Ila zuu mdomo ulirithi nni dada si wee ulikua mpole na kuongea kwa n kusalimia kwa kupiga magoti mbna Leo unawaka moto kias icho au ndoa unayo n unatamba nayo ulikua unataka ndoa utuonyeshe makucha yako 😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Kai anamakosa kwli ila zuu nae ykosea kwkutokujua kuuliza kwa upole si ata alifundwa mpka bib aliemfunda yshangaa ni yey kwli maneno yliinglia na uku ykutokea na uku
Zuu zuu zuuu nmekuita mara gapi. Puguza ukali dadaangu bibi anatafuta njia yakumuweka sawa kai umbuke hayo yote hadi kukutana na belina chanzo n wew mwenyewe ivi unadhani unaweza ukamzuia kai kutoka njee ya ndoa kama kwa nyumba hakuna amani kila siku puguza kamdomo kamdomo siyo kazur ata kidogo 🙏
Bibi umenicekesha eti kila mutu nawake kai amwambie baba ukweli nawee umwambie zuu ayaa nasubili matokeyo zuu pole mulicangia bwana na ndugu yako wadamu😢😢
Zuu nikwambie2 mwanaume hafokewangi hata siku moja ata kama anamakosa inatakiwa ufatilie talatibu mwisho wasiku utawafuma lakini si kuwafokea hutengenezi bali unabomowa kuwa mpole utapata ukweli mambo mengine co yakunga,ngania mambo ambao wa2 wazima hawataki kukwambia nani anauga mkono kwa maneno yangu naomba like apo
Zuuu Ni mechoshwa Na kelele zako Kwa mwanamme mwanamme huwa hafokewi Nin Sasa tunajifunza hapo juzi tu ulikuw onaomba msamhaa kumbe ulikwa Ni Wa kinafiki family ya tasha ❤❤❤🎉🎉
Muwe mnabembeleza bna watoto msiache mtoto awe analia hv sasa nd kama marehem saheel mlikuwa mnaacha watoto wa watu wanalia sana jamn sio vizur mtoto kulia sana hvo so kwa ubaya lakin❤❤
Hongereni sana Leo m'mejua kutufurahisha ep 2 kwa Siku endeleeni kama hivo,alafu zuu apana bhana umekua mtu wakupayuka sana punguza ,Kuna tatizo lkn halitatuliwi hivo ,ndoa sio mchezo
Chiko umetongozwa halafu unaringa au kwa vile huwezi kuzalisha acha porojo,Hb na madevu yako hayo,Sania friji bivu haligandishi umbea utakuponza,Zuu shusha sauti kwa bibi basi iliujue ukweli,Baba kai asantee kumteyea zuuh,Kai funguka kwa mzee sasa
Usikose kutazama Love bite kupitia TH-cam channel ya Busati Plus
KAZI ZENU NZURI SANA TWENDE TU NJIA MOJA
Next part Iko wapi
Hammaliz kaz ya hii house girl tu ndo mnajitahd
Poa poa
Zuu punguza jazba wivu utaikosa ndoa
Nimependa sana kipande cha zuu alipokua kwenye kikao na baba yake mkwe na bibi pamoja na mumewe kay zuu unajua sana
Wakwanza leo jaman mnipe like hata mbili tu🎉🎉🎉
Jmn mume anauchungu anatiya wazimu waweza kuenda mbio mochwari bila kujuwa wallah pole zuu najuwa unachopitia mama
Umeongea kitu point sn yani sn 😣💔
@@SuzanaJames-v3y💪💪💪💪
Wa mwisho Leo naombeni like hata kumi ,pia nipitieni😊
Leo nimewahi hadi najishangaa, yani mm wa kuwa wa 236!!! Nipeni like hata kumi nami nijione mtu😢😢😢😢😢😢😢
Nimependa sana kipande cha zatiti na mama mkwe wake na dada yake zatiti wakiwa katika uasilia kabisa wa jambo linaloendelea kwao
