VIUSASA: BECKY EPISODE 171

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 242

  • @Mumie51
    @Mumie51 8 หลายเดือนก่อน +19

    Hiyo part ya kunikunywaaa😅😅am still under the table 🤣🤣🤣🤣🤣Mapenzi wewe 😅

  • @JulietMwaka-i2j
    @JulietMwaka-i2j 8 หลายเดือนก่อน +8

    Hahahaa lexy chizi kabisaa yaani unaambia pupa kwamba umemkufia mbayaaaa😅

  • @NancieKatana
    @NancieKatana 8 หลายเดือนก่อน +11

    Maureen sasa umeeanza kuboo...junior umemshow moo the truth achee kusukuma watu kwa stairs wangojee wadead ndio apate Mali ya bure😂

  • @rahmasalimabbas9009
    @rahmasalimabbas9009 8 หลายเดือนก่อน +26

    Mm staki lexy apendane na mtu yeyote abakie yeye na roho yake nyeusi kama dawa ya mganga

    • @lauralaura693
      @lauralaura693 8 หลายเดือนก่อน +1

      Exactly 💯 inafaa ata pupa amukatae

    • @husseinchenge2404
      @husseinchenge2404 8 หลายเดือนก่อน +1

      Na uko na ubaya aje mkuu😂

  • @njorogejacinta8867
    @njorogejacinta8867 8 หลายเดือนก่อน +25

    Siku hizi madame wanakatia maboy😂😂😂😂😂😂hope becky hata fallia huyu new boss juu anaonanga mali anakuwa wazimu naa vile yeye hujifanya

    • @salomecheyech3526
      @salomecheyech3526 8 หลายเดือนก่อน +5

      Mimi naona atadate na Becky junior aachwe tena 😂😂😂

    • @cleophasonyoni3481
      @cleophasonyoni3481 8 หลายเดือนก่อน

      I see sa too

    • @sharonomumia
      @sharonomumia 8 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @sophiezakaria
    @sophiezakaria 8 หลายเดือนก่อน +8

    Moh hii mali itakufikisha pa baya 😂😂😂 Lexy naye will never change eiiish 🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️

  • @rahmasalimabbas9009
    @rahmasalimabbas9009 8 หลายเดือนก่อน +10

    When God says yes nobody can say no mmeona venye becky amepata wera hao wanawake wa roho mbaya na kucha ndefu wangefanya aje au ni gold diggers

    • @thee_elvinces
      @thee_elvinces 8 หลายเดือนก่อน +2

      That's how God works since he send people to you life only to get help. Drop Amen if you think God is able.

  • @malikanzaro-nn7hx
    @malikanzaro-nn7hx 8 หลายเดือนก่อน +5

    Lexy ako n hasira pupa amemkataa😂😂😂

  • @RuthMbaka-i5k
    @RuthMbaka-i5k 8 หลายเดือนก่อน

    Weuh baba jeff anachapa mjengo na mama kazi ya nyumba..Nice

  • @saidaruwa2749
    @saidaruwa2749 8 หลายเดือนก่อน +3

    Moo uwache kusukuma watu up st😂😂😂leo kimemramba

  • @Rose-hy3kc
    @Rose-hy3kc 8 หลายเดือนก่อน +79

    Hadi leo nimerauka team Strong nipeeni likes bwana 😂😂😂

    • @jennyblessing254
      @jennyblessing254 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mapema ndio best 😂😂😂😂 Niko kwa choo

    • @ShazRiana-ev5bk
      @ShazRiana-ev5bk 8 หลายเดือนก่อน +1

      heri wewe aki 😂😂😂

    • @Rose-hy3kc
      @Rose-hy3kc 8 หลายเดือนก่อน

      @@jennyblessing254 eti kwa choo 😂😂😂😂

    • @Amal-iq1wg
      @Amal-iq1wg 8 หลายเดือนก่อน +2

      Huna mavyomboooo weweee😂😂😂😂😂😂😂

    • @Trippie..41
      @Trippie..41 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@jennyblessing254pia mimi niko hamam wacha waite tuu mpaka wachoke

  • @Saveniawawira
    @Saveniawawira 8 หลายเดือนก่อน +5

    Becky the luckiest actor ever,

  • @MaureenNyakundi-q1p
    @MaureenNyakundi-q1p 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mooh funga hiyo bakuli😂😂😂lexy umewezaa

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakim the new boss in town

  • @margysamara9485
    @margysamara9485 8 หลายเดือนก่อน +16

    Trisha ndo hii mansion ingine usiseme sukuakuambia😂

    • @mourinemwaka4426
      @mourinemwaka4426 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @nurugizani3075
      @nurugizani3075 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli. I feel atarudi kwa kipindi thru Hakim. Uone stress ya Becky

  • @CathyNyaberi
    @CathyNyaberi 8 หลายเดือนก่อน +4

    Uyu lexy si akufe tu aaah anaboo😏😏😏😏

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Every actor is playing his/her perfectly

  • @kikenyi_media
    @kikenyi_media 8 หลายเดือนก่อน +8

    Lexy got mistari😂😂😂

  • @DennisObino-mi9jq
    @DennisObino-mi9jq 8 หลายเดือนก่อน +9

    Ak mapenzi wewe,mistari ya lexy ni noma sana

    • @sylviaaswani6976
      @sylviaaswani6976 8 หลายเดือนก่อน +1

      Umenikunywa Mbaya

    • @rashidgona1808
      @rashidgona1808 8 หลายเดือนก่อน

      Hii kauli umebamba wengi🤣🤣🤣umenikunjwa mbaya​@@sylviaaswani6976

  • @simbathegreat4624
    @simbathegreat4624 8 หลายเดือนก่อน +2

    mwanaume..mwanaume..mwanaume😂😂😂how many times?so nver let a woman akukatie.mbwa

  • @Jacky01180
    @Jacky01180 8 หลายเดือนก่อน +2

    Richy from Selina am happy to see you ❤❤

    • @joyie03
      @joyie03 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ook najaribu kufikiria nilimuona wapi bna thanks❤😂

  • @TajirisFamily
    @TajirisFamily 8 หลายเดือนก่อน +67

    Who else feels like huku kunaweza kuwa kwa boma ya Abdi Kadir😂

    • @Online-dl5vo
      @Online-dl5vo 8 หลายเดือนก่อน +2

      It seems like 😂

    • @OneKeshy
      @OneKeshy 8 หลายเดือนก่อน +5

      Yeah seems huyu ni bro wa lexy mtoi wa abdikadir

    • @ChristeneOtieno
      @ChristeneOtieno 8 หลายเดือนก่อน +2

      But amesema anaitwa Hakim ama??

    • @blessedviviyvivianna5154
      @blessedviviyvivianna5154 8 หลายเดือนก่อน +2

      Walai 😂

    • @julietmijega2593
      @julietmijega2593 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mi nathani hivyo

  • @shemilahbarasa8245
    @shemilahbarasa8245 8 หลายเดือนก่อน +2

    Lexy umeleta hasira kwa mamako na Maureen after pupa kukukataa😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rahmasalimabbas9009
    @rahmasalimabbas9009 8 หลายเดือนก่อน +6

    Maureen na lexy wote wanapenda mali 😂😂😂😂

  • @silasmwetich
    @silasmwetich 8 หลายเดือนก่อน +8

    Naona nikama Becky wataanza kuflow na huyu bosii 😂

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani huyu lexy anatishia hata mama yake aiii❤❤❤

  • @saidachemutai8431
    @saidachemutai8431 8 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu boss wa Becky ataanza kumpenda Becky....alafu naona Trisha akitokezea Kwa hii nyumba Becky yuko

  • @GeorgesMwanzia
    @GeorgesMwanzia 8 หลายเดือนก่อน +4

    Naona Sasa Becky akiibiwa na new boss 😅

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 8 หลายเดือนก่อน +1

    Boss ni handsome 😊😊😊

  • @elizabethliliankimani7667
    @elizabethliliankimani7667 8 หลายเดือนก่อน +42

    Someone like my comment 😊

    • @silasmwetich
      @silasmwetich 8 หลายเดือนก่อน +1

      Nimesoma😂

  • @hivebeecalpiz
    @hivebeecalpiz 8 หลายเดือนก่อน +3

    watu wa TALA maze c mpee moh kakitu a fill poa

  • @alizetidecimals
    @alizetidecimals 8 หลายเดือนก่อน +5

    That guy Hakim amenikumbusha Steven Kanumba, with the ascent and fluent Swahili

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amazing...

