Njano haiuziki sana kwa sababu imenasibishwa na ccm ambao wanatafsiriwa kama watu wasiyo mheshimu Mungu kwa kauli na vitendo!! Wao Mungu ni by the way kwamba bila Mungu wao kila kitu kinawezekana!
Jemadari Acha unazi wa simba Simba ilikuwa timu ya wahindi haikuwahi kuwa na rangi nyeusi. Sababu ya upinzani wa Nyanga na Sandaland ni mtazamo wa Yanga kuunga mkono harakati za uhuru na Sandaland kuunga mkono wakoloni.
Shida waandishi hamna noregy maana hata mnachojadili majungu yametawala ndan yake tim ya yanga wao ndio wamebun hiyo ajabu mchambuz yanakutoka.mapovu niujinga na kutokua na uwelewa na kutokuajua majukum yenu
Kama huna D mbili huwez kuelewa jezy ya yanga inarangi gan ukiionalive unaiyona ni Gold 😂😂😂😂ukiiona kwenye cim unaiyona ni njano coz wanaweka filter 😂😂😂😂😂😂😂😅
Jemedali ana uchambuzi wa usimba sana jezi zuri sana za yanga na saivi mpila ni biashala acheni mambo ya kuiga sisi yanga ndio tunaazazisha chetu acheni mambo ya ulaya ndio nn
Jemedari mchambuzi mandazi amekosa kuongelea mpira sasa anaongelea jezi mimi sijui hata huyo anae mlipa mshara anamlipa kwa kazi gani anayofanya bara hata hio pesa awape yatima kuliko kumlipa huyo poyoyo!!
Acha unafki rangi hii si yakwanza kuvaliwa yanga watu wanatafuta soko muhimu watu wanahitaji kujua walaji wengi wanahitaji nn sisi tutavaa tena sana tu kw maslah y club
Mbona kila jambo la yanga mnakomaa kweli kweli tena hadi mjadala kwani nyie imewanasa wapi mbona povu jingi xn wapi imeandikwa kwamba yanga haturuhusiwi kubadilisha rangi hamna maneno hatujavunja sheria
Huyo mama ana akili ya kujieleza. Msikalili bali mchambu yellow ziko zaidi ya rangi sita. Jemadari ana vikwazo vya uchambuzi. Be tgree dimensional to be positive analyst.
Yanga ya jemedari anaeijuwa yeye sio hii ya 2000 asipotoshe watu hii yanga sio bendera ya taifa pia rangi kuu ni ngapi ? Je malalamiko hayo yanatoka wapi zaidi ya malalamiko yako wewe tu hakuna yanga kindaki ndaki hata ukienda polini uwezi kukuta majani ya miti ya kijani yote yakawa yanafanana kijani zinatafautiana wacheni yanga na jezi zao
Yaani Jemedari hujawahi kufIcha chuki dhidi ya YANGA
Yanga oyeeeeeeee ss haoooo kimataifa
Njano haiuziki sana kwa sababu imenasibishwa na ccm ambao wanatafsiriwa kama watu wasiyo mheshimu Mungu kwa kauli na vitendo!! Wao Mungu ni by the way kwamba bila Mungu wao kila kitu kinawezekana!
Acheni na yanga yanga iko kibiashara wanahitaji pesa
Hata enzi za akina Machinga, Yanga walikuwa na jezi za ranging ya dhahabu
Ayo na Jemedar hao wanakunya tu
Hta wapange mbinu gan kesho lazima wachapike Tena kuchapika Kwa hasira,,,,Kwa hili walilolifanya leo hasira mala mbili kesho
Jemedari ni mshamba sn 😢
Kitambulisho Cha timu ni jezi ni sawa na be dendela ya taifa haiwezi kubadilika
Hii syo hoja ya msingi badiliken
Jemadari Acha unazi wa simba Simba ilikuwa timu ya wahindi haikuwahi kuwa na rangi nyeusi. Sababu ya upinzani wa Nyanga na Sandaland ni mtazamo wa Yanga kuunga mkono harakati za uhuru na Sandaland kuunga mkono wakoloni.
