ODAMA - PART 02

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 123

  • @ibrahimummu5127
    @ibrahimummu5127 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzur sana kk Lucas mungu akuweke miak 1000 najifunza vitu vingi sana kupitia simiriz zako🌹🌹🌹

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri Kaka lumbas,listening from Kenya 🇰🇪,much ❤

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 8 หลายเดือนก่อน +18

    Jamani Mimi wakwanza kusikia simulizi za Kaka Lucas lumbasi kijana mtulivu kijana mwenye busara kijana mnyenyekevu mashabiki tuwendelee kusikia Lucas wapendwa naomba like zenu hongera Lucas kwa simulizi ya odama❤❤❤❤❤❤❤🎉

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu dogo ameiva wallahi ...hanaga pupa🎉🎉🎉lucas the blessed one

    • @puritykimunya2553
      @puritykimunya2553 7 หลายเดือนก่อน +2

      Jamani utafannya sirari ju simurizi Sako

  • @NaomyMalata
    @NaomyMalata 8 หลายเดือนก่อน +10

    nimechelewa ila sio kiivo naombn lik zen jamn ♥️❣️

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 8 หลายเดือนก่อน +37

    Mashabiki nipeni like tuwendelee kusikia sauti ya Kaka Lucas mtulivu kijana mzuri Hana maringo jikaze na simulizi nzuri uko poa sana❤

    • @josephineuwizeye8250
      @josephineuwizeye8250 8 หลายเดือนก่อน +2

      Aki endeleya hivo ni powa kama hatatuleteya bya ma VIP kama fulani.

    • @jamilanahimana-wc4nd
      @jamilanahimana-wc4nd 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂​@@josephineuwizeye8250

    • @nasrajuma9185
      @nasrajuma9185 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nzuri

  • @marypascal3931
    @marypascal3931 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan kaka LULU uko vizuri kwanza tu hiyo sauti jmn niko ladhi nisile ila nisikize tu hizi hadithi zako mimi napenda kukuita kaka LULU. Uko juu kaka be blessed

  • @mercyamagove8354
    @mercyamagove8354 8 หลายเดือนก่อน +3

    Much love from Kenya 🇰🇪

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 8 หลายเดือนก่อน +3

    Woow Odama mtoto na nyota yake kudadadeki mambo yanazidi kuchemka asante lucas nimeinjoy

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 8 หลายเดือนก่อน +3

    Lucas Lumbas,hongera sana kwa utunzi na uandishi wa kufikirika unaogusa maisha ya watu wengi.Naamini mwisho wa simulizi itaishia kwenye furaha ya ODAMA KUOLEWA NA STEWART. *Boss wa kazini na mwenye Hotel).

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kweli kaka Lucas Lumbasi mungu azidi kukubariki sana simulizi ni nzuri inamafunzo niwe mkweli nimejifunza kitu apo kwa usiropoke mahusiyano yako ya nyuma yaliyopita kwa mpenzi wako mpya na vingi tu ila siwezi kusema yote mungu akubariki sana congratulations 👏👏👏❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @EpiphaniaMallya
    @EpiphaniaMallya 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dah kweli simulizi ni tamu na imebeba cha kujifunza kwenye maisha

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 8 หลายเดือนก่อน +2

    Upo juu maana sio kwa udhungu huo simulizi nzur❤❤❤❤❤

  • @Agnes-y2z
    @Agnes-y2z 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Sana Kwa mafundisho mazuri❤❤

  • @AleKhan-k3z
    @AleKhan-k3z 8 หลายเดือนก่อน +4

    Odama uko na dada mwema sana mungu azidi kumlinda ili aendelee kukupa mwelekeo

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sana ila tatizo hamshirikishi mambo yake na hapo ndo anafeli

    • @evelynlyimo1557
      @evelynlyimo1557 7 หลายเดือนก่อน

      Sometimes mambo na love guys assume they can hide, kumbe mapenzi kikohozi 😂haifichikii

  • @salmamohamedi5405
    @salmamohamedi5405 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wooooo hakika my brother Lucas ❤ simlizi Nzuri sana pia ina mafunzo kazi nzuri mungu akulinde my dear brother

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 7 หลายเดือนก่อน +2

    Odama hakuwa mlahisi ban mwanamke yeyote asingemkataa uyo boss

  • @StellaMrawa
    @StellaMrawa 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nasubiri part 3, Asante sana story ni nzuri sana

  • @MudySalah
    @MudySalah 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nzuri nimependa

  • @halimahemed8389
    @halimahemed8389 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante kaka Lucas simulizi zako zina mvuto sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 8 หลายเดือนก่อน +3

    Waooh asante kwamwendelezo bro lucas ❤❤❤❤❤❤

  • @melissaivanyi
    @melissaivanyi 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani hiyo sehemu ya msitari mashallah ❤❤❤❤❤

  • @AnnaMukhwana-pf4qr
    @AnnaMukhwana-pf4qr 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hatimae Odama anaingia kazi..hongera Kaka Lucas

    • @MrishoYalala-p3v
      @MrishoYalala-p3v 5 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤❤,😂s🎉za 🎉😂

