PATANISHO : KWAMBOKA - NIMEKUSAMEHE LAKINI JIHESHIMU KAMA MWANAUMME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 103

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482 2 ปีที่แล้ว

    Love is a beautiful thing❤️

  • @Kwa123
    @Kwa123 4 ปีที่แล้ว +5

    Wakisii ndani ya nyumba nipe likes gaki

  • @saryhguusfv1025
    @saryhguusfv1025 4 ปีที่แล้ว

    Caro kemunto watching from saudia Team saudia mko wapi, mogaka uko na ujinga sana, msichina mwenye mnafanya kazi na yeye, anakupigia simu mogaka Gaki gaki

  • @juliakhaeli1140
    @juliakhaeli1140 4 ปีที่แล้ว +10

    Mi niolewe mume wangu akule nje apo nkumwacha tu ju atakuwa anancheat. Team kujiamini no.6

  • @christinahachieng996
    @christinahachieng996 4 ปีที่แล้ว +2

    Leo nimekamu mapema woyeee team Hamam aki mnipeni likes

  • @MaBrady
    @MaBrady 4 ปีที่แล้ว +16

    Wa tatu Leo, likes zikuje mbio nikisikiza wakisii wezangu. Gaki gaki our kisii men is a no go zone to me

    • @wilma1866
      @wilma1866 4 ปีที่แล้ว

      Wewe, sio Wakisii wote!

    • @browniemrefu5639
      @browniemrefu5639 4 ปีที่แล้ว +1

      No wonder wakamba are taking over,wamejaa huko,na wanatii

    • @Kwa123
      @Kwa123 4 ปีที่แล้ว

      Hahha

    • @kenmzungu6730
      @kenmzungu6730 4 ปีที่แล้ว +1

      Tafuta wasomali ukuwe bibi namba 4

    • @kenmzungu6730
      @kenmzungu6730 4 ปีที่แล้ว +1

      Likes za nini? Umefanya nini?

  • @cletusgitonga2611
    @cletusgitonga2611 4 ปีที่แล้ว

    Gidi wee n ndume ya patanisho.I like it

  • @thomashezekiah3680
    @thomashezekiah3680 4 ปีที่แล้ว +1

    Mipango ya kanda wanaandaa chakula vizuri na kina utamu aina ya kipekee

  • @madamboss348
    @madamboss348 4 ปีที่แล้ว +1

    Edwin anamiss twa twa twa

  • @maxmillarnabwire2855
    @maxmillarnabwire2855 4 ปีที่แล้ว +1

    Niko ndani ndani

  • @vailetjunior5286
    @vailetjunior5286 4 ปีที่แล้ว

    Weee hiyo roho ya bibi n Safi 😊😊😊😊😊nipewe puriiis

  • @princesspriscaofficial4823
    @princesspriscaofficial4823 4 ปีที่แล้ว +1

    Miss this gidi & ghost 😍😍😍

  • @jumasamuel8081
    @jumasamuel8081 4 ปีที่แล้ว

    Nimekubali mimi leo ndo wamwisho to comment

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 4 ปีที่แล้ว +3

    sweetheart--Eeeeh

  • @essynyakundi4471
    @essynyakundi4471 4 ปีที่แล้ว +3

    Giddy Giddy Giddy, nimekuita mara ngapi kababa😂😂, patanisho ya siku mbili iko wapi

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 4 ปีที่แล้ว +1

    Team kujiamini mpo

  • @annjuku8542
    @annjuku8542 4 ปีที่แล้ว

    wanaume ni mapepo nawajukiya Sana

  • @brianotienoomwonyo8234
    @brianotienoomwonyo8234 4 ปีที่แล้ว +2

    Good work my brother gidy, we love this show, owadwa

  • @zipporahlungahi1409
    @zipporahlungahi1409 4 ปีที่แล้ว

    Mkora huyo Gidi

  • @jackiendambuki4788
    @jackiendambuki4788 4 ปีที่แล้ว +3

    Ghost 😂😂😂😂😂😂😂kicheko tamu 😂 😂 😂 😂 😂

  • @jullygichuru4884
    @jullygichuru4884 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Jamaa c anechekaa watu aki

  • @essiewajojis7918
    @essiewajojis7918 4 ปีที่แล้ว

    Ako lucky bibi yake ni mpole al the best

  • @akinyiroselyne2697
    @akinyiroselyne2697 4 ปีที่แล้ว +2

    Team hammam mko????

