Hakika yatupasa kufumbua vinywa na kumsifu Mungu wetu daima! Congrats waimbaji and the composer himself D. Wasonga for a very beautiful song. Be blessed
Mungu akawajalie afya njema na hekima yake iliyo kuu kupitia roho mtakatifu ili daima atukuzwe Sana kupitia vinywa vyenu na utukufu wake ikaaishi milele🙏👏
Mbarikiwe kwa kazi nzuri
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 nimebarikiwa sana
Wimbo mzuri sana
Nimekubali kazi. Naomba kopi yake
Hakika tutumie vinywa vyetu kumsifu Mungu wetu..🔥🔥🔥
Woow what a melody from the best choir ever......Mbarikiwe Sana Wana Moyo.....hakika mmeitendea haki utunzi wa Wasonga
Nakubali
Kazi nzuri sana
Kazi zuri. Hongereni sana
Safi sanaaa
Wimbo umenibariki sana mungu awabariki sana
Hongeren sana kazi nzuri.
Dada despina kashasema
Mimi ni nani nipinge.
Hongeren sana wana Moyo.
Kazi nzuri mungu awabariki
Hakika yatupasa kufumbua vinywa na kumsifu Mungu wetu daima! Congrats waimbaji and the composer himself D. Wasonga for a very beautiful song. Be blessed
Basi pazeni sauti mkiimba kwa furaha.........hakika ni zaid ya baraka,,,,,,Mungu awabariki sana 🙏🎵🎶💌
Kazi nzuri sana jamani
Mungu akawajalie afya njema na hekima yake iliyo kuu kupitia roho mtakatifu ili daima atukuzwe Sana kupitia vinywa vyenu na utukufu wake ikaaishi milele🙏👏
Sema hii kwaya inanikosha
He who sing very well pray twice 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nice😊
Rc binadamu hupanga mipango yake
Very nice singing!!!
Very good song
It's one of my favourite Catholic songs of all time. God bless you so much!
👏👏👏👏👏👏👏👏🙏💘
Nabarikiwa sana na wimbo huu, Kongole kwa mtunzi na Kwaya @SHJC-UDSM