  • @BeatriceAkoth-tc6li
    @BeatriceAkoth-tc6li 8 หลายเดือนก่อน +3

    Lexy umechizi 😂😂😂😂😂pupa walaii unakuanga na jibu

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Viusasa they are something else

  • @leahawuor3911
    @leahawuor3911 8 หลายเดือนก่อน +4

    Becky na vile uliyumbayumba na maboyz hapo nyuma..uko sure Hakeem siyo trap
    Junior😢

  • @lidiamwingo
    @lidiamwingo 8 หลายเดือนก่อน +20

    Boss in town asionwe Na Trisha 😅

    • @jockeymutua6431
      @jockeymutua6431 8 หลายเดือนก่อน +1

      Fr😂😂😂😂

    • @margysamara9485
      @margysamara9485 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂walai😅

  • @Wise_Sauce
    @Wise_Sauce 8 หลายเดือนก่อน +3

    Upate Hakim ni brother ama cousin ya Lexy

  • @MaryBosibori-xm7us
    @MaryBosibori-xm7us 8 หลายเดือนก่อน

    Haha gaki jonour ambia moh aje kusukuma watu kutoka steas ndo wakufe apate Mali waah😅😅😅

  • @AnnnjokiNjokiAnn-um8pi
    @AnnnjokiNjokiAnn-um8pi 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂mungu saidia becky asikufie huyu jamaa mimi sijawai amini becky napesa saana moo nawewe funika bakuli lexy nayeye ndio kisirani ingine yamwisho 😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lexy is something else

  • @gladysnganga5387
    @gladysnganga5387 8 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeeyyyy, cute boy introduced 😍😍😍😍 uweeeeh

  • @SHARONNABWILE-zs8om
    @SHARONNABWILE-zs8om 8 หลายเดือนก่อน

    Junior leo umeweza moo ati awache kusukuma watu kwa stares wakufe ndio apate mali 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @carolynewalumbe8921
    @carolynewalumbe8921 8 หลายเดือนก่อน +1

    😮 Lexy anaboo sana sana soon you will go back to Street

  • @SaqeebNganga
    @SaqeebNganga 8 หลายเดือนก่อน +3

    Saa zingine anayekupenda humpendi unapenda mwingine ata asiye mpendagaa

    • @maryauma5859
      @maryauma5859 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Becky is getting hotter and hotter

  • @I.t.s.Desmond
    @I.t.s.Desmond 8 หลายเดือนก่อน +1

    huyu dem lexy anaboo pupa mshow kabisa

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amazing

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 8 หลายเดือนก่อน +1

    🤣🤣🤣🤣Lexy yaan pupa amekukunywa mbaya🎉🎉🎉

  • @sandranamusia9682
    @sandranamusia9682 8 หลายเดือนก่อน +4

    Unaezapata boss wa Becky bado ni boss wa Junior

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 8 หลายเดือนก่อน +1

    Becky Naye anaangukia mahandsome aki😅😅😅😅

  • @ElizabethKepha-lp5ju
    @ElizabethKepha-lp5ju 8 หลายเดือนก่อน +1

    Cleaning na nails😮😮😮😮

  • @nicksonurio7319
    @nicksonurio7319 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mo na Lexy ni wale wale,Hawa madem ni empty kwa kichwa🤯🤯 mazafanta

  • @ChelagatMaureen-tv3cy
    @ChelagatMaureen-tv3cy 8 หลายเดือนก่อน +1

    The new boss is Richie from Selina 😮

  • @carolinenaliakanaliakacaro8919
    @carolinenaliakanaliakacaro8919 8 หลายเดือนก่อน +3

    Lexy hiyo yote ni mistari😅😂

  • @simonpeterofficial.2332
    @simonpeterofficial.2332 8 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mooh anaboo walai akona tamaa sana

  • @Heppiemimi
    @Heppiemimi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Rich wa kina sellina boy wa jack😅😅😅

  • @JaneMate-l2s
    @JaneMate-l2s 8 หลายเดือนก่อน +7

    Nashindwa kuelewa, pupa mtoto wa jebulani, jebulani uncle ya lexy hawa c nimacousins vipi lexy kumpenda pupa

    • @silasmwetich
      @silasmwetich 8 หลายเดือนก่อน

      Huwezi elewa😂

    • @shortkashort1861
      @shortkashort1861 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @davidyonge4911
      @davidyonge4911 8 หลายเดือนก่อน +1

      Brother ya Jebulani hakuwa babake Lexy real . Amelia alicheat na akamdanganya ni mtoi wake na ndo maana Lexy kaachiwa mali

    • @JulietMwaka-i2j
      @JulietMwaka-i2j 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ni warabu hawa wanaoana wenyewe kwa wenyewe 😅😅so haina ngori

    • @sandranamusia9682
      @sandranamusia9682 8 หลายเดือนก่อน

      Aki

  • @RuthMbaka-i5k
    @RuthMbaka-i5k 8 หลายเดือนก่อน

    Aki maskini Amelia..yaani ni mpole mpaka imezidi..moreen anamwambia nonsense waah!Baadaye Lexy anaangia shouting to her..Nkt!upole jama huu unafanya mtu anaumia

