UBUYU WA BIASHARA KILO MOJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Biashara Ya Ubuyu
    Mziwanda Bakers
    instagram:mziwanda_bakers

ความคิดเห็น • 65

  • @queentz8314
    @queentz8314 3 ปีที่แล้ว +2

    Wawoooooo thank you very much. unakipaji cha kufundisha very simple way na kueleweka Mashaalah Mashaalah Mashaalah

  • @mercyambuka9214
    @mercyambuka9214 3 ปีที่แล้ว +1

    WOW,I have waited for this recipe .Thanks

  • @mariacappelletti3323
    @mariacappelletti3323 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kwa somo kwa wiki sikosi 50000 asante dada

  • @angelmariaotieno2253
    @angelmariaotieno2253 2 ปีที่แล้ว +1

    Mziwanda napenda Sana mapishi yako, you are very smart

  • @simonkofia7517
    @simonkofia7517 3 ปีที่แล้ว

    Hello...nmefuatilia vzr sana jnc ambavyo unafanya,,bnafc niseme uko vzr kusmma Kama mwl...pia naomba unisaidie orodha ya materials/vitu vinavyohtajka na hatua zake Yan 1,2,3....ili tufanye KAZI nzur zaidi... ahsantee na MUNGU akfanikishe katka elimu hiyo..barikiwa Sana.

  • @rukiahussein7446
    @rukiahussein7446 3 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah,nitajaribu kupika

  • @joinanganunga6985
    @joinanganunga6985 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @maryayo7309
    @maryayo7309 3 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri naomba no zako

  • @MarryMponzi-r4d
    @MarryMponzi-r4d ปีที่แล้ว

    Waooo mtam san

  • @fatmaabuu4982
    @fatmaabuu4982 3 ปีที่แล้ว

    Nice Mashaalla hv lengo la kuuweka kweny plastic bag kabla ya kuupack kwa vifuko nn mantic yke ?

  • @Georges.Kitchen
    @Georges.Kitchen 3 ปีที่แล้ว

    More love my sister ❣️😋❣️

  • @jeanmariehakizimanahakizim7212
    @jeanmariehakizimanahakizim7212 หลายเดือนก่อน

    uo unga tutaupataje bandugu mbona tunauhitaji saaana.

  • @evelynebiduga9626
    @evelynebiduga9626 2 หลายเดือนก่อน

    Maji lita moja na nusu hadi mbili

  • @salhangoya2552
    @salhangoya2552 2 ปีที่แล้ว

    Napenda SoMo lako dada

  • @mankamchomvu4732
    @mankamchomvu4732 3 ปีที่แล้ว

    Naomba tufundishe na kashata za ubuyu

  • @abelthomas7521
    @abelthomas7521 2 ปีที่แล้ว +2

    Vipimo vya ubuyu wa biashara

  • @annakadamanja2196
    @annakadamanja2196 ปีที่แล้ว

    Mziwanda samahani naomba kuuliza swali ubuyu kilo 5 sukari kiasi gani inatumika ??

  • @reyfantakhamis1354
    @reyfantakhamis1354 2 ปีที่แล้ว

    Hongera dada mi nakosa kila ck namwaga ubuyu

    • @glorymushi3954
      @glorymushi3954 หลายเดือนก่อน

      Usimwage uzia wanafunzi

  • @AshuraMussa-j5y
    @AshuraMussa-j5y 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba dada kilo mbili na nus sukali kiasi gan

  • @pillymantage9127
    @pillymantage9127 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelew Asante sana

  • @zulfatdidas369
    @zulfatdidas369 3 ปีที่แล้ว

    Tuekee recipes dad Yan natak nijarb 🥰🥰

    • @hildalucas8482
      @hildalucas8482 3 ปีที่แล้ว

      Tuwekee na mafunzo ya pilipili

  • @zawadidagamra4106
    @zawadidagamra4106 3 ปีที่แล้ว

    Thanks, kunijuza nitajaribu.

