Jmn. Mzuri n yupi hpo maan n pesa t ndio zawaek hivyo n uzur was mtu n tabia yake sio pesa zake pesa n Mali y Dunia t ndugu badili tabia yko ndio uzuri wa mwanamke n mwanaume usidanganywe n Dunia warabu walisema duniah thadhuru Dunia n mzunguuko wachen maaswih nduguzangu turudin Kwa Allah wadau
Biga kelele kwa wema wangu🎉🎉🎉❤❤❤ nimefurai san kumsikikia kipenzi changu
Uzuri wa mwanamke ni tabia nzuri na siyo sura yake 😁😁😁.
Nandy
Salafina siyo mzuri atakidogo
Hapo kwa Sarafina umechemsha mama...wazur mbona wapo
Nandy umemutiya wapi?? mbona nandy nimzuli sana
sepenga and miss bantu kajala
Mie sijamuona uzuri bora huyo kajala
Mbona umemuacha nandy?kumbe uwongo huho

Auntie Ezekiel
Salafina siyo mzuri atakidogo