Nani amesikia obbina akimwambia yeye ni first LADY anatafuta mke wa pili. Hiyo innamaanisha nini .halafu maramingi humwita bby my onead only,so ni our dem .piga like tukisonga,nani amenotice trouser wamevaa zinafanana ziko red.
If comment section was a movie😂😂😂which character would you play? Fans wa Dem Wa Facebook are the realest❤. Nimecheka vile mlitaka😂😂😂😂❤❤❤❤. Kama uko comment section nipe likes hata 10
Yani it hasbecome too hard to announce the winner😂😂😂Obinna nakwambia ukweli chorea hio kitu because uki announce mwingine we are gone why lie...leta season two with other characters hii ya bebi itakuchomea wallai😂😂😂we are so invested on this relationship yaani tuko ndani na ukitu heart break we leave..tuko gulf na wi-fi ya bure so we give you views kabisaa..uki tu heartbreak i swear views zitapungua tutagomaa😂😂😂😂😂
Alaah sisi tutaendelea kumsupport, so long he is good to dem wa fb. You need to understand Obinna needs a mature woman bebii is still too young for him
I think is our bebii coz something is cooking ❤❤❤❤❤❤kama ni our girl it will be best coz we want her only ,the respect we give that girl is more ,more 😊😊😊😊
The one and only is always our bebii,he has known her more than a year,wachaana na hao con ladies wa Jana magolddiggers.lf obbina was poor who could have stood for him? considering kids too.
Obinna asipo owa dem wa Facebook baba ya dem wa fb tunaeza sikia ako hos juu watu wanajuwa ni yy the.All Kenyan washajuwa ni yy niambie ni boma ya nani dem wa fb anaeza ingia saii ama after obinna kumuacha juu intanet inajuwa obinna niwa dem wa fb alafu ikuje ihulikane sio wake wataanza kusema nimalaya
Marketing ya obinna is on another level,😂😂hii hadi October haiishi😄😄mbesha first,tunajua huwezi kosa mtu ,watu sio wajinga buana bt we are glued here to watch the show ,all the best anyway
@@dinahjahenda-ho1cn vile inafaa coz tunajifanya tunaweza mpangia maisha also note Ashley is not in the pic instead aliweka dwfb coz alion a kutawaka aloose mumutembelee
Mambo moto hapa😂😂😂😂😂,bebi anapanga mambo kwa line line line bila fullstop😂,red trousers,😂, Obina was chilling thinking how to handle bebi then boom😮😮😮,mama Jimi kwa room😂😂😂
Wajaluo nayo .Malaya tu..hawa nayo..amuresone.wat happen to baby mama's...bebii forever ❤❤..we love you girl..glow bebz...obi kesho..ataona weeeh...we know men 😅😅😅
Aki Obinna be nice, mbona unatupea pressure surely? Mi kwanza nimeona hii video nikakimbia washroom, kurudi nakaa vizuri niwatch kumbe umetucheza😢😢😢 ilete bana mi niamue mapema vyenye nitafanya.
Obbina is a human being,he is bound to make mistakes. Give him the to balance his act.nobody seems to understand tat he has children from 3 bby mama' s. He has to thread carefully.
I can't believe myself!!! I was holding my breath while praying God please no weapon formed against bebii shall prosper 😂😂 atleast my prayer was answered 😂😂he didn't mention anybody
😂😂😂😂mimi naisha coz hawa watu hujua kutafuta pesa the champions in hii industry ,waiting to see how people will react to this ndio wajue vile wata play with the mind of people comments section tiieni bidii ndio obi apate ideas on how to keep on
@@mimimkenya2325hapo umenena,she is practically in obbina life,na wenye hamjui obbina awezi lala kabla ajamdungia tenje. Whether inside the country or outside.
