fwanga official nimeona ,nakubali sana dada yangu Zena
Asante san kk angu
Israel bro kimya sana 🎉🎉🎉🎉❤❤ nini
Kazi nzur kweliiiih
🙏👏🙏👏
Ubarikiwe Mtumishi
Amen
Tupo hapa tunaisubiri iachiwe tu
Km masaa 9 ivi itakuwa ewani
Styliste wa ba serious gospel ahujawavalisha vizuri watu wako
Sawa
good job group serious gospel 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉te your Jesus
Ubarikiwe dada ZENA SALMA ulifanya jambo la busara kufanya kazi Na serious Gospel.
Asante sana ndugu angu
Vizur san kazi njema kwel
❤
Amen kubwa mubarikiwe san
❤❤❤❤
Kazi nizuri kbs MUNGU wambinguni nimwema
Asante san ndugu
AMENA SANA TUMEBARIKIWE MUNGU azidi kuwainua zaidi
Mmenigusa mno mungu awapenguvu yakuendelea kufanya kazi nzuri zaidi
The lactation is beautiful ❤
M@&8olop😊😊
Mubarikiwe sana nimeipenda mnooo
Amen 🙏
Amen kubwa 👏🦶
🙏🙏🙏🙏
Wow nyimbo nzuri sana adi rahaaa
Asante Wangu
Mungu awabariki sana
🙏🙏🙏🙏🔥
Nime barikiwa san na wimbo huu🙏🙏
Amen
Ubarikiwe sana dada yangu Mungu aendelee kukuinua kwaviwango vyajuu
Asante sana mdg wangu ❤
Nakupenda bure sis zena
❤me too
Mbarikiwee sana watoto wa Mungu
Masaa 12 bado mengi😭😭😭
Hahahaha vumilia tu
Naona Mungu anazidi kuibariki kazi yake kama ambavyo niliitabiri🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Ubarikiwe dada ZENA SALMA kwakufanya kazi nahawa watu.
Asante san 🙏🙏🙏
Ulishakua mbali kimziki Da Zena
Asante san kk pia Naitaji maombi yk kaka angu mahana bila Mungu atuwezi peke et
Kazi ihendelee wana serious Gospel nawapenda sana
Asante san
Oh my God,, wimbo mzuri mungu awabariki,hakika mungu azidi kuinuliwa kufika hii wakati haijawa rahisi lkn Kwa neema yake namalizia mwaka Kwa amani
iyo ni kweli kbs Mungu azidi kukubariki zaidi na zaidi
Tuna subir kwa ham kubwa
❤
Nice sana seen BY FIGHTER
Thx
Kazi njema dada. Tunazidi kubarikiwa na nyimbo hizi
Lovely song 🎵❤️❤️🖐️
Dadangu Zena Kakako Director Mr Spy nimeona Hii
Asante san kk ang
hongereni sana watumishi wa Mungu
Asante sn
UNABARIKI SANA NIMEBARIKIWA KUTOKA TANZANIA HAKIKA NIMEMUONA BWANA
I'm blessed with this song mbarikiwe sana 🙏
Mubarikiwe Sana
❤❤❤❤
Anthony anavyo penda kula ,nilijuwa awezi cheza sehem nyingine.
Hahhhh unamuonea kk angu jmn
Mbarikiwe sana❤
Mubarikiwe sana kweli thank you Jesus 🙏🙏
Amen 🙏
Tunasubiri
Tyr mbona ishakuwa ewan
Kali sana Kenya Nairobi Isha fika
Oh wow vzr sana Asante sana kwa support yenu watu wa Kenya 🇰🇪
Tupo apa tuna subiri kubarikiwa
Amen
Nc wimbo Mzuri kabisa
Amen
Barikiweni sana
Amen
Hongera sana watoto wa Mungu ..! Mungu awabariki sana. Hii kitu ni nzuri sana .. ❤❤
Asante san kk
Good job wana wa mungu
Amen
Mubarikiwe sana dada n'a serious
Amen
Nimeupenda mpk basi
Asante sana
Da zena Ako ka voco kako kananiuwa atariiiiii
Hahahaha Asante jmn
Amena kubwaaa
🙏
Nilizani uwongo kumbe serious gospel
😀😀😀😀😀
Mungu awabariki sana ❤❤❤
Asante san
Ubarikiwe dada
Amen 🙏
Mybarikiwe sana.. ila serious gospel Kuna bahazi yamaneno yenu yanazunguka kwakila nyimbo yenu kwanini?
Tutajikosoa ila Asante
Kurudilia ma neno sio shida ila kosa ni kurudilia msemwa mzima wa nyimbo iliopita. Happy, love and peace for Zena Salma pamoja na Serious group. Almighty God bless all of you. Keep singing.
Nice ❤
Thanks 🔥
❤❤❤
Salma na kupenda sana tena sana silali kwa ajili yako unavyo toa hiyo sauti utaniuwa na presha
Hhhhhhh Asante kwa upendo wako
@@kaskoboy4044 😀😀😀😀🙏🙏🙏🙏
Amen🙏🏾❤️
Asante
Napendaka mwili wako sis zena unene mpak rah
😂😅Asante
Good job 🎸🎸🇹🇿
🙏🙏🙏
@@zenasalma6640 thank
Karibu tena ndugu
Sawa dada yangu
Amen Mungu mwema
Kweli kbs
Nimeiped san
Asante
Umenibariki kupitia kijan ambay anavalia nyeup
Amen
❤️💜❤️❤️🙏🙏🙏🔥🔥🔥
💛💜💜💚🔥🔥
👏👏👏
Amen
❤😊
🙏
Nice song
Thx
Amène ❤😭🙏
🙏🙏🙏
Wow
Amen🙏
Amen❤
Nc song
🙏
amena
❤
wow
Yes
❤️❤️
🙏
❤️❤️❤️❤️
❤
🙏🙏
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
❤
Kundi Yangu Pendwa
Naona ivyo kbs Director maireee💪💪
Asante ! Tupo kwa Ajili Yenu
Hongerini lakini mimi niwape ukweli. too long song nimambo yazamani sana wimbo ni dakika 5 inatosha
All your song the same Melody hiyo nayo ni weakness ya mtungaji
Ukweli unauma ila hongereni sana big up
Ok sawa tumeshukuru lkn jua nilazima iwe ivyo. Kwasababu waliyo tuma voco ni watu weg
@@zenasalma6640 tunapenda sana kazi zenu lakini Jaribu kutumia différent Melodies ngoma tofauti: rumba, slow, zuke, seben, tarabu lakini nyinyi nyimbo zote goma moja tu
@@kihizakyemigazi196 😀😀sawa
Siku tatu,views elfu 3,siyo jambo dogo ukiringanisha na idadi ya subscribers waliopo na ikumbukwe hapo kuna subscribers wengine walishakufa,wengine walipiteza simu na hawaijui email ,yani Mungu mkubwa kwa ilivyo tazamwa
Asante sana tena sana jmn kwa support yako kwangu Mungu wangu w mbinguni ninaye muomb n kumuamini namuomba mara tena akubariki saana. Simulizi za mja gongo 👏👏👏🙏🙏🙏
@@zenasalma6640 🙏🙏🙏🙏🙏Amen
th-cam.com/video/xkdjbAIvYws/w-d-xo.html
Kazi njema jamani
P r o m o s m
Etienne fwanga official nimeona ,nakubali sana dada yangu Zena
Asante san kk angu etienne
Amen 🙏
Asante
Amen 🙏
❤❤❤