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 6 วันที่ผ่านมา

    Kupitia kaka Lucas angalau wanaume wetu wanapata vijineno vya mahaba 💃

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 8 หลายเดือนก่อน +2

    Shukrani Lucas kwani hapa kuna kuburudika na madini kama yote yakujirekebisha na kujijenga kupitia odama na vicky kwani mwisho wayote kimbilio na jawsbu la mwisho katika maisha ya mtu ni MUNGU pekee

  • @esterIsabel-y4e
    @esterIsabel-y4e 8 หลายเดือนก่อน +2

    Niko kwenye Kumi bora from Uganda 🇺🇬

  • @dhuhasaid636
    @dhuhasaid636 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mkaka mwenye sauti yake town ❤mbona kama ndo boss😂 haya banaa utakuw n wewe❤❤❤

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana lucas lumbas ❤❤❤

  • @LuvunoNyale
    @LuvunoNyale 8 หลายเดือนก่อน +7

    Wakwanza leo nipeni mauwa yangu❤❤❤❤

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wow asante sana lucas 🎉🎉🎉❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 ukisikia mahaba ndiyo haya 😂😂😂

  • @Joycetatu-h5g
    @Joycetatu-h5g 8 หลายเดือนก่อน +1

    Love♥️♥️♥️ from Saudi Arabia twende nalo bro Lucas 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran kaka Lucas Lumbasi tumaenjoynoo ubarikiwe❤❤❤

  • @AnnaMukhwana-pf4qr
    @AnnaMukhwana-pf4qr 8 หลายเดือนก่อน +2

    Penzi limechanua ..twende sasa kaka lucas

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 4 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa huyu Stewart anampenda kweli Odama kutakuwa na vita kuu ya tatu ya dunia 😂😂😂😂😂😂😂

  • @aminanuranassor660
    @aminanuranassor660 7 หลายเดือนก่อน +1

    Very stor so much ❤❤

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kk Lucas upo vzr❤❤❤❤

  • @AsmaMassawe
    @AsmaMassawe 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie lucas iyo sauti hatar maana nacheka kweli

  • @yussufadidja433
    @yussufadidja433 8 หลายเดือนก่อน +2

    Namba3 jaman kaka lks
    😊

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yani nilikuwa naisubili kwaamu nijuwe atimayake odama jmn angelijua asinge fanya kile kitu kwaza❤❤❤🇴🇲🇴🇲

  • @leah5307
    @leah5307 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri kaka LUCAS

  • @Fatum112
    @Fatum112 8 หลายเดือนก่อน +5

    Wakwanza ❤❤❤❤

  • @MwantumuBakari-v7p
    @MwantumuBakari-v7p 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ahsante kaka ❤❤❤sana

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 4 หลายเดือนก่อน +1

    Khaaa 😂😂😂😂 Odama,huna chakumlipa wakati umeshamtolea utu wako wote 😂😂😂😂 chaa!

  • @NusuraLajabu
    @NusuraLajabu 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @STARJAMAL-my4mq
    @STARJAMAL-my4mq 7 หลายเดือนก่อน +2

    Maboss hali zao ndio hivyo

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂maneno ya Dada kapita kushoto Dah huyu mdada kachizika kweli na mapenzi ila siku litamkuta Jambo shubiri nahisi itakuwa afadhali mm pale yangu sikio

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 8 หลายเดือนก่อน +2

    Much love from Burundi❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 8 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂afu ningekuwa sijawahi kupitia ama kuyasikia maneno matamu kama hayo Baada ya kumaliza hii simulizi ya odama ambayo sijui itaishaje ningemtafuta mwanaume MHB na mwenye maneno matamu km ya Stewart ila sasaaaa mh apana 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsanteee sana kaka lucas ❤❤🎉🎉

  • @DianaDeogratias-c9o
    @DianaDeogratias-c9o 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ucje ukatwambia odama ataachana na boss wake

  • @RachelJoseph-n7b
    @RachelJoseph-n7b 8 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman odama hadi huruma

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 8 หลายเดือนก่อน +2

    Saa tisa ni mbali lucas

  • @Rukia-pv7by
    @Rukia-pv7by 8 หลายเดือนก่อน +2

    Lukas acha kuongea kingereza unatuvuruga wajomba😂😂😂😂😂

  • @maryamameir283
    @maryamameir283 8 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran lukac lumbac😊

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 8 หลายเดือนก่อน +7

    ᴷᵉᵉᵖ ᵍᵒⁱⁿᵍ ᴸᵘᶜᵃˢ ⁱ ⁿᵏᵒʷ ʸᵒᵘ ʷⁱˡˡ ᵐᵃᵏᵉ ⁱᵗ .. ᴺⁱᵖᵒ ʰᵃᵖᵃ ⁿᵃʷᵉ ᵐᵖᵃᵏᵃ kileweke🎉🎉🎉

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaal ❤❤😂🎉🎉🎉😢😢

  • @Rsilk192
    @Rsilk192 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wow🎉🎉 magic voice