  • @carolinenaliakanaliakacaro8919
    @carolinenaliakanaliakacaro8919 8 หลายเดือนก่อน +1

    Junior ameweza Moh. Tamaa kwa vitu za wenyewe

  • @PurityMumbuah
    @PurityMumbuah 8 หลายเดือนก่อน +5

    Na huyu Boss wa Becky ni handsome 😍😂

    • @JudyMuthoni-z1d
      @JudyMuthoni-z1d 8 หลายเดือนก่อน

      Eeeh ungekuja huko I swear u can scream,he's Danmm cute😊❤

  • @nakshymrembo2874
    @nakshymrembo2874 8 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅Huyu jamaa si alkuwa kwa kipindi ya sanura

  • @HellenWesonga-x4g
    @HellenWesonga-x4g 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lexy mapenzi inamuua😂😂😂😂😂

  • @mariamnjama3963
    @mariamnjama3963 8 หลายเดือนก่อน

    Becky imeanza tena mwanzo😅becky anarudi umbochin soon😅tumalze story soon

  • @NaomyKerubo-lm5qt
    @NaomyKerubo-lm5qt 8 หลายเดือนก่อน +1

    Remember mwaka ni wa kuforce 😅😅

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lexy ni mnomaaa

  • @Jaam-creative
    @Jaam-creative 8 หลายเดือนก่อน +3

    wueeh courage ya lexy imenikumbusha the last i told a guy i like and crush on him weeeh nilikipata

    • @nancychirchir2918
      @nancychirchir2918 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 usiseme ilikuramba

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mourine hau deserve anyi

  • @CynthiaOmwenga-d7m
    @CynthiaOmwenga-d7m 8 หลายเดือนก่อน

    Moo funga bakuli😂

  • @MercyJepkorir-hr4fu
    @MercyJepkorir-hr4fu 8 หลายเดือนก่อน

    Si huyu jamaa afanyiwe connection na moh juu hana bibi

  • @Mimah-i5e
    @Mimah-i5e 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nauyu boss wa Becky amefanana na Musa wa Sanura series

    • @RehemaKaingu-c1z
      @RehemaKaingu-c1z 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ndio yeye Musa wa Sanura❤

    • @basilkirwa2136
      @basilkirwa2136 8 หลายเดือนก่อน

      Si yeye

    • @gladysnjeri5989
      @gladysnjeri5989 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli anakaa Musa wa sultan manoa

    • @RuthMbaka-i5k
      @RuthMbaka-i5k 8 หลายเดือนก่อน

      Na pia ameact seminar.. Richy

  • @joseckmaina2122
    @joseckmaina2122 8 หลายเดือนก่อน

    Lexy hasira zote za kukataliwa na Pupa ameletea mathake na Hakim kuna vile amependa Becky hapa sioni Becky akiruka hii vile namjua

  • @gloriaamase9764
    @gloriaamase9764 8 หลายเดือนก่อน +2

    Moh jipe shugli pia wewe unaeza tafuta mali yako achana na mali ya wenyewe 😂😂

  • @SaumuMupa
    @SaumuMupa 8 หลายเดือนก่อน +4

    Uuuweeeeh uyu chalii becky usiache😅😅😅

    • @arwa-sh8kz
      @arwa-sh8kz 8 หลายเดือนก่อน

      akiwa ali act kwa selina

  • @liznasra8578
    @liznasra8578 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 woooi Lexy 😅

  • @ThuweibaAbdallah
    @ThuweibaAbdallah 8 หลายเดือนก่อน

    Hashim nimempendaaaa❤❤

  • @mercymbithe053
    @mercymbithe053 8 หลายเดือนก่อน +23

    Wale waliwatch ii tiktok turudi huko tukaone ya friday🏃🏃🏃🏃🏃🏃

    • @Nairobi_Finest.
      @Nairobi_Finest. 8 หลายเดือนก่อน +1

      Unawatch kwa account inaitwa aje

    • @shortkashort1861
      @shortkashort1861 8 หลายเดือนก่อน

      Iko kwa account ya nani

    • @Chebaibai-m1p
      @Chebaibai-m1p 8 หลายเดือนก่อน

      Account ya who

    • @Miss_PK254
      @Miss_PK254 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kama hutuambii Si ukae nayo ukule ushibe 😂

    • @shemilahbarasa8245
      @shemilahbarasa8245 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@Nairobi_Finest.Inaitwa Becky Daily Updates

  • @ericoomothomi7414
    @ericoomothomi7414 8 หลายเดือนก่อน

    Ngai maskini moha yaani Lexy amekuchomea manguo na bdo anadai hajamalizana na wewe😅

  • @Tabitha203
    @Tabitha203 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anaeza kua mtoi wa Abdikadir buana...