Zuu leo haki umejua kunichekesha maana kumewaka kinorma😂😂😂😂
Yani hp tunataka ukweli 🎉🎉🎉 km unaungana na mm weka lake hp
Mwezenu candy tu ananiuwa mbavu😂😂😂😂😂😂😂
Cendi ni baraa lingne
Hellow guys,,,bibi zuu mtumie wasambongo rafiki yake na belina maaan anatamaaa kweliii,,, afu zuuu umezidi na kamdomo kamdomo kamdomo kama ka yanga🥰🥰🥰
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kadomo
Yanga anahuxikaje sasa na wew
Kawaida ya mtu anae tafuta haki ataonekana anamdomo, 😢
😂😂😂😂😂 sasa yanga kaingiaje apo tena
😂
Wanawake kama zuu wapo,yani hawez acha mambo yakapita...ovyo! Chiko natamani buyo dada akuumbue mpango wako ufeli
Ila zuu mdomo ulirithi nni dada si wee ulikua mpole na kuongea kwa n kusalimia kwa kupiga magoti mbna Leo unawaka moto kias icho au ndoa unayo n unatamba nayo ulikua unataka ndoa utuonyeshe makucha yako 😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
We ungeweza simu ya mumeo ipokelewe na mchepuko na utulie kisa ety ulikuwa mpole mwanzoni😂😂😂 mm mwenyewe ningetoa makucha
Unajua uchungu wa Mume wew Mume Anauma
Jaman zuu leo umenifulaisha sana❤❤❤
Kai anamakosa kwli ila zuu nae ykosea kwkutokujua kuuliza kwa upole si ata alifundwa mpka bib aliemfunda yshangaa ni yey kwli maneno yliinglia na uku ykutokea na uku
@@TatuBaya-jy8jlbibi mwenywe kawa muongo skuhizi😂😂😂
Wa kwanzaaaaa😢😢😢😢😢😢 mnipe like na mie nione utamu wakeee bas😢😢😢
Zuu nakusupport usikubali mpka uambiwe ukwelii yaani kiwashe zaidi ya hapo 😂😂😂
Apo akiambiwa ukweli ataanza kuliaa tenaa😆😆😆😆😆😆😆
Huyu niupimbi akisha ujua ukwel ndoa inakufa 😢@@EsterWilla
😂😂😂😂 watu wanakula ela za matibabu ya belina
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂 sana tu
Wewe sania wew sumesema umebadirika kumbe bado ungali naombea eeee pole san
House girl sasa ivi kla mtu kavurugika😂
Zuu umefanya vzr hongera sanaa🎉🎉🎉
Candy hio mimba uko nayo huzai tuuu 😂😂😂😂😂 yaani Candy na chiko ving'ang'anizii ajabu
Wew chiko unauzuri gani wew toa kwanza izo ndevu zinabo haki😅😅
😂😂😂😂😂wee kai na zuu msituangushie bibi wetu tuna mpenda sana kwenye hii movie
Congratulations for good work 👏
Nimekuwa wa 3 leo baomba like na mimi
Wakwanza kuangalia naombeni like zangu
Zuuu tuliza komwe😂😂😂umekuwa kiburi sasaiv ndoa uiwezi nazan😂😂
Wow mpo vizuri sana,,nawapenda
Kazi nzuri sana team Busati tv🇹🇿
Zuu zuu zuuu nmekuita mara gapi. Puguza ukali dadaangu bibi anatafuta njia yakumuweka sawa kai umbuke hayo yote hadi kukutana na belina chanzo n wew mwenyewe ivi unadhani unaweza ukamzuia kai kutoka njee ya ndoa kama kwa nyumba hakuna amani kila siku puguza kamdomo kamdomo siyo kazur ata kidogo 🙏
Jaman mapenz ya nauma
Malizeni hii kitu mba booo
Bibi umenicekesha eti kila mutu nawake kai amwambie baba ukweli nawee umwambie zuu ayaa nasubili matokeyo zuu pole mulicangia bwana na ndugu yako wadamu😢😢
Leo patamu sana hongera sna