Ashley looks too old for bebii wa bebii, brookside na makalio ya silicon ama ni plastic sio natural waarabu wameshakula na kumtumia imebaki tu mwili. Not everything that glitters is gold ingine ni mchanga
But kuna mahali alisema betrayal....so people be ready for betrayal somewhere,Bebii anaweza fixiwa isemekane hao wengine hawakuwin,ndio afurahishe maoni ya wengi
Mwenye roho itapenda tuu juu bebii ni WA contents, at least atafute mwenye watakaa na yye at least 2 years after dem ameinvest kwake amuache afungue ingine 2026 majaliwa
Kuna watu bado wanangoja another woman, bebi it is, patieni Obinna break from kelele😂😂 We should worry of how and when bebi will get 3 houses, shamba na 3 Harriers😂😂juu that’s what is standing between her and the marriage 😂 atleast nyash kuna hopes so far
Wacha hii bana umetubeba kama sisi ndio lola sindio😂😂😂😂 kusema tu jina ndio inakushinda???? Sibasi upee mama kauty ama omosh akutangazie basi kama umeshindwa😂😂😂😂😂...tukomee
Obinna obinna obinna how many times have I shouted your name 😂😂😂😂so ata next time we wait for One and only then boom the end 🏌️🏌️🏌️ theca njaa onawe😂😂😂
Team bebii much ❤,,,,mlike tu n kipindi tu guys c mnajua first lady n bebii
The episode is the one took place last time
@@mercylinembeyu515yeah
Hii ni repeat😊
Nani amesikia obbina akimwambia yeye ni first LADY anatafuta mke wa pili. Hiyo innamaanisha nini .halafu maramingi humwita bby my onead only,so ni our dem .piga like tukisonga,nani amenotice trouser wamevaa zinafanana ziko red.
Hii video ni ya kitambo cheki hair style ya DWFB.
Nyinyi mko na shida..imagine these guys wako job..why dont you just accept
@@winfredmoki1573couple goals 😂😂😂😂😂😂😂
By the way wote ni vienyeji
Exactly wameirudia tu@@elizabethnyawir413
Obi is very strategic and tactical,anatupima akili huku na mash up ya kipindi,but either way,we love bebii and bebi wa bebii❤️❤️
Hawa wa Town wanataka pesa na magari ya obina kucheat lazima coz wako mitaani obina remember what your son told you team bebi kuja hapa
If comment section was a movie😂😂😂which character would you play? Fans wa Dem Wa Facebook are the realest❤. Nimecheka vile mlitaka😂😂😂😂❤❤❤❤. Kama uko comment section nipe likes hata 10
Nimeona tu bebi nikaanza kucheka😂😂😂
@@DolphinIminza 😂😅😅😅
@VillyVillus their body language sometimes speaks louder. But is like one of them is really playing it safe, for the reasons known to......🤔
@@CarolineOnditipia Mimi especially the man
She is real ❤❤❤
Reron is very mature and Oga Obinna you are doing a good job parenting that boy!
Yes very mature,he even advising the father to marry off camera.
Your raising a very intelligent young man Obinna, Blessings 🤲🏿
It's your heart and choice sir!!!!
The tone 🤣😂🤣
Yani it hasbecome too hard to announce the winner😂😂😂Obinna nakwambia ukweli chorea hio kitu because uki announce mwingine we are gone why lie...leta season two with other characters hii ya bebi itakuchomea wallai😂😂😂we are so invested on this relationship yaani tuko ndani na ukitu heart break we leave..tuko gulf na wi-fi ya bure so we give you views kabisaa..uki tu heartbreak i swear views zitapungua tutagomaa😂😂😂😂😂
Wow suspense tu. I feel like I'm back in my younger years where I would have to wait for days for the next episode of neighbours on KBC
Me too,
TEAM BEBII OYEEEEEE ......MTU ASIGUZE COMMENT YANGU.
Once obinna utaamua mtu wa kukaa naye,nakuambia watu wengi watakutoka,many we're here because of bebii the way you treat her
Thank you na ndio maana wameeka picha yake
Is he marrying for people or Himself??..... hizi hakili hatutaki hapa....
@@Kiplimobett3728ask them again, Obinna atachagua mtu anataka, ata kama itakuwa dwfb, c eti itakuwa ni wao wamefanya amuoe, so waache kujisumbua.