  • @MohaMmad-bl3fm
    @MohaMmad-bl3fm 8 หลายเดือนก่อน +2

    Waoh❤❤❤❤

  • @KatySaad-k8p
    @KatySaad-k8p 8 หลายเดือนก่อน +2

    Waooooo❤❤❤

  • @مريمتنزانيا-ز3ب
    @مريمتنزانيا-ز3ب 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nes❤

  • @RoseKarangalila
    @RoseKarangalila 8 หลายเดือนก่อน +1

    Am listening 🎧

  • @davidruyengeza8342
    @davidruyengeza8342 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wow nice story

  • @FaithPeter-j4w
    @FaithPeter-j4w 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wao❤❤❤❤❤

  • @sameerasalum4114
    @sameerasalum4114 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka lucas odama 3

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ni juavyo rafiki sio wakuaminika kwani unae mdhania kuwa ndie akufaae ndie adui mkubwa

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nice ❤❤❤❤

  • @Mrsmick712
    @Mrsmick712 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimefika 2

  • @shukranimbeleci4477
    @shukranimbeleci4477 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ila dada yake odama ni mwema kweli

  • @ashalwamba8286
    @ashalwamba8286 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yes

  • @AsiyaMangaza54-qr1kk
    @AsiyaMangaza54-qr1kk 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤️❤️❤️

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 หลายเดือนก่อน +1

    Utamu usiolinganishwa na.chochote❤❤❤simulizi kuliko mapenzi yenyewe

  • @MwanakomboMangwe
    @MwanakomboMangwe 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimechelewa lkn nimefika

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kumanisha wadada wOte waliokok hspo hotel huyo boss kapita nao odama mybe ndo wifimaterial yani haiwezi tokea kwangu mm ..halafu huyo joan mybe nimapenzi yanamlixa ama kunakitu ameambiwaa tutajua mbele yasafari bn

  • @Juliusdinya
    @Juliusdinya 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waooooohh

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 8 หลายเดือนก่อน +1

    Thanx kwa muendelezo

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 8 หลายเดือนก่อน +2

    Lucas kithungu ichoooo😂😂😂,,ila stewat ameweza namaneno matam jmni ❤

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 8 หลายเดือนก่อน +4

      Tuhamie uuku kwenye simulizi juu uuku ndio kuna wapenzi wabusara😂😂

    • @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
      @LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI  8 หลายเดือนก่อน +3

      Umekipenda au😊😊

    • @shahrayn93
      @shahrayn93 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI saaanaaaaa yni nko hoi unavyokiongea😅😅uctucheleweshee bac muendelezo kipenzy tunakupenda bure huna majivuno 👍🤗

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 8 หลายเดือนก่อน

      ˢᵃⁿᵃ ᵗᵘ ᵐʷᵃⁿᶻᵒ ᵐᵐ ʰᵃᵖᵃ ˢⁱᵗᵒᵏⁱ ⁿⁱᵐᵉᶻⁱᵐᵃ 😁😁😁​@@MwanatumuJumaa-rj4fg

  • @Sanita-g4v
    @Sanita-g4v 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🎉

  • @khadijaaliy7287
    @khadijaaliy7287 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AishaLuu
    @AishaLuu 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Mrsmick712
    @Mrsmick712 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani maneno matam haya unais kam unaambiwa ww😂😂😂

    • @BissaumathyCassim-vn5ux
      @BissaumathyCassim-vn5ux 8 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣hii ni kwa sisi mayatima wa mapenz

    • @deborasinkala
      @deborasinkala 8 หลายเดือนก่อน +1

      Yaaan acha tu mapa wivu

    • @salmabakari-xp7ud
      @salmabakari-xp7ud 8 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣 atali yn

    • @Mrsmick712
      @Mrsmick712 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@BissaumathyCassim-vn5ux umeona eeeh😁

  • @AliceMbawala
    @AliceMbawala 8 หลายเดือนก่อน +1

  • @DarikeJanet
    @DarikeJanet 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 2:01:39

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂❤❤❤

  • @TausiSwai
    @TausiSwai 8 หลายเดือนก่อน +1

    weka.basi.iyo.sehem.ya.tatu

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wow 🎉🎉🩵🩵🩵

  • @GeoffreyWillson
    @GeoffreyWillson 8 หลายเดือนก่อน +1

    Et ni haramuuuuuuu

  • @MwajumaAli-w3o
    @MwajumaAli-w3o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waoh❤❤❤

  • @aaq9812Bintksaim
    @aaq9812Bintksaim 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🎉

  • @خديجه-و1خ
    @خديجه-و1خ 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @BimukubuwaMusa-hd9np
    @BimukubuwaMusa-hd9np 8 หลายเดือนก่อน

  • @Manumanucho254
    @Manumanucho254 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤️❤️❤️

  • @faridakanda-ct8uo
    @faridakanda-ct8uo 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @LeahLissu-x5w
    @LeahLissu-x5w 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waoh❤❤

  • @jerryshirima6875
    @jerryshirima6875 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @FatimaRamadan-s4f
    @FatimaRamadan-s4f 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @TumwaminLyaumi
    @TumwaminLyaumi 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @SalhiaSaid-i1h
    @SalhiaSaid-i1h 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