  • @faithnyaera9627
    @faithnyaera9627 4 ปีที่แล้ว

    Ghaii Aki Gidi,,,,ety kafisi😕😱😱

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 ปีที่แล้ว

    Hahahahahaha kwa site

  • @lilianodinga7700
    @lilianodinga7700 4 ปีที่แล้ว

    Namba 2

  • @wilma1866
    @wilma1866 4 ปีที่แล้ว +1

    Haki I have been looking for this guy’s name... Giddy Giddy Maji Maji...

  • @ms.irene.1265
    @ms.irene.1265 4 ปีที่แล้ว +2

    That man has a good wife.
    Beautiful reunion!!

  • @cynthiakawira1804
    @cynthiakawira1804 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anakula chakula na pia anakula mpishi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ibugharib389
      @ibugharib389 3 ปีที่แล้ว

      Hahaa anakula kuku na mayai yake

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 4 ปีที่แล้ว

    His lucky

  • @nellywanyanja81
    @nellywanyanja81 4 ปีที่แล้ว

    Ni mke wa hekima inabidi abadilike kaa yuko na hiyo tabia

  • @manyamiracountyKemy2027
    @manyamiracountyKemy2027 4 ปีที่แล้ว +2

    Mkisii na chakula🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @pampamie2375
    @pampamie2375 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa kwanza team hamam 🤣🤣🤣🤣

  • @ashleymonicah5502
    @ashleymonicah5502 4 ปีที่แล้ว

    Patanisho inaelekea kuisha ...

  • @herbertmoriangoakaraurau8203
    @herbertmoriangoakaraurau8203 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkisii lazima akuwe na mipango wa kando. Don't arguewith me.

  • @annjuku8542
    @annjuku8542 4 ปีที่แล้ว

    awa wtu niwajaja mm ni likuwa muja musido mwanaume aliamiya kuwa mama japati Sasa Ata Sapa sikuwa napewa ni likuwa naletewa japati dio Sapa adi siku yakujifukuwa alikuwa ameamiya uko niliishi kuwa nyumba peke yaku niliumwa siku pili musuri mwanaume apatikani wanaume ni mapepo 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @kenmzungu6730
    @kenmzungu6730 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna fisi hapa
    There’s nothing wrong being FRIENDS na OPPOSITE GENDER, bora u know ur LIMITS!!!!!

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣waschana wa side noma

  • @akinyiroselyne2697
    @akinyiroselyne2697 4 ปีที่แล้ว

    Ghai!Gidi unachomea mwenzako 🤣🤣🤣🤣

  • @mpendaamani2251
    @mpendaamani2251 4 ปีที่แล้ว

    Hizo machakura ndio huleta noma kwa ndoa

  • @jooutlook3557
    @jooutlook3557 4 ปีที่แล้ว

    Wanaitwa mamantilie

  • @سوسوالعتتيبي
    @سوسوالعتتيبي 4 ปีที่แล้ว

    Gidiy mugaga ni kafisi😂😂😂😂😂

  • @janewairimu5809
    @janewairimu5809 4 ปีที่แล้ว

    Aki Gidi 😂😂😂😂😂😂

  • @stargal906
    @stargal906 4 ปีที่แล้ว +4

    Wanaume mkoje lakini? Mokaka anapigiwa simu na mama chakula kama amefika nyumbani salama😁😁😁aki gidi na ghost mbarikiwa napenda sana patanisho.
    Eti mokaka ni kafisi 😁😁Hata mie naskia hiyo kuongea😄😄😄😄

    • @kenyanniggar357
      @kenyanniggar357 4 ปีที่แล้ว

      eeh mteja wako ni mtu wa maana, lazima umjulie hali

    • @stargal906
      @stargal906 4 ปีที่แล้ว

      @@kenyanniggar357 😁😁😁Hiyo ni ubumbavu utapigiwaje simu na mwanamke mwingine nami Niko hapo?

    • @kenyanniggar357
      @kenyanniggar357 4 ปีที่แล้ว

      @@stargal906 eeeh baye mkoko, ni customa tu heheh

    • @kenyanniggar357
      @kenyanniggar357 4 ปีที่แล้ว

      @@stargal906 take good care of your customa ndo kesho akuchangie bana

    • @stargal906
      @stargal906 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kenyanniggar357 sijakataa lakini mama chakula anawezaje kupigia simu akuulize kama umefika nyumbani salama?

