haha hio story ya rapcha (3;15) imenikumbusha back then sherehe za campo joh.. izo time gengetone ilikuwa imeshika mbaya... so huskii jamaa yngu imeona tu mtu ameeka dredi anakaa dem.. jamaa aka-approach na nyuma joh.. huskii ile kijasho ilihit jamaa ilirudisha senses ya jamaaa...
...Previously on Surviving Survivor with Raptcha😅😅
Ile seriuosness hawa wasee huongelelea ngwati nayo huniua 😅😅 enway kazi safi
Ian alitoka hapa na muscle pull😂...
Mwaaf you've said it an umpteenth time "Tukiwa wadogo hatukuwa tunajua mabuda zetu ni mayouth"😁
Rapcha to Survivor: Nataka Waaaar! 😂😂😂
Solution ni rapcha arudishe dredi...
hio part ya kuvunja kitanda imenivunja mbavu
Iko nini,,,,how about Rapcha stand up??
haha hio story ya rapcha (3;15) imenikumbusha back then sherehe za campo joh.. izo time gengetone ilikuwa imeshika mbaya... so huskii jamaa yngu imeona tu mtu ameeka dredi anakaa dem.. jamaa aka-approach na nyuma joh.. huskii ile kijasho ilihit jamaa ilirudisha senses ya jamaaa...
acheni jokes bana hahahah mimi ni kosgei lakini sigei hahaha kwendeni huko majamaa
Kofia lazima .... wasee wakofia huelewa
Tupewe stand up ya rapcha 😂😂😂 ... He takes me back to my young days uko mathare north...
Tumegrow up same hood ..big up .north massive
Iko nini 💯
😂😂😂ati unaona vida na buda yako kaa amembao 😂😂😂😂io part imenimada
Minute 10:14 iyo joke ya mwaf imepita wengi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Rapcha 😂😂😅
A laughter a day keeps u distressd
Hio story ya mamboch imenikumbusha ile movie ya kitambo "Mrs Doubtfire"
Good show my G's👍👍🔥🔥🔥
Iko fiti tukiona hizi raiya tatu..iko nini
Mwaf bana itabidi tumesaka ganji ya camera ingine maana mambuyu watatu kufinyana kwa seat moja , haileti shangwe😂😂😂
Hiyo ya kuaza kukatia dame at 40 it's true. I watched it on a certain channel.
Are eat your aath...🤣🤣🤣🤣
ian change peddler plz.😂😂😂😂
Ati ceral killer😂
Rapcha 😂😂
6:36tuko wapi kengelez😂
Rapcha analia tu kichwa inaka mayai😂😂😂 naisha
Raptcha😆😆😂
Hii part 2 ni noma 😀
Iko nini❤❤❤❤❤
Karao anafaa aseme ni juju za wakamba hakujua anafanya nini😂
mwaf kindly stick to two people per couch . Ian the legend himself should feature by his voice only . Thank you .
iko niniiiiiiiiiiiiiiiiiii #deanamos
Hio joke ya Brandy ya kujikuna kuna ilipita wasee but ilikuwa ngori😂😂😂
Moto sana 😂😂
next tuone wife pia....she was lit
ati ukitoka village life then ukue gay its serious for other gays....😁😁😁
Ikonini
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Lets go
Say my name {SIGEi} 😆
😂😂😲
@@IkoNini 🤣🤣🤣 Rupture imitating a kalenjin makes me burst in laughter. (Mind you,am in office)
What happened to you guy's stand up....?
Happening in Dec
13sec