Ndio hyo sasa aki wacha aendelee ni upumbavu😏😏😏😏😏😏😏
Alaah sisi tutaendelea kumsupport, so long he is good to dem wa fb. You need to understand Obinna needs a mature woman bebii is still too young for him
Hakuna kulia Tena,we r ready for everything, uzuri tuko na replacement on hand 😢
Walahi 😂😢😢
Mwalia nn na hao wengine n ma side chic😂😂😂
@KojakCe😂😂😂😂😂kabla niendelee mbele kuko ajell-tt1rr
@@JBdequeen mbele kuzuri nenda
Replacement dwf akienda kwa leslie ama Omosh iko tu sawa😂.Si Bora mother in law ni same. 😂
Daah Dem wa facebook really I Love you my dear sister May GOD guide you all the time 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️❤️❤️❤️💞💞💞🌹🌹🌹
We are waiting for the final 😂😂tulie ama tushangilie dunia mzima❤❤❤
I think is our bebii coz something is cooking ❤❤❤❤❤❤kama ni our girl it will be best coz we want her only ,the respect we give that girl is more ,more 😊😊😊😊
the one and only bebii...kusema tu ivo inakushinda😂😂
Volume 😅😅😅😅
@@GraceNeema-dj4yi anatubeba wanaa😂😂
This is getting boring now, twice leaving us hanging. Siku tuchoka nawewe ,let me leave it there....😅
@@CarolineOnditi sai hata tungekua tushaheal ama tungekua tushamaliza kupiga sherehe ya bebii😂
The one and only is always our bebii,he has known her more than a year,wachaana na hao con ladies wa Jana magolddiggers.lf obbina was poor who could have stood for him? considering kids too.
😂😂😂😂chesang kaa rada tukona imani na wewe❤❤❤❤
😂😂😂 true
😂😂😂😂😂😂
Chesang be ready😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂.
Ndo kudonjo kudunda 🤸🤸🤸😂😂mungu nishikirie nikiwatch 🙏
😂😂😂😂😂😂
Nikiskia tu The one and only pressure inshoot to 100% team bebiiii pitieni apa tukufe wote😂😂
Obinna asipo owa dem wa Facebook baba ya dem wa fb tunaeza sikia ako hos juu watu wanajuwa ni yy the.All Kenyan washajuwa ni yy niambie ni boma ya nani dem wa fb anaeza ingia saii ama after obinna kumuacha juu intanet inajuwa obinna niwa dem wa fb alafu ikuje ihulikane sio wake wataanza kusema nimalaya
Tumefufuka,aki msiachilie bby let's support her fully
Wenye tumeingia comment section kwanza hi😂😂😂
😂😂😂
Marketing ya obinna is on another level,😂😂hii hadi October haiishi😄😄mbesha first,tunajua huwezi kosa mtu ,watu sio wajinga buana bt we are glued here to watch the show ,all the best anyway
😂😂😂😂😂😂 umeona eeh😅
@@Its_SarahQ wee he is genius,money is the key, bebii ni main 😂 alishasema,
@@joycenjambi9522 pesa muhimu, tulearn kwa Obinna na Bebii they know how to get the bag😂
Eventually we will be bored. Better amalize a start afresh with another episode.
😂😂😂😂huyu Mzee anajua kutupima vile inafaa,ashashika akili yetu kabisaa 😂😂😂😂😂
Very true 😂😃😃
@@dinahjahenda-ho1cn vile inafaa coz tunajifanya tunaweza mpangia maisha also note Ashley is not in the pic instead aliweka dwfb coz alion a kutawaka aloose mumutembelee
@@rhodakithimba4284but Leo nimeona bebi amevaa smart wametoka out maybe let's assume ndio walikuwa wanashoot final
Nani mwingine amekuja kusoma comments before watching 😂😂
Mimi😂
Mimi apa
Mimi aki mtanimaliza,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka vile mlitaka
Am here
mm
Classs,,,nko mortuary room number 207 ,,,😢😢😢😢😢ikiisha mtume bebiii anifufue ni confirm my Lord I SWEYAAAAAA am dead😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂sawa dear but hata wengine tumeshindwa kazi ni kuhara2😢😢😢
I feel like I'm waiting for.my KCSE results.