Chiko si unajiona jamani 😂😂😂😂ati unapenda zatiti😢😢😢wakati ulikuwa na candy ilikuwaje ,ama hukukuwa zatiti ndio mwanamke wa maïsha yako
Wakwanza leo jmn like zangu
Jidanganye chikoo zatiti hawez kuwa wa kwako tenaaa
Wakwanza Leo Nipeni likes ❤❤❤
Sema ukweli Chiko 😂😂😂sema tu wewe jogoo apande mtungi😂😂,unajua Zatiti anajua kila kitu kuhusu wewe 😂😂Da masozi mimba ikowapi? Kilamba tena 😂😂😂
Candy ananiua mbavu hukuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Zuli acha mapepe utahalibu ndowayak kwamikono yako mwenye mumeo alichokifany nibahati mbay arafu umepat bahati kajiludia hataki kirichotekey kijirud ir wew band unatak kumurudisha kule jitazame usivulug amani yafamiliy yako utajut mana wapo wanaume wanasalit wakezao hataukijuwa ndo anaxidisha ushez ira wew umebahati mum mweny ofuyamung shukur kwairo
Ila chiko huyo dada atakuumbua ata heri umkubalie ombi lake tuuu😂muwe nyote na kazi iendeleee
Kipendu ka unajua dadako ni kichaa mbona utaki kuelewa mimba c ya kai
Zuuu patam hapo unajua tena mama
Nimewahi hata Mm leo 🎉🎉🎉naomba na Mm like nikanunue khubuz
Aslamualeikum ❤❤❤❤ nipewe mm leo zote
Umejibu vizuri ndugu chiko huyo bint big up.
Mnaosema zuu anaongea sana mnataka afanye nini mnajua mapenzi nyie au ndoa kaybey umezidi
Zuu anaaribu bwanaa alitakiwa aendelee kuwa mnyenyekevu
Pia mimi niko kama zuu nikipandisha sirudi nyuma mpaka nikirudi kifuwa chaniuma
Yakikukuta ndo utaelewa maana ya zuu kupandisha kichaa,
@@angelmauja1846 tena sana kila yaliyomkuta ndiye yuwajuwa
Sania mzur sana nampendaga❤
Good job🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Zuu nikwambie2 mwanaume hafokewangi hata siku moja ata kama anamakosa inatakiwa ufatilie talatibu mwisho wasiku utawafuma lakini si kuwafokea hutengenezi bali unabomowa kuwa mpole utapata ukweli mambo mengine co yakunga,ngania mambo ambao wa2 wazima hawataki kukwambia nani anauga mkono kwa maneno yangu naomba like apo
Safi sana kwa kazi yenu
Kirambaaa eti wame gooo hahahahah
😂😂😂😂😂candy dishi limetibuka kulala AAAAH nimakelel tu
nakupenda baba kai mstaarabu
Chiko unauhandsome gani wew eti mwanamke yoyote akikuona lazima avutiwe na wewe mbona wa kawaida sanaa😂😂😂
ndevu tu hazina ushilikiano
@@Jasminkisonga 🥱😂😂😂umenichekesha
😂😂😂😂😂😂utaniua kweli😂😂😂
😂😂😂😂😂
Muachekutuchekesha bhna et muhamdsome
Familia ya khai imekuwa kila siku yavikao kwanin zuu huna adabu kwenye ndoa kuwa na heshima uko na baba mkwe😮
Zuuu Ni mechoshwa Na kelele zako Kwa mwanamme mwanamme huwa hafokewi Nin Sasa tunajifunza hapo juzi tu ulikuw onaomba msamhaa kumbe ulikwa Ni Wa kinafiki family ya tasha ❤❤❤🎉🎉
Zu kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉
Zuuu wee ni fala sana
Haiboi haichoshi house girl ❤❤❤❤❤❤
Jmn masozy mimba iko wap jmn😮😮😮🤔🤔
Ila Chiko ww c handsome sana kubali tu mahusiano ya kweli maana kwa Zatiti nafasi yako haipo tenaaaa😂❤❤❤
Aswaaaaah hamna kbxa atulie kwenye mahusiano mapya zatiti hivi ni Mrs Tasha❤.