hyo hans ni mpumbavu,kazi yake ni kutetea ujinga chawa hyooo
Kwani realmadrid wana jezi za rangi ngapi?kitu official kwenye jezi ni NEMBO,rangi zinaweza kubadilika mda wowote ujinga ni kujiona mnajua kila kitu
Na wchambuz weng wanakitia ubaya ili kuendena sambamba na makolo
Na hapo bado hatujabeba kombe mara ya nne,,jemedar c utaumia sana
Sasa blue ya Simba imetoka wapi kama jemedari anasema Simba Wana rangi tatu
Shida waandishi hamna noregy maana hata mnachojadili majungu yametawala ndan yake tim ya yanga wao ndio wamebun hiyo ajabu mchambuz yanakutoka.mapovu niujinga na kutokua na uwelewa na kutokuajua majukum yenu
Kama huna D mbili huwez kuelewa jezy ya yanga inarangi gan ukiionalive unaiyona ni Gold 😂😂😂😂ukiiona kwenye cim unaiyona ni njano coz wanaweka filter 😂😂😂😂😂😂😂😅
Jemedali ana uchambuzi wa usimba sana jezi zuri sana za yanga na saivi mpila ni biashala acheni mambo ya kuiga sisi yanga ndio tunaazazisha chetu acheni mambo ya ulaya ndio nn
hyo sherii anazingua atasababisha mauzo ya jezi safari hii yashuke sana,kwanza kaweka vitenge haraf katuletea kengold,kuna kazi hapo,?nivae nichekwe mm mtaaan
Jemedari mchambuzi mandazi amekosa kuongelea mpira sasa anaongelea jezi mimi sijui hata huyo anae mlipa mshara anamlipa kwa kazi gani anayofanya bara hata hio pesa awape yatima kuliko kumlipa huyo poyoyo!!
mm yanga ila hyo jez ya gold cwez vaa,mm ni yanga bhana cwez vaa jezi ya timu ambayo cyo yangu
Acha unafki rangi hii si yakwanza kuvaliwa yanga watu wanatafuta soko muhimu watu wanahitaji kujua walaji wengi wanahitaji nn sisi tutavaa tena sana tu kw maslah y club
Mbona kila jambo la yanga mnakomaa kweli kweli tena hadi mjadala kwani nyie imewanasa wapi mbona povu jingi xn wapi imeandikwa kwamba yanga haturuhusiwi kubadilisha rangi hamna maneno hatujavunja sheria
Rangi ya njano ktk bedera ya taifa inasimama kwa madini yetu je hiyo rangi ni ya dhahabu kweli mbona hamkuhoji hapo
Kiukweli rangi yetu wanaipoteza
Huyo mama ana akili ya kujieleza. Msikalili bali mchambu yellow ziko zaidi ya rangi sita. Jemadari ana vikwazo vya uchambuzi. Be tgree dimensional to be positive analyst.
Endeleen kuumia
Kama Pesa zinabadilishwa itakuwa jezi?
Ndio mkubali timu imeshauzwa kilichobaki nikubadili nembotu baadae jina😂
Njano na kijani having mvuto
Ni mtazamo wako
Kwani hiyo sio njano
Hii ni njano tu kama njano
Yanga ndo inauza kwenye vyobo vya habar! Simba iliyoteka vyombo vya habar hiko wapi??
Tunachambua jezi,kweliii?
Huyo mliemuhoji ni mtaalam wa printing, yeye jemedari anangangana na upuuzi wake bila ya utaalam wa rangi.
Jezi haivutii kivipi??acheni ushamba wakuu
Hii ni Yako wewe kama cyo ya yanga
USHAMBA UKIZIDI NDIYO HAYO HIVI KWANI GOLD INA RANGI GANI?
Jemedari ni msimb msimba mno mnafki xana ww
Yanga inajitoa taratibu na rangi ya kijani na njano kwa sababu ya kibiashara zaidi pia kujitenganisha na ccm mwaka hu wa uchaguzi!!
Ile ni njano jemedali
Jemedari kaumizwa sana yani analamika😂 yani unamuona kabsa kaumia
Yanga ya jemedari anaeijuwa yeye sio hii ya 2000 asipotoshe watu hii yanga sio bendera ya taifa pia rangi kuu ni ngapi ?
Je malalamiko hayo yanatoka wapi zaidi ya malalamiko yako wewe tu hakuna yanga kindaki ndaki hata ukienda polini uwezi kukuta majani ya miti ya kijani yote yakawa yanafanana kijani zinatafautiana wacheni yanga na jezi zao
IDENTITY YA YANGA NI NJANO NA KIJANI NA NYEUSI KIDOGO HUYU JAMAA ATASABABISHA WATU WASINUNUE HAKUNA JEZI YA YANGA HAPO
Jemedari ndiye analalamika lakini sio wanayanga.
Ana umia sana jemedali rangi inamuumaaaa
Vijana wa 2000 ndio hawajui hii dhahabu kama Yanga wa muda mrefu washavaa sana, huyo jemedari ni mshabiki tu na sio mfutiliaji mambo
Kijana wa 1980 lini yanga ilivaa dhahabu
Kabisa Tena miaka ya 1990
Wachambuzi vp,? Mbona kila kitu Cha Yanga mnakiponda?? Hamueleweki kukaa siku nzima mkibishana Jez. Yanga sio timu ya taifa
Jemedari acha kupotosha watu mwaka 1998 jezi za yanga zilikuwaje?