Wenye wamespeed it forward mpaka mwisho kwanza kuona ni nani then wakarudisha nyuma hello piteni na 👍
Kwani umeniona? kwanza I forwarded it mikono zikitetemeka😂😂😂 Aki Obinna 😢
Eei na unamulika😂😂
😂😂😂😂
Mm hapa waaaah 😅😅😅😅
@@emmaculateodhiambo4553Kwanza mimi😂😂😂
Mambo moto hapa😂😂😂😂😂,bebi anapanga mambo kwa line line line bila fullstop😂,red trousers,😂, Obina was chilling thinking how to handle bebi then boom😮😮😮,mama Jimi kwa room😂😂😂
Mama Jimmy killed the show😂😂😂yy n comedian ❤❤
Wajaluo nayo .Malaya tu..hawa nayo..amuresone.wat happen to baby mama's...bebii forever ❤❤..we love you girl..glow bebz...obi kesho..ataona weeeh...we know men 😅😅😅
That's what's up..... There we go
Our gal is the one
Hello it's so amazing my guy obina but I would request you to come in mombasa ufanyie waislamu pia nice my guy 👍👍👍👍👍
Aki Obinna be nice, mbona unatupea pressure surely? Mi kwanza nimeona hii video nikakimbia washroom, kurudi nakaa vizuri niwatch kumbe umetucheza😢😢😢 ilete bana mi niamue mapema vyenye nitafanya.
Ata mm naskia vibaya ni kama mm ndio naolewa
The one and only bebii❤ Na hiyo chapter tunaifunga ivo hamtashinda mmetupea pressure
For those who are waiting to see,he didn't told us😂😂😂acha pressure mingi
Acheni no pumue sasa mahali roho imekua😢😢😢
THANK GOD I CANT WASTE MY DATA If he
never chooosed le mi breath
Obbina is a human being,he is bound to make mistakes. Give him the to balance his act.nobody seems to understand tat he has children from 3 bby mama' s. He has to thread carefully.
Nipitie nikupitie tugrow pamoja
Kijana yako leurone Ako na akili kuliko obina bebii ndio wife ❤❤
Bebii wa Obinna.....ni God aki,Obinna show iko sawa mbaka Amerika,yani msungu hajui kiswahili but anawatch....
Wue, the boy in the Boyz talk 🔥
Am really praying that Bebii may end up in Chesangs hands! In Jesus name 🙏
My prayers too
Kabisa
Chesang'a Ako na familia dear,na ni boss wa bebii
@@miriamomondi2669 and you think Chesang is not married? He has a family. Let the girl choose whoever she loves.
Iko live ama ime lodiwa
Si you announce we focus with other things Steve Thompson Magana
😂😂😂😂😂
He is balancing and weighing his options.
Baana weee😅😅😅
Hii kitu ametuekea sana😂😂😂😂
I can't believe myself!!! I was holding my breath while praying God please no weapon formed against bebii shall prosper 😂😂 atleast my prayer was answered 😂😂he didn't mention anybody
My assumption is bebii
Amen 🙏🏾🤣🤣🤣
@@joanatimame here thinking the same
I hope soo@@joanatima
Me too @@janetondimu729
Guys team bebii to the world mnipitia please
Yaani am still watching bado nikiona ni ya kurudia 😂😂😂😂 my mind telling me be patient atasema hapo mwisho 🤣🤣 hatuna maisha 🙌🙌
😂😂😂
@@VillyVillusAcha kucheka aki😂😂😂😂
Mimi nimeona picha ya bebii hivi,nikaacha Chenye nilikuwa nawatch
@@22_favouredQueen hapa ametubeba UFALA😂
Bado kuna mtu amekimbia comments section mbona Ni 35 but I look younger ❤ but bebii akiwa amekaa kubwaah wengine Ni strickers ❤❤❤❤❤
Waaaah yaani team bebiii tulitolewa episode 1 na tunataka kushida😂😂😂😂😂😂
Imagine😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
@@KakuhRuthuumiracles happen everyday😂😂😂😂😂😂so even in this,a miracle can happen😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kujipea nguvu😂😂😂😂😂
@@22_favouredQueenpicha ya bebi imeongezwa sa kuna hopes
Kuna hopes ju picha ya bebi imeongezwa
Tunataka date with bebi like other girls..after that ndiyo uchangue your woman
I support
Today walienda date,,next Tuesday nikutamu❤❤
Kwani hamjasoma thumbnail, kuna date already imesemwa hapo
@@Its_SarahQ hiyo thumbnail imenichanganya hata
@@Blessed_Mmoja7012 kuna date ingine yenye itakuwa na final one
I'm here for bebiii ..period!
