FEDRICK MALAKATETE matokeo ya leo ni kwa ajili ya matokeo waliopata dhidi ya UG ila vijana wapo sawa kabisa na hasa kama ni kweli mwl alichosema kuwa kikosi kimekosa wachezaji wengine waliopaswa kuwepo kwa mashindano ukimujumuisha WALE aliyekataliwa na fifa & caf. Imani yangu mawakala wa kutosha walikuwepo kutazama haya mashindano kwa kuwaita ama kuja na walioshiriki kuandaa mashindano yaