NASSORO AGEUKA MBOGO STESHENI KISA MEJA KUHAMIA YANGA | HAWA NI MAMLUKI | MZEE WA KIBUYU AWATULIZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

ความคิดเห็น • 24

  • @MauBonde
    @MauBonde 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nasoro nampa big up Sana ,viongozi wajiangalie kipindi cha yanga ya bakuli kulikuwa hakuna mamluki.

    • @peterpain5594
      @peterpain5594 18 วันที่ผ่านมา

      Ww mpira sio chuki bana mtu anaama kutokana na team ikiwa mbovu ung'ang'ania kwani team ni nn aise uyo nasoro fala sana alafu yule jamaa anaonekana anaroho mbaya

  • @jamalongangari4908
    @jamalongangari4908 18 วันที่ผ่านมา +3

    bro mpira sio wakuweka chuki. tazama ulaya team zakikweli na wachezaji wengine hata wamebeba makombe ya dunia na wanahama team hasimu. ilimradi chama ataitumikia bendera ya yanga safi tu. (MPIRA BIASHARA BRO )

  • @salummkicha6636
    @salummkicha6636 15 วันที่ผ่านมา

    Kumbe dosa ni chizi aisee naendelea kuelewa.,sasa ss tuliozaliwa miaka ya themann inakuaj

  • @user-hr8gi6kg1y
    @user-hr8gi6kg1y 18 วันที่ผ่านมา

    Mzee ni mzee tuu 🎉🎉

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nasiro Yanga ni ya wote unataka ouleta ubinafsi wengi tumeteseka na Yanga na tunamkaribisha Meja usijifanye wewe ni Yanga zaidi

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 18 วันที่ผ่านมา

    Ktk kitu nAsoro leo kafeli team sio kabila wa demu

  • @furahamoja6582
    @furahamoja6582 18 วันที่ผ่านมา

    Kwel kabisaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-mr9xp5mr7i
    @user-mr9xp5mr7i 17 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa chuki tu...
    Yanga ya babake

  • @user-mr9xp5mr7i
    @user-mr9xp5mr7i 17 วันที่ผ่านมา

    Huyo Fala Tu
    Anyamaze hawezi kuingilia nafsi ya mtu

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 18 วันที่ผ่านมา

    Mm ni mwananchi lakini meja kuhamia yanga jambo la kawaida,hakuna mamluki Acheni chuki kwani atapata uongozi gani mwacheni meja afurahie sio kumkataa meja wakati ni mapenzi yake Acheni usenge huo.

  • @AhmedRawahi-i4q
    @AhmedRawahi-i4q 18 วันที่ผ่านมา

    Kama hujui na unyamaze tu

  • @moviekaa
    @moviekaa 18 วันที่ผ่านมา

    Mpira sio vita muelimisheni huyo. Kila mtu yupo huru kuhama au kuhamia timu yoyote.

  • @AhmedRawahi-i4q
    @AhmedRawahi-i4q 18 วันที่ผ่านมา

    Sio kweli kulikua kuna team inaitwa young boyz sio young africa muongo huyo

  • @seiftaji7838
    @seiftaji7838 18 วันที่ผ่านมา

    Meja msenge angalia sasa unafedheheka boya wewe

  • @MolinMolini
    @MolinMolini 18 วันที่ผ่านมา

    Sio kweli kabila sio timu kuama kupo tu

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 18 วันที่ผ่านมา

    Huyo hajui kuwa kuna Shabiki wa Yanga aliihama Yanga na kwenda Azan au labda akikuwa hajazaliwa

  • @ahmedburhan5104
    @ahmedburhan5104 18 วันที่ผ่านมา

    Nasoro umekosea sana hayo maneno yako. Kwan lazima mtu awe simba au yanga? Tumia akil broo

  • @user-bt6ep3yb2h
    @user-bt6ep3yb2h 18 วันที่ผ่านมา

    Unalingqna umri au mnapishana miaka mitatu halafu unamwita mwinzio eti mzee.

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 18 วันที่ผ่านมา

    Koma sana we huamulii mtu cha kupenda Kama hana raha alikokua inakuumiz8a nn yanga ni ya wanainchi na sio yako

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 18 วันที่ผ่านมา

    Nasoro jazba nyingi hakuna maarifa wala ufahamu anaropoka tuh umeambiwa usome historia Kwanza ya yanga utaelewa simba wote walikuwa yanga na ukiangalia hata leo utagundua mshabiki wa simba wengi wanahamia yanga kwa sababu ndo asili Yao walikuwa yanga kama sio yeye basi babu yake na bibiake nasoro zero kabisaaaa

  • @IssackJackson
    @IssackJackson 18 วันที่ผ่านมา

    kama anaongea point 👉👉 vile

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 17 วันที่ผ่านมา

    Dosa mshamba huna lolote unalojua...Simba haikutoka kwa Yanga Mshamba wewe.

  • @donatienbest6043
    @donatienbest6043 18 วันที่ผ่านมา

    Mpira sio chuki