RAMADHAN_QASWIDA_2022
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024
- A.alaykum warahmatullahiwabarakatuh
Qaswida ya mwezi mtukufu wa ramadhan, yenye mafunzo makubwa ndani yake, ikiwemo:
1. Kufanya ibada mbali mbali kama vile, kusoma Qur-an.
2. Kufanya toba , kwa kutaka msamaha kutoka Allah(s. a.w) juu ya makosa tuliyoyatenda.
3. Kuwasaidia wanyonge, kama vile maskini,mafukara na wote wenye kuhitajia msaada.
5. Kutenda na kufanya yale yote yaliyokua mema, kwani katika mwezi huu ujira unaopatikana kwa kutenda amali njema ni mkubwa.
Mashaallah mashaallah mnafanya vizuri
Mashaallah mashaallah mnafanya vizuri sana
Maa shaa Allah
Mashaallah mungu awazidishie
Mshallah💝💝
Ассаломалейкум из страны Россия 🇷🇺. МашаАллох. Прекрасный голос. Хранить вас Всевышний Аллах. Омин, Омин, Омин.
MashaAllah 🔥 🔥🔥
Mashallah mungu awazidishie vipenzi vyangu nawapenda wote mungu awalinde na macho ya husda amiin insha-allah
Mabikey shoo bora video
Machallah Machallah Machallah courage les enfants
hi video yk bad