The president is entitled to his opinion,He would not have done it without God n handshake, His second term was a very devastating time,Thnx Rao for suppor
Hustler movement is not Tribal. Tukatae hii Dynasty dictatorship Jameni! Ni sawa kalonzo na wengine watalipwa ndio waunge Mtu amepindua Serikali, mtu amejiapisha kinyume ya Sheria , mtu hajuii kuna Mungu! Tukataee hii project tukomboee kenya yetu Sisi wote. Ni wazi kabisa bbi ilikuwa mpango wao hao ma bwenyenye kuendelea kutu Kalia na kumaliza nchi yetu. Hustler nation Hoiyee !!
@jecinta muthike...all over the world 🌎 pple are sleeping hungry c...kenya tuu,and all over the world still the leaders are celebrating n try to protect their interests so its not kenya...😉...kwani b4 their were not celebrating now ndio wana anza...cz wana support baba...
Badala uhangaikie wakenya ni siasa mungu atusaidia sana may God give us the best president si kuchanguliwa then watu wengine ni wajinga mnachanguliwa mtu na hamjiulizi kwa nini mtaishi na shida shidwe nyinyi
Nenda nyumbani.Tunajua where your focus is .preparing Gedion moi for coming elections.Hiyo ndio ahadi ulipewa na moi kabla ya kifo chake .That is why ulikozana ba Ruto.water melon hata wakamba wamem hate.kigeu geu Muthama mambo yote.usijiepishe preso.jilete kwa ground for campaigning .Ruto was the man who was soliciting votes for you be4
Huyu, ndie,president,sawa,sawa,UHURU muGAI,KENYATTA, MUNA,MUTUZI pule,BUT HE HAS THEKEY TO OPEN PARLIAMENT, ,, WHO IS GONNA,GIVE RUTO THE KEY,AND HAND,SHAKE,TO ENTER PARLIAMENT? NO ONE,,WHAT HAS BEEN SAID BY UHURU MUGAI KENYATTA TOSHA ,RAILA IS THE 5TH,PRESIDENT IN KENYA, UPENDE,USIPENDE ,,I SAY,YOU LIKEIT OR NOT,,,RAILA AMOLO ONDINGA,IS THE 5TH,PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA,,THIS TIME NO WAY ,,,HAKUNA KUPINGA, , RUTO POLE SANA,,,AND SANA,,THE KEY OF PERIAMENT IS WITH UHURU MUGAI KENYATTA, AND HE WILL HAND OVER WITH SMILE,TO BABA RAILA AMOLO ONDINGA,,,TINGA,IMESASIGA,UNGA KITAMBO,SANA,,,BELIEVE ME,YOU WILL, THE SMILE OF UHURU WHEN HANDING,KEY OF PERIAMENT TO RAILA, EARLIER IN THE 🌄 MORNING. ,,,RUTO SORRY FOR THAT,,NO KEY FOR YOU,,,..I WISH YOU THE BEST BABA RAILA....I IN USA.
Ww ulirogwa wakati kitendawili alienda Nigeria.Sisi tunataka Kenya ichomeke kwasababu ya #resistnjeri in 2017.... Wacha kudanganya watu.This is time people should pay for there mistakes
Uhuru is preparing to pay Moi family's debt by forcing Raila to have Gideon Moi as his running mate. Dynasties will fall terribly. I pity Uhuru so much.
Don't forget Mudavadi is a Dynasty too, relax. This thing is gone, u will be surprised when the real votes will be counted not those doctored onesyou have always been boosting about Mandela Moment
Pole mitei. God has brought everything to bear for Raila and he will win by far since Kenyans we are united for him and to save our country from thieves, murderers and drug lords.

Thanks uhuru for this good endorsement ,ubarikiwe🙏
Round hii ni fire kweli, fire na tinga mtoto Wa madhare yani eeehh!!! Kumbe bahati alishayaona mnipee lyks bana, wademz wezangu mpo
Eartjquake iliyo pita hapo Jacaramda hehe waa
Azimioooooo
They are fighting for their own riches but not because of Kenyans
I always love uhuru kenyyata
Me too
What is our duty as electors when sitting president has shifted party loyalty to opposition?
Opposition is your looter in chief
Salute to uhuru🔥✌️
God bless Azimio. God bless Kenya!
Uhuru always
Hustler movement is not Tribal. Tukatae hii Dynasty dictatorship Jameni! Ni sawa kalonzo na wengine watalipwa ndio waunge Mtu amepindua Serikali, mtu amejiapisha kinyume ya Sheria , mtu hajuii kuna Mungu! Tukataee hii project tukomboee kenya yetu Sisi wote. Ni wazi kabisa bbi ilikuwa mpango wao hao ma bwenyenye kuendelea kutu Kalia na kumaliza nchi yetu. Hustler nation Hoiyee !!
Speak for yourself bana
You don't even understand yourself.
Hata hujielewi my friend style up tutaongozwa vipi na ideology ya wheelbarrow
Huyu ndiye simba kweli 😂😂😂
Hizi ni ndoto.. UDA.. UHURU NDANGANYA AZIMIo
God have mercy on poor Kenyans, they are sleeping hungry when their leaders are cerebrating n trying to protect their interests.
Why are you and your family sleeping hungry. Fanyeni kazi na mtafute chakula mumezoea kuiba.