  • @evelynebiduga9626
    @evelynebiduga9626 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana dear kwa kuzidi kutupatia maujuzi! Mimi ni miongoni mwa wanaofuatilia darasa lako hapa TH-cam, naomba kujua kama kwa vipimo hivyo vya 1/4kg ya sukari na 1kg ya ubuyu, ubuyu utakuwa mtamu kweli kuvutia wateja? Mimi ninataka kupika 2 na 1/4 (sado moja) ya ubuyu kwa 1kg ya sukari, je nitakuwa sawa? Nimeona wengine wanatumia vipimo kwa uwiano sawa (1kg sukari kwa 1kg ubuyu), nisaidie maana kesho nataka kuingia kwenye matendo (kutengeza)! Asante sana sana🙏🙏🙏🙏

    • @Jastus100
      @Jastus100 2 ปีที่แล้ว +1

      Nina swali sawa na lako ,je umepata majibu M?

    • @evelynebiduga9626
      @evelynebiduga9626 2 ปีที่แล้ว

      @@Jastus100 sijapata ila mimi nimeanza kupika sado moja ya ubuyu wa mbegu, sukari kilo 2 na unga wa ubuyu kilo moja kasoro na ubuyu unatoka super😋

    • @Jastus100
      @Jastus100 2 ปีที่แล้ว

      @@evelynebiduga9626 sado ya ubuyu ni kama kilo gani eti

    • @evelynebiduga9626
      @evelynebiduga9626 2 ปีที่แล้ว

      @@Jastus100 kama utapimiwa vizuri ni kilo mbili na robo la ni kilo mbili kamili ambayo huku niliko sado ni shs. 2000/= , na ya unga wa ubuyu ambao haujachekechwa ni 3000/=

    • @Jastus100
      @Jastus100 2 ปีที่แล้ว

      @@evelynebiduga9626 nashukuru sana sorry kwa maswali mengi , naomba kujua hivi unalipa vizuri?

  • @aminakiboma8537
    @aminakiboma8537 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kitu ubarikiwe kwa ku share nasi this video

  • @hellenomar2177
    @hellenomar2177 3 ปีที่แล้ว

    Jamani mwenzenu nikitengeneza ubuyu ukikaa kidogo uko kama unavunda, nimekosea wapi? naomba jibu,

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 ปีที่แล้ว

      Utakuwa unazidisha maji pia shira haivi vizuri

    • @tausishabani263
      @tausishabani263 3 ปีที่แล้ว

      Hujaacha Shira ijivute umewahisha kuepua

  • @reyfantakhamis1354
    @reyfantakhamis1354 2 ปีที่แล้ว

    Sijui vipimo nahisi

  • @PATRICKIDAUDI318
    @PATRICKIDAUDI318 2 ปีที่แล้ว

    Samahani dada naomba nikusumbuwe kidogo

  • @mdeteally165
    @mdeteally165 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi.nikipika.baada.muda.kidogo.unakua.mgumu.naomba.kipimo.cha.maji.kwa.lita

  • @tatukilito9721
    @tatukilito9721 ปีที่แล้ว

    Unga wa mabuyu unautoa wapi?

  • @NaesaSaasita-zs4rp
    @NaesaSaasita-zs4rp 7 หลายเดือนก่อน

    Me wangu mbn unanatana kdg lkn

  • @wamboedna
    @wamboedna 3 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa Kenya 🇰🇪 where can i buy ubuyu

  • @elinajoram4738
    @elinajoram4738 2 ปีที่แล้ว +1

    Shira nini dada

  • @annamarry2033
    @annamarry2033 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi Kama sina Radha naweza kutumia nini mbadala wake ili ubuyu uwe mtamu

  • @luandanchimbi1127
    @luandanchimbi1127 2 ปีที่แล้ว

    naomba namba yako please

  • @catherinefelix1471
    @catherinefelix1471 ปีที่แล้ว

    Tatzo linakuwa Nini mtu kupika ubuyu haukauki

  • @aishanjagi4351
    @aishanjagi4351 ปีที่แล้ว

    Hi , i made mabuyu i kilo, sukari 1kg, maji1ltr, lakini imekuwa kama ugali hata baada ya kuicha masaa kumi na sita. Nitayafanyia nini ndio ikauke

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  ปีที่แล้ว

      Pole huo hauwezi kukauka ubuyu unakaukia jikoni ndio uzuri wake

    • @dorothymbise3427
      @dorothymbise3427 11 วันที่ผ่านมา

      Unga uliweka?😊​@@mziwandabakers8297