Eee mfungue Emanueli mnyogele arudi kwenye mikono yangu mungu naomba mponye Emanueli mnyogele arudi Kwa Imani, mungu Emanueli mnyogele muondolee nguvu za kiganga zinazo mtumikisha mungu muokoe mwanao emanueli mnyogele, kwaimani mungu naomba mponye bitrisi huko aliko arudi nyumbani akiwa salama mfungue ufahamu wake arudi nyumbani, mungu kwaimani napokea uponyaji pamoja na familia yangu ameni 🙏🙏
Eeh Mungu niondoleee hii hofu kwa jina la yesu....🙏😪
Hofu sio sehem yangu, mimi ni mshindi tu,Amen
Eee mfungue Emanueli mnyogele arudi kwenye mikono yangu mungu naomba mponye Emanueli mnyogele arudi Kwa Imani, mungu Emanueli mnyogele muondolee nguvu za kiganga zinazo mtumikisha mungu muokoe mwanao emanueli mnyogele, kwaimani mungu naomba mponye bitrisi huko aliko arudi nyumbani akiwa salama mfungue ufahamu wake arudi nyumbani, mungu kwaimani napokea uponyaji pamoja na familia yangu ameni 🙏🙏
kweli mtumishi nimekuwa nikiogopa sana kila wakati kila dk naogopa
Ameen Ameen Ameen And Ameen Ameen Ameen
Ameen
Sholom sholom
Amina 🙏 MUNGU akubariki mtumishi
Amen amen amen YESU Yumwema kwangu 🙏
ASANTE YESU KRISTO UNANIPA HAKI YANGU 100%. AMEN
Amen Mt..nilikua na hofu Sana..nimepona..
Amen nime barikiwa
Mungu atusaidie
Amen Daddy from Denmark
Amen 🙏
Amen from Kenya.
AMEN DADDY🙏🙏🙏
Baba hii seminar ndo inaendelea hapa Dearmama ya Dodoma? Na Leo ijumaa ipo? Na kama ni hivyo inaanza sangapi?
Shalom.
Leo hatutokuwa na ibada Dodoma, ibada zetu zipo kila siku ya Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni. Karibu sana.
Ameen