Tafuta kazi, au watafute kazi wafanye hata vibarua, serikali haiwezi kukuletea chakula kwa meza
@jecinta muthike...all over the world 🌎 pple are sleeping hungry c...kenya tuu,and all over the world still the leaders are celebrating n try to protect their interests so its not kenya...😉...kwani b4 their were not celebrating now ndio wana anza...cz wana support baba...
Ndio,Jacaranda kulikua Poa tu.Ni vizuri kujisemea,kava kwiyarya
Jinga kabisa,kwenda nyumbani
Wee preso enda ukapumzike vizuri Wacha kupiganicha wa Kenya pliz pliz jifunze na kibaki moi Wacha a na siasa
İ can't believe this
You must believe
Hehe wakati ni wa Azimiooo
Tangatanga were praying that Uhuru is cheating ...Raila...now they bitter
Rutoooo toshaaa
Ukwelii
Kuna mungu mbinguni
You sent raila to bondo mr uhuru
Badala uhangaikie wakenya ni siasa mungu atusaidia sana may God give us the best president si kuchanguliwa then watu wengine ni wajinga mnachanguliwa mtu na hamjiulizi kwa nini mtaishi na shida shidwe nyinyi
Raila toshaaaaaa
Hakuna Vita mkiwa Kwa sirikali
Truly uhuru you have totally lost it
How????
….
Paka amenona sana.
Jubilee ikiingiza mp yeyote ukuje ukinisalimia reduce the price basic commodities acha uongo
Wheelbarrow imengoka gurudumu
Nonsense what kind of leadership is this..Biggs ain't saying shit.. Ruto Tisha.. no more Loyal families
Uhuru!this is the biggest disappointment you have ever delivered to our beloved country ,you have failed us ,kweli siasa usiweke Kwa roho.
Na kama angesupport Ruto angekuwa mzuri
Nenda nyumbani.Tunajua where your focus is .preparing Gedion moi for coming elections.Hiyo ndio ahadi ulipewa na moi kabla ya kifo chake .That is why ulikozana ba Ruto.water melon hata wakamba wamem hate.kigeu geu Muthama mambo yote.usijiepishe preso.jilete kwa ground for campaigning .Ruto was the man who was soliciting votes for you be4
Tukifanya uamuzi badala pia wewe utupe heshima kwa kukubali chaguo letu
Ruto tosha
Nani anasherehekea akiwa na jaa ila hizi dynasties
Remember Mudavadi is also a dynasty, that is now old. Even Ruto can't use that word now
Ruto toshaaa
Kalonzo atasumbua.
Huyu, ndie,president,sawa,sawa,UHURU muGAI,KENYATTA, MUNA,MUTUZI pule,BUT HE HAS THEKEY TO OPEN PARLIAMENT, ,, WHO IS GONNA,GIVE RUTO THE KEY,AND HAND,SHAKE,TO ENTER PARLIAMENT? NO ONE,,WHAT HAS BEEN SAID BY UHURU MUGAI KENYATTA TOSHA ,RAILA IS THE 5TH,PRESIDENT IN KENYA, UPENDE,USIPENDE ,,I SAY,YOU LIKEIT OR NOT,,,RAILA AMOLO ONDINGA,IS THE 5TH,PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA,,THIS TIME NO WAY ,,,HAKUNA KUPINGA, , RUTO POLE SANA,,,AND SANA,,THE KEY OF PERIAMENT IS WITH UHURU MUGAI KENYATTA, AND HE WILL HAND OVER WITH SMILE,TO BABA RAILA AMOLO ONDINGA,,,TINGA,IMESASIGA,UNGA KITAMBO,SANA,,,BELIEVE ME,YOU WILL, THE SMILE OF UHURU WHEN HANDING,KEY OF PERIAMENT TO RAILA, EARLIER IN THE 🌄 MORNING. ,,,RUTO SORRY FOR THAT,,NO KEY FOR YOU,,,..I WISH YOU THE BEST BABA RAILA....I IN USA.
Upende usipende😂
Ww ulirogwa wakati kitendawili alienda Nigeria.Sisi tunataka Kenya ichomeke kwasababu ya #resistnjeri in 2017.... Wacha kudanganya watu.This is time people should pay for there mistakes
Hata pia mtoto wa ruto ameolewa huko Naigeria,
Ulikuwa unataka kumuoa ....
@@mwangidoddbohrmungula5298 muwache kuongelea Naigeria hivyo
@@norahmakrean525 Kwani ww ni mnigeria ama
@@mwangidoddbohrmungula5298 jiulize hiyo swali
Acha we Arap Jomo
Shindwee pepo mbaya wewe
🤡
Uhuru is preparing to pay Moi family's debt by forcing Raila to have Gideon Moi as his running mate. Dynasties will fall terribly. I pity Uhuru so much.
Don't forget Mudavadi is a Dynasty too, relax. This thing is gone, u will be surprised when the real votes will be counted not those doctored onesyou have always been boosting about Mandela Moment
Aki si uko na UDAKU nani amesema Moi atakua DP.chama ya UDAKU🤣🤣🤣
Pole mitei. God has brought everything to bear for Raila and he will win by far since Kenyans we are united for him and to save our country from thieves, murderers and drug lords.
He doesn't deserve your pity poor man.
Very true but Kenyans are really blind
Uko na chuki na Ruto
chuki gani
G-nyonge
🙏😂💕🏠😴🖐️🙏
What is our duty as electors when sitting president has shifted party loyalty to opposition?
What's your problem politics is not enemty
Hio right yake kama mkenya