  • @MaBrady
    @MaBrady 4 ปีที่แล้ว

    Surely aty mrembo Wa kupika kwa site anapigia bae kujua vile amefika home yawah. Gidi hapo umecheswa

  • @marthakamau5540
    @marthakamau5540 4 ปีที่แล้ว

    Ngai uuuuuiiii, Mogaka wewe ni upcoming kafisi kadogo

  • @alla1325
    @alla1325 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna mume wa mke mmoja tusidanganyane ,kama nikurudi rudi mshee roho safi, ukitaka mumewako pekeako jizalile mwenyewe

  • @harrietchite9764
    @harrietchite9764 4 ปีที่แล้ว +1

    Mogaka be honest to your marriage

  • @quinncordelia4902
    @quinncordelia4902 4 ปีที่แล้ว

    Hehehe sasa sio simu Kwamboka alipokea ya mama chapo beans,kumbe kulikuwa na wanawake wengine.hakuna kitu mbaya kama kuloose trust kwa partner wako...hapo love kwisha🤨

  • @sabinamuhanda9903
    @sabinamuhanda9903 4 ปีที่แล้ว

    Gidi wacha unataka kusema wewe haunako kamanyanga hii town 😂😂😂

    • @fanig319
      @fanig319 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌akose huyu

  • @Ruthbosibori-uu7eq
    @Ruthbosibori-uu7eq 4 ปีที่แล้ว +1

    Obeeeee gaki chiabagoire piiiii

    • @HighTechAutoSales
      @HighTechAutoSales 4 ปีที่แล้ว

      Huh...ata umenitupisha mbao hapo..
      Translation plz🤣

    • @Ruthbosibori-uu7eq
      @Ruthbosibori-uu7eq 4 ปีที่แล้ว

      @@HighTechAutoSales hii ni kazi ya waluhya c wakisii gaki

    • @HighTechAutoSales
      @HighTechAutoSales 4 ปีที่แล้ว

      @@Ruthbosibori-uu7eq well if u say so.

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂kuna siku nilikula kwa mamangu jioni kufika kwa hao nakuta waiguru wangu akiwa amepika ugali na nyama nikaenda kusema sikuli nimekula kwa mum ile makasiriko ilikua na waiguru hio usiku ni ile ya ukimaliza unifunike tangu hio siku ndo nilijua waiguru wote hawatakangi ujinga

  • @harrietchite9764
    @harrietchite9764 4 ปีที่แล้ว +1

    Mogaka ni kafisi 🐒🐒🐒🐒🤣🤣🤣🤣🤣

  • @angiewamuchomba8106
    @angiewamuchomba8106 4 ปีที่แล้ว

    Ati mama wa Githeri akisema kama Umefika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.......

  • @phileskwamboka112
    @phileskwamboka112 4 ปีที่แล้ว

    Nameshake nakusikiza tu NA mogaka wako😜😜fisi mkisii

  • @mepukoritito8314
    @mepukoritito8314 4 ปีที่แล้ว

    Kwamboka it's best thing to forgive but wacha kuwa soft Kwa huyo mwanaume. Love your life and yourself kwamboka..kuna magonjwa..usi risk your life Kwa sababu ya MTU bcz ingelikuwa niwewe umepatwa Na mpango wa kando..huyo bwanako hangekusamehe..so kwamboka don't be so soft to that man.

  • @mercyfaith3021
    @mercyfaith3021 4 ปีที่แล้ว

    Gidy😆😆😆😆 aky wewe shines tu hapo na kafisi

  • @angiewamuchomba8106
    @angiewamuchomba8106 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @prettybabygalmichelson6557
    @prettybabygalmichelson6557 4 ปีที่แล้ว

    Kuchelewa nayo NO twedi fai leo

  • @Io-xz8bi
    @Io-xz8bi 4 ปีที่แล้ว

    Majirani mwaudhi mpaka muanike eti time hamamu ushamba tyu😏😏😏

  • @rankzkate
    @rankzkate 4 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha let me laugh.So this lady thinks a man can just be told to change and then he changes just like that .Wanaume aki

  • @mpendamuziki
    @mpendamuziki 4 ปีที่แล้ว +1

    I thought wakisii hawatumangi fare 🤷🏽‍♂️

  • @aliceatieno3422
    @aliceatieno3422 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakisi wako ivo

  • @alla1325
    @alla1325 4 ปีที่แล้ว

    Hapo sisemi kitu,but gost badilisha loughing style bwana aiiii

  • @jackiendambuki4788
    @jackiendambuki4788 4 ปีที่แล้ว

    Country bus narok 😂😂😂😂😂gidi

  • @joysorewitindi8542
    @joysorewitindi8542 4 ปีที่แล้ว

    Mogaga unasoud Kama muanyaji you see ilikuwa ama ilifanyika kafisi wewe

  • @lizfranco2282
    @lizfranco2282 4 ปีที่แล้ว

    Aki Giddy unakua kufikia 🤣🤣🤣🤣acha sisi tucheke tu tukiwa na ghost,,,love you guys but wapi patanisho ya two days

  • @mswanjiru6944
    @mswanjiru6944 4 ปีที่แล้ว

    Aki ghost wewe hucheka hivi in real life ama