  • @ahmedmuradamusa578
    @ahmedmuradamusa578 8 หลายเดือนก่อน +2

    Junior Kwisha ASHA nyanganyua Bibi

    • @GeorgesMwanzia
      @GeorgesMwanzia 8 หลายเดือนก่อน

      Hata mie nimeona hivo😂

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Becky

  • @euniceilavonga2163
    @euniceilavonga2163 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kweli u mwaka ni wakufosi 🤣

  • @SaidiAbdallah-nd2wm
    @SaidiAbdallah-nd2wm 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn

  • @SAMLEKAKENY
    @SAMLEKAKENY 8 หลายเดือนก่อน +1

    si mtu anikatiee nimkatae😂

    • @anjblack3335
      @anjblack3335 8 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅😅

  • @rahmasalimabbas9009
    @rahmasalimabbas9009 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amelia Lexy Hana haja na wewe ni Mali anataka chukua Mali ya mose ununue nyumba muhame na kina becky

  • @RuthMbaka-i5k
    @RuthMbaka-i5k 8 หลายเดือนก่อน

    Leo junior ukaamua kuambia moh ukweli

  • @lydiachepkosgei3546
    @lydiachepkosgei3546 8 หลายเดือนก่อน

    Nani ako ready nimtupie lines kadhaa ,Lexy amenipea pressure

  • @jonafena4639
    @jonafena4639 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mooh is possessed by wealth ako na ufala sana , For Junior mmh Beacky be loyal after ume divorce Traisha Beacky akutoke

    • @ahmedchivatsi4422
      @ahmedchivatsi4422 8 หลายเดือนก่อน

      na vyenye ako na sura personal ata sijui angekuwa mrembo ingekuwaje

    • @jonafena4639
      @jonafena4639 8 หลายเดือนก่อน

      @@ahmedchivatsi4422 😂😂😂 noma

  • @faimuthiani699
    @faimuthiani699 8 หลายเดือนก่อน +5

    Wueh sasa huyu new boss ndio ananikunywa sasa...aki kukuwa single ni irritating 😅

    • @joanvihenda8290
      @joanvihenda8290 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 ni handsome ❤

    • @monicahn511
      @monicahn511 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @daisypeters8579
    @daisypeters8579 8 หลายเดือนก่อน

    Shida ya hii kipindi is that you can tell beck will fall for this guy juu ye na mali nikujifanya, alafu jnr aachwe. Kujirudia tu ndo flow ya hii😢😢

  • @appsplay4324
    @appsplay4324 8 หลายเดือนก่อน

    Much love ❤❤❤

  • @reignmasinde5094
    @reignmasinde5094 8 หลายเดือนก่อน

    Karibu nishindwe nimeenda kwa jirani

  • @prudencekuya3872
    @prudencekuya3872 8 หลายเดือนก่อน

    Nipewe number ya boss wa becky ❤❤❤😊😊😊😊😊eeeeiiiii

  • @JoycasterMulumbi
    @JoycasterMulumbi 8 หลายเดือนก่อน

    Lexy ukona ushenzi sana

  • @peshylizah254
    @peshylizah254 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 ᴶᵘⁿⁱᵒʳ ʰᵃᵘʲᵃᵃᵐᵇⁱᵃ ᴹᵒʰ ᵛⁱᶻᵘʳⁱ 😅

  • @اال-خ2ت
    @اال-خ2ت 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana🤣🤣🤣🤣🙌

  • @bensonkutosi3818
    @bensonkutosi3818 8 หลายเดือนก่อน +1

    Vipi Muna contradict tena wadau? Kama Moses ni babake pupa ambaye ni Uncle to Lexy ina maana kuwa pupa na Lexy ni ma cousins, tangu lini cousins wafall in Love like serious?

  • @gladysmuthoni8700
    @gladysmuthoni8700 8 หลายเดือนก่อน +1

    Story ya ulehandro😂😂😂

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 8 หลายเดือนก่อน

    Lexy ananibamba mbaya yaan nilidhani n wasomali.wanaume tu ila hata wanawake wako ivo yaan unaambia mamako n madhe in the year

  • @jacklinekarimiobango4133
    @jacklinekarimiobango4133 8 หลายเดือนก่อน

    Delulu in the solulu