MIRAJI|AHADI YA MIL 50 NIMEMKUMBUKA DISMAS TEN |ENG HERSI NA KARIA HAWAPIGI KELELE MAFANIO YANAONGEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 52

  • @LinusSirayo
    @LinusSirayo 8 วันที่ผ่านมา +3

    Mwanangu miraji ivii awa wasafi awakuonii au craun fm. Wakupe nafasiii mwamba unaujuaa sana mpiraaaa

    • @Husseinhuseni
      @Husseinhuseni 7 วันที่ผ่านมา

      Hata Mim natamani iwe hvo,Jamaa anaongea Mpira haongei ushabiki ✍️

  • @EmanueliAray
    @EmanueliAray 9 วันที่ผ่านมา +6

    Namkubali mwanangu miraji mara moja

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 9 วันที่ผ่านมา +6

    SIMBA SC, Should take a game at a time, Go for the maximum 3 points and plenty of goals. Once they beat Tabora, pressure will be on YANGA, .

  • @IsayaJoseph-ty3kq
    @IsayaJoseph-ty3kq 9 วันที่ผ่านมา +3

    Miraji nakubali

  • @Nancy-e1i
    @Nancy-e1i 8 วันที่ผ่านมา

    UBAYAA UBWELAA🔥🦁

  • @fadhiliabasi6585
    @fadhiliabasi6585 9 วันที่ผ่านมา +1

    Oflei Chikola,Vimacho vidoooogo!!!

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu 9 วันที่ผ่านมา +2

    Miraji. Good

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 8 วันที่ผ่านมา +2

    UBAYA UBWELA😂😂😂🎉🎉🎉

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 8 วันที่ผ่านมา +1

    Lufiji hapa ikwilili milaji chagamba pamoja

  • @GentleGiant-pj2rk
    @GentleGiant-pj2rk 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kofi Olomide siyo engineer, ni Mchumi

  • @Saidysharubat
    @Saidysharubat 8 วันที่ผ่านมา +1

    ERSI ndio zaidi koliko kalia

    • @subiraaddo864
      @subiraaddo864 8 วันที่ผ่านมา

      Hata kuandika hujui unamuwaza tu Hersi😂

  • @josephjumasia7849
    @josephjumasia7849 8 วันที่ผ่านมา

    Ila mirajii chagamba atapinda bega so kwa mibaooo hyooo

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 8 วันที่ผ่านมา

    Pamoja ndugu zangu

  • @kirakaabeid1824
    @kirakaabeid1824 7 วันที่ผ่านมา

    Chagamba nimenunua Kigodoro cha kuweka Begani ili kupunguza maumivu ya mabanzi ya Miraji. Ila sijui nakupataje

  • @idrissamohd
    @idrissamohd 8 วันที่ผ่านมา

    Mraji kumaninaaaaa 😅😅😅😅

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 9 วันที่ผ่านมา

    Uchawa mbaya miraj

  • @othmanibakiri2010
    @othmanibakiri2010 9 วันที่ผ่านมา +2

    kikubwa dua

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 9 วันที่ผ่านมา +11

    Tabora waongo wala kwani walicheza na Yanga na Azam kivipi mbona wakiwa wanacheza na Simba sababu nyingi wanatoa jamani hixi team nimegundua Simba inaogopeka sana tena sanaaaa❤❤❤❤

    • @zuhuranasoro8923
      @zuhuranasoro8923 8 วันที่ผ่านมา

      Simba wanacheza nje na ndani ya uwanja. Wanautaka ubingwa kwa lazimana dhulma uwanjani😅

  • @mkongwijudith8457
    @mkongwijudith8457 8 วันที่ผ่านมา

    Miraji unachanganyikiwa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 7 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli hersi huwa anahonga timu ? Je
    hata simba ameshawahi kuwahonga na kupigwa ndani nje ? au? Simba pia huwa wanahongwa? Alifungwaje mara 4 mfululizo? Kumbe na simba huwa wanahongwa?😅😅😅😅😅.

  • @TheShakazulu02
    @TheShakazulu02 8 วันที่ผ่านมา

    Kufanya mahojiano na huyu jamaa inabidi mabega yako yawe vizuri maana kila saa anakandamiza tu😂

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 8 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @jumasella-s2k
    @jumasella-s2k 8 วันที่ผ่านมา

    wanabena kabira moja

  • @SamsoniKaka
    @SamsoniKaka 8 วันที่ผ่านมา

    🦁❤️❤️❤️❤️💪💪💪🙏🙏

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 9 วันที่ผ่านมา +2

    Against yanga Africans waliahidiwa 20 million na wakapewa na mkuu wa mkoa wao!!! Yy ndio yuko nyuma ya ahadi hizo

    • @mydoc9769
      @mydoc9769 8 วันที่ผ่านมา

      Ilikuja hyo baada ya nyie young kupata kipigo

  • @MwitaPetro-e9z
    @MwitaPetro-e9z 9 วันที่ผ่านมา +2

    @nAwakubali sana nyie

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc 8 วันที่ผ่านมา

    Dah miraji umefurahisha yaani ungekua mchezaji wewe hee jeuli wewe

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 9 วันที่ผ่านมา +1

    Tff ndio wanaibua Mambo ya vibali mechi ya Simba ikiisha watawaluhusu wacheze.

  • @Saidysharubat
    @Saidysharubat 8 วันที่ผ่านมา

    hakuna hao wanawakwisha hahao tabola mechi yakwanza walicheza na Simba walinyimwa vibali wanamaliza kucheza na Simba tu wacheji walilusiwa acheni ukilitimba

  • @husseinjumanne6075
    @husseinjumanne6075 8 วันที่ผ่านมา

    Miraj mara moja😅

  • @juniorjoshua2452
    @juniorjoshua2452 9 วันที่ผ่านมา +1

    Miraji hajapigiwa kula, ameteuliwa

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 9 วันที่ผ่านมา

    Miraj punguza utabiri

  • @devothaignatius5256
    @devothaignatius5256 8 วันที่ผ่านมา

    Jmn miraji mbn unasema mzigo umewekwa kwa ajiri ya simba tu? Nawakti waliwekewa mzigo kwa Yanga ikafa, mzigo tena azamu akayeyuka napia msemaji wao anasema kila mechi mkuu wamkoa anaweka mzigo sa we vipi inamaana haujafatria?

    • @yanshuking
      @yanshuking 8 วันที่ผ่านมา

      Match ya yanga hizo ahadi ulizickia ?

  • @juniorjoshua2452
    @juniorjoshua2452 9 วันที่ผ่านมา

    Miraji haijapigwa kula, aliteuli kula haijapigwa, na km alipigiwa kula tupe maelezo kamili alipigiwa lini?

    • @meckraudndelwa-jv8co
      @meckraudndelwa-jv8co 9 วันที่ผ่านมา

      Zilipigwa kula kasikilize intevw ya hersi na wasafi

    • @alfanimsuya3125
      @alfanimsuya3125 8 วันที่ผ่านมา

      Fuatilia mpira acha kuwa na mihemko

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 9 วันที่ผ่านมา

    Million 50 ni za mkuu wa mkoa sio mali ya club maana yk zitatoka km tabora watamfurahisha aliahidi yaaaaaaan wakishinda huo mchezo!!!! Tabora hawana mamlaka nazo

    • @alfanimsuya3125
      @alfanimsuya3125 8 วันที่ผ่านมา

      Alafu klabu gani itatoa shilingi milioni 50 ikiwa nbc anampa bingwa milion 100 mbona binadamu wanapenda kudanganyana kama anatoa mkuu wa mkoa sawa ila nae anapaswa kutafakari sana juu ya hilo

  • @nasseralshaibani6995
    @nasseralshaibani6995 8 วันที่ผ่านมา

    Sikubaliani na kuandika hersi na Maria ni dhahabu kwa mpira wa Tanzanian.
    Hersi hajui kuchagua wachezaji alikuwa anamajasusi ndani ya simba wakimpa habari nani simba anataka kusajili ndio yeye hukumbilia kusajili wachezaji hao na ubora wake ni kuhonga na kununua mechi hii ndio dhahabu? Watanzania punguzeni unafiki na kupeana vyeo visivo na uasilia

    • @alfanimsuya3125
      @alfanimsuya3125 8 วันที่ผ่านมา

      Una ushahidi juu ya hayo unayosema juu ya rushwa au unafuata mkumbo na maneno ya mtaani

    • @nasseralshaibani6995
      @nasseralshaibani6995 7 วันที่ผ่านมา

      @alfanimsuya3125 wewe ni lawyer hata unauliza ushahidi.
      Kila kitu kinajulikana

    • @alfanimsuya3125
      @alfanimsuya3125 7 วันที่ผ่านมา

      @nasseralshaibani6995 zungumzai jambo lililo la kweli acha kudanganya watu

    • @nasseralshaibani6995
      @nasseralshaibani6995 7 วันที่ผ่านมา

      @alfanimsuya3125 huo ndio ukweli mungu ndio shahidi

  • @Zuubaby-lp9uj
    @Zuubaby-lp9uj 9 วันที่ผ่านมา +1

    😅ila chagamba utopolo Wala ujifichi 😊

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 8 วันที่ผ่านมา

    𝐾𝑎𝑘𝑎 𝑚𝑖𝑙𝑎𝑗𝑖 𝑦𝑎𝑛 𝑙𝑒𝑜 𝑢𝑚𝑒𝑛𝑖𝑠ℎ𝑎𝑛𝑔𝑎𝑧𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑢𝑚𝑒𝑖𝑤𝑒𝑘𝑒𝑎 𝑦𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑎𝑢 𝑘𝑢𝑖𝑝𝑖𝑚𝑎 𝑛𝑎 𝑝𝑜𝑝𝑐𝑜𝑛 𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖 𝑎𝑖𝑠𝑒𝑒