You give me a good lesson, thank you 😊 na mwenyezi mungu akubariki kwa kuamua kutufundisha hii ni sadaka muhim sn so keep going we are learning from you
congratulations my sister i like the way you teach English, namimi pia nitakuwa nawewe pamoj kwenye kila kipindi,, ila kuna maneno inayo nisumbuwa sana na ningependa kuyajuwa vizuri na kuyatumia, goes does should would shall could kweli dada ningeomba ufanye video nyingine kuhusu hayo maneno
Nakupenda Sana dada Dorothy umekuwa mtu muhimu Sana kwangu MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI ZAIDI
Ubarikiwe Sana mwalimu, naona kama nabadilika na kuimprove zaidi🎉🎉🎉
Asante sasa nimeelewa vizuri kuhusu viwakilishi
Kweli mungu habatiki utufundishe asante.
You give me a good lesson, thank you 😊 na mwenyezi mungu akubariki kwa kuamua kutufundisha hii ni sadaka muhim sn so keep going we are learning from you
Asante km Dada diri
Ahsante sana mwalimu kwa somo zuri
uishi miaka mingi thank you good teacher
Nakupenda sana mwalimu wangu natamani siku moja nikuone walau
Thank u so much dorith
Thank very nice my teacher ilove you
Unachelewesha Sana Dorothy masomo toa vitu ivo teacher Dorothy
Thank you teacher you are best teacher
Nice 👍
Wazo zuri
Pamoja Sana sister
Thx my teacher im proud to be teaching english
Nimefika mbali Sana na doroth
Me mbwana hunijibu
God bless you my teacher
Thank you Teacher Najiona mwenye bahati kuijua channel yako ubarikiwe sana .
Asante Sana
Asante sana
Thenkyou🥰🥰😘😘😘😘😘😘
Asante sana mwalimu wetu
Good job
Nakushukuru sana mama Kwa elimu unayoitoa! EBU naomba kuuliza:' neno KITENDO Kwa KINGEREZA linaitwaje!;
Kitendo ni action
Asanteni
Thanks
Asante
Ticher Bora😘😘
4:50
Thanks 🙏🙏
Safi
Naitaj Msaada Jaman Kam Sielew Kabisa Dada Dory
Msaada gani
Thank you so much teacher
Nakuomba usicheleweshe masomo kutoa teacher Dorothy
Thank you so much madam 🙏
Mwalimu mubarikiwe Kama najua kujitetea kidogo kwakiingereza ni wewe mi nipo amerca 3:02
Hujambo Rafiki yangu
Umenepa
supEr✨
Najivunia kukufatilia hapa toke mwanzo wa masomo yako
congratulations my sister i like the way you teach English, namimi pia nitakuwa nawewe pamoj kwenye kila kipindi,,
ila kuna maneno inayo nisumbuwa sana na ningependa kuyajuwa vizuri na kuyatumia,
goes
does
should
would
shall
could
kweli dada ningeomba ufanye video nyingine kuhusu hayo maneno
Thank you so much
Ubalikiwe
Unatukwamisha Sana
Nashurusana kwakuazisha darasa rakufundisha kingereza najitahidi kukufatiria masoyako kwabidii nahitaji kujua kingereza
You're my wife's teacher
Thank you so much
Abariako mwalimu naomba pia namimi mniunge kwenye group
Niunge group lako dorith
Love Ep Out
th-cam.com/play/PLbFrAz29154WDEtvrThiA_fqUz0jUtKVd.html
Mdgo mdgo nd mwndo japo sjashika ila sio kma mwnzo
Niunge Basi kwenye group la what's up teacher Dorothy
Unajua san madam had mm kichwa ngum naelew
Thank you madam
Mwalimu Dorothy vipi mbona masomo unachelewesha Sana sisi tunafatilia vo hem tuletee kuanzia somo la 27
Teacher Doroth naomba uniunge kwenye group please
Please teacher nami naomba uniunge katika group
Jambo habari za wa jamii bona nilikuomba nember yako na Leo
Dad naomba niunge name kwenye ilo group la kuongea kingereza Whatsapp
Tunao soma kingereza kwa huyu Dada kwanini tusiunge group kwa ajili yetu ili tujifuze zaidi
Iko waz
nahitaj ku save video zako nashindwa save naomba unisaidie kwa sababu zina muhimu kwang
Download
Madam somo la 52 na hakuna
techer
Thank you madam naomba website yako
Niunge Basi kwenye group la what's up
Madam join watsapp group please
Sasa hapo teacher tunawasemea wote third pason singular si ndio eliza na yye si ndio
Ndio. Inawezakuwa Eliza Au mtu mwingine yoyote. Unaweza kutumia viwakilishi vya kawaida.
Thank you