Zuu chukuwa mtoto analia sana jamani 😢😢
Zuu naee umezidiii sasa heeee
Anaboa kwa kweli🙌🙌
Kelele tu Kila saa
Jaman achen kumtesa zuu wetu😂😂😂
Muwe mnabembeleza bna watoto msiache mtoto awe analia hv sasa nd kama marehem saheel mlikuwa mnaacha watoto wa watu wanalia sana jamn sio vizur mtoto kulia sana hvo so kwa ubaya lakin❤❤
Kwani Watu wanavyoonesha Mtu anachomwa visu anakufa huwa anachomwa visu kweli?
@@busatiplus mwambie huyo
Saheel 😮😮
Mtoto akilia sana anaugua mwishowe ni kufa jamn niamini😢
@IvonaRutha kweli jmn
Leo hii ni ya fire fire fire 🔥🔥😂
Nimewai leo ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Zuu umezid kamdomo nawewe bana😮
Woooow hicho kikao nimependa sana msimamo wa baba❤❤❤
Eti chiko nayeye ni handsome 😂😂😂😂 sura kama au basi
@@esterkimalio8846 🤣🤣🤣
We masozi mtoto wko yuko wp ,kiguu n njia mtoto uliyemzaa yuwapi
Asante mwaya kwa kuniulizia
Hii Episode ya LEO nimeielewa sanaaa❤❤❤❤
Hongereni sana Leo m'mejua kutufurahisha ep 2 kwa Siku endeleeni kama hivo,alafu zuu apana bhana umekua mtu wakupayuka sana punguza ,Kuna tatizo lkn halitatuliwi hivo ,ndoa sio mchezo
Jamani Zuu umesidi sana Utavunja ndoa yake mwenye we
Mashallah ❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu
Jamani Rahma jana nimemuona na kumuita kanikaushia saw
Nmecheka Chiko kujiita handsome boy uluuii😅
Kwa mara yakwanza namuona zuu kacharuka ivyooo😂😂😂
kila Nyumba ina Balaa yake Busati kume kumewaka moto💥💥💥
Baba Kai anayazua mwenyewe huyo zuu kwadha macho anatoa sura bovu kaaaaaa
Ila ili rizuu linaboa sasa😢kil ckuinajidai nmebadilika lkn kidgo linapayuka
We acha ujinga mume anauma😏😏
Eti chiko ni mhandsome 😂😂kila mwanamke anaweza mtamani....ila sio huku kenya 😢😂😂😂
Waah mimi niwa 77 haya basi mlio kuwa wa kwanza nikumbukeni na mimi kwa like hata mbili tu
Chiko mim namchukia San anaharibu mov jamani🎉🎉🎉🎉🎉
Zuu kamdomo kamezidi 😂
Zuuu leo kadifuka kwel 😂😂😂😂😂
Kavurugwa
Yanauma ameshindwa kuvumilia hata ingekuwa mm singeeza japo niliomba msamaha wa dhati
Zuu tulia
Zuu naee anakela daah
😂😂😂😂😂😂😂😂 jaman funguen mulango achen kupigana
Kwan masoz mtt wake yuko wp
Na mm jana niliuza tumbo masoz Lipo wap
Busati. ongezeni umakini kuna makosa mnafanya🙏🙏
Chikko jamni 😂😂😂😂 sjui ni muhaya so kuigiza t unaonekana unasifa kama nini
😅😅😅😅😅 nmechek
Ni mmakonde uyo 😂😂
Nimefrah kumuona candy waliofrah naomb like
Ebuuu acheniii kuumiza Huyoo mtoto me tumbo linanikataa Bhna 😥😥😥
🤣🤣🤣🤣🤣 house girl ya siku izi inachekesha sana
Much love from kenya 😢😢❤
Chiko umetongozwa halafu unaringa au kwa vile huwezi kuzalisha acha porojo,Hb na madevu yako hayo,Sania friji bivu haligandishi umbea utakuponza,Zuu shusha sauti kwa bibi basi iliujue ukweli,Baba kai asantee kumteyea zuuh,Kai funguka kwa mzee sasa
Ki sania nacho ilaa kai mpuuzi nae kabulaa agee kwa utaratibuu unaanza kufoka fokaa mwambien ilii aumie yaishee cmpendii kai asaivi aliabiwa na tasha lkn akamuona hafai