Team bby oyee
Team bebi all the way❤❤
What is greater than one?imagine wadau the son is questioning the dad.
Hukuona vidio jana bebi akisema hatawai panda gari na mtu mwingine
Obinna si tuzae kamoja ka mwisho nikuwe baby mama number five ❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂mimi naisha coz hawa watu hujua kutafuta pesa the champions in hii industry ,waiting to see how people will react to this ndio wajue vile wata play with the mind of people comments section tiieni bidii ndio obi apate ideas on how to keep on
But si poa though 😢si atangaze msimamo kama dem WA Facebook ako na feelings ajipange ama kama ni yeye tujue tu
@@PollySilas hii ni kipindi done in may... Ikaongezewa episode last week but one
@@PollySilasdwfb is very aware of what is going on, they are just stretching this out to get the most out of it.
Yaaa this is pure business.hio pic ikiwekwa ndio kipinfi isonge
@@PollySilasrelax ni comedy
Sitaki pressure let me enjoy reading comments 😂😂😂
Wapi Ashley kwa posta? Msijaribu kutuconfuse
Kuna matumaini makubwa Sasa amuoni pic ya bebi apo😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Eeee n bebii
Even me nathink ni bebi
Walahi 😢
@@maggienthambi9133😂😂😂😂😂😂😂acheni kunipea hopes aky
Mukiona imepostiwa Kwa account ya weekly show jueni bebi Ako ndani
Lakini 😂😂😂😂team bebii you're funny, she was only featured in episode one but you want her to be the winner😅😅😅😅wueh
Yes we are, and pls don't shout at us😂😂
@@hepsibanyanchama7013😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Asijaribu kutushoutia tafazari
She doesn't have to feature in my woman, she's ever present featuring in bebii wa bebii's everyday life
@@mimimkenya2325hapo umenena,she is practically in obbina life,na wenye hamjui obbina awezi lala kabla ajamdungia tenje. Whether inside the country or outside.
@hepsibyes asitushautie😂anyanchama7013
Obinna umetucheza.Sasa ulichagua nani surely?Na umeshaingia season 2
Ashley may take the crown she's so composed
Anatangaza lini na saa gapi?
No babii she is the one
Ashley looks too old for bebii wa bebii, brookside na makalio ya silicon ama ni plastic sio natural waarabu wameshakula na kumtumia imebaki tu mwili. Not everything that glitters is gold ingine ni mchanga
Nawatch on zero ndio nikijua endgame ntarudia na sound😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Weka sound bana ikijomeka Allan chesang Ako 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Haggai tunakungoja viproper sana
Chesang kaa rada ❤❤❤❤❤
Big boss has some sense, big up ❤🫶🙌
Bebii haezi fanya 360 kwa maisha ashafanya kwa hesabu 😂😂😂😂🎉
THE AUDACITY OF POSTING IT TODAY AFTER WAITING FOR ONE WHOLE WEEK.
😂😂😂😂😂hii ilikua episode one
😅😅😅😅😅😅@@susanmahihu8096
Am telling you
Hii acha tuliwatch aah
😂😂😂kumekuchaaa😂😂 huyo mwenye hayuko kwa picha huyoooo ogopaaa😢😢
Mr Steve Thompson Maghana umetucheza mbaya 😢
True, it's very rude to treat grown-ups like idiots. Not pleased
@@CarolineOnditi for sure or may be he's measuring our temper,ataje ni nani team bebii kaa ni kulia tulie,tuhare tukisonga na mbele
😂😂😂aaai hizi ni gani ,bebi amefixiwa tena❤
But kuna mahali alisema betrayal....so people be ready for betrayal somewhere,Bebii anaweza fixiwa isemekane hao wengine hawakuwin,ndio afurahishe maoni ya wengi
@@22_favouredQueen true ,, bebii lazima awin by fire by force 😂😂😂
😂😂😂😂😂magoti imeisha nguvu... Nasikia tumbo inanikata😅😅😅eiiiih tuambie tu aki yaishe😢
Ni kipindi itaisha😂
Like za first lady yaan Bebbi❤❤❤
Mwenye roho itapenda tuu juu bebii ni WA contents, at least atafute mwenye watakaa na yye at least 2 years after dem ameinvest kwake amuache afungue ingine 2026 majaliwa
Obinna's son 🎉🎉😂😂😂😂😂
Aaaahhhhhhhh....hii suspense yako😂....i expected to hear Ashley or Chelsea
Zima hii kitu please mkimalizana na hii kipindi mtaniambia hii umalaya indirectly 😂😂😂😂
Big boss any day
Obinna think twice 😂😂😂😂
I love the bond u have with ur kids🎉🎉🎉
Right on time 😂❤
There's nothing 😂
I say,...suspense ya two weeks aki mani 😢😢
Rem most of us tuko huku juu ya Bebiii
Chesang where are you 😢, it's like you are our hope 😂😂😂 kukiharibika
Chesang is married he has a family but only our bebiis boas
Obinna akichezea shilingi Milly atapata mtu sahihi kushinda Obinna kwa sasa yupo safi ni msichana mwenye akili
@@AdisaCathrine-oj6en 😳🤣🤣😳😳 kwa hivo we prepare kurudi soko?
Bby analalia dollar,anatembea dollar na anafanana dollar.
Obina wacha kutuchocha,hii video umeirudia Omera wechanda pare🙆🙆🙆kumbuka Jaluo oksechi🤣🤣🤣 WEWE BEBII TU NDO ANAKUWEZA
He had to introduce her as one of the finalists
Wf n bebi amuoni even day one walivaa nguo same😅 na mambo walishamalinza pale bebi akiwa Kwa dress ya blue
Walivaa coat za kufanana
Nasikia pressure ikipanda 😂😂😂Leo Kuna kulala na machozi 😢
Kuna watu bado wanangoja another woman, bebi it is, patieni Obinna break from kelele😂😂
We should worry of how and when bebi will get 3 houses, shamba na 3 Harriers😂😂juu that’s what is standing between her and the marriage 😂 atleast nyash kuna hopes so far
Lilly. Umegonga ndipo
As long as bebii is in the picture,,,,am safe ✌️
Dramatic one ni Kikuyu khaii haka Kako na kiherehere na Kikuyu tuko humble no drama we go straight to the point 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wacha hii bana umetubeba kama sisi ndio lola sindio😂😂😂😂 kusema tu jina ndio inakushinda???? Sibasi upee mama kauty ama omosh akutangazie basi kama umeshindwa😂😂😂😂😂...tukomee
Aaah 😂😂
@@EmilyNjeka-zx8ob walai na vyenye nilikuwa ready for this tuesday
Uzuri bebii ndio hapo mbele na wewe😂😂❤
😂😂😂😂😂
I think hiyo ni ya kutuchocha ndio tukimbie vile tumekimbia kuwatch
@@Kwamby-m9j ata mimi nafeel hivyo
Sisemi ki2 mm,but niko na chesang ama omosh kwa mkono ready 4 replacement 😢😅😅
Obinna obinna obinna how many times have I shouted your name 😂😂😂😂so ata next time we wait for One and only then boom the end 🏌️🏌️🏌️ theca njaa onawe😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂nimeona tupunguze expectations juu huezi jua ni lini😃😏
Me cna wasiwasi bora omosh/ munes/ chesang mmoja wao tunaweza mwpisha n then life isonge😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Exactly you have a point 👉 👈
Obinna Wacha kutupea stress maliza hii game tuamue way to go
Bebii all the way ❤❤❤
Hii sasa nikutujaribu akii😂😂 like weeh pressure ni ya nini
Alafu hamuoni trao zinafanana red zote😂😂
Warrathis🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️
Si muanze kutafutia mtu mwengine kama mko confused 🤔
😂😂😂😂😂
Drop handles za mama jimmy tumfollow😂😂😂 she's a vibe🔥🔥
Sasa si upost tu once tuhare hii story iishe surely. Post tu kuwakee😂😂😂
😂😂😂
There is alot you don't know, who you think is isn't and who you think isn't is...
😂😂😂😂😂😂
We're tayad of one and only sema tu