Mashaallah Sheikh Izudiny umenifunza kitu kikubwa hasa wallahi Allah SWT abariki jambo hilo pamoja na awalipe nyote mulohudhuria kutokana na mazungumzo yenu
لتتبعن سسن من كان قبلكم شبرا بشبر وذراعا بذراع حتى لودخلوا جحر ضب لدخلتموهم ، الصحاب قالوا اليهود والنصارى قال فمن لذلك تمسك بالقرآن والسنة وماكان عليه سلف الأمة
MA SHA.ALLAH TABARAKA LLAH amekosekana USTADH BAHERO
Mashaallah Sheikh Izudiny umenifunza kitu kikubwa hasa wallahi Allah SWT abariki jambo hilo pamoja na awalipe nyote mulohudhuria kutokana na mazungumzo yenu
DR Zubeir stay strong and don't give up .... jzkllh
In Shaa Allah Bro Shukran
Shurani zonu mulio huthuya hafla ya ufuguzi wa hijama sheikh lzudin sheikh yussuf abariki ameen❤❤❤❤❤❤❤❤
Maa shaa Allah TabarakahAllah
Assalamu aleykum kwetu siyu yalikuwa yako hata waadhini walikuwa wakipawa Ndugu Izdun amenena kweli kabisaa
Mashallah nimependa sana
Hiyo Siha Centre ni ya Wanaume pekee au hata Wanawake pia???
Wanaume na wanawake
Hata Wanawake Pia Wanatibiwa Na Wanawake Wenziwao
@@sihacenter821 okay,Shukran Sanaa....
Mola Awajaalie kheyr na Mafanikio ktk Kazi zenu
Wanayo pia sehemu yao
Mashaallah
Subhana llaa Allshu Akbar
MashaAllah ❤❤❤
Jee ni ya waisilamu tu ama watu wote?
Watu wotr
I thaught it was islamic school, kazi ni chakula 😢
Mimi nataka kwa babaangu afanyiwe sasa nita wapata vipi na yeye yupo Daa
لتتبعن سسن من كان قبلكم شبرا بشبر وذراعا بذراع حتى لودخلوا جحر ضب لدخلتموهم ، الصحاب قالوا اليهود والنصارى قال فمن
لذلك تمسك بالقرآن والسنة وماكان عليه سلف الأمة
Asalam aleikum warahmatullilahi Wabarakatuh
Mbona sauti haisikiki
MashaAllah
Allah akubarikiye kukalako sina Centre akuwezeshe nawatu wa kufurahiye wapede kufanya hijama ameen❤❤❤❤❤❤❤❤
Ameen
Hawezi kutembea kafura miguu alipata srock
Stroke
Mlete
WHY MOTO NA MOSHI? DUA IPPI HIYO YA MOTO KAMA WASHIRIKINA? 😅
Mashaallah tabarakallah Mmungu awatilieuwafaka
😂 kama anayo 50 tu
Mahizbi na masufi na maghurafi wamekutana kupiga business. Allahu mustaan.
Punguza chuki kasome
@@omarulfarouq3578 tukisema ukweli mwasema chuki! Chuki iko wapi hapo?
Wacha upotofu wako ww adam kuwa na heshima
Kazi nikufurahia vita watu wengine, tumefurahi kuona masheikh muko pamoja kutiana moyo Allah aijaliye kila lakheri siha center
Tumechoka kusikia mashekhe wakigombana siku zote. hakuna faida bali Jamii hupotea kila siku sababu ya ikhtilafu ndogo ndogo. kasome punguza chuki