DAMBA TTAUFIQ MAGEMANI MAFIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024
- QASWDA YAO TU UTAIPENDA
Al madrasat TTAUFIQ ya magemani ikifanya yake katika viwanja vya almadrasat nnahajahi bweni
Wateremsha DAMBA zito wazikalisha madrasa zote zilizo hudhuria katika maulidi hayo
shekhe ANUWARI JONGO ndiye mgeni rasmi alisifia hatariii
usisahau ku subscribe channel hii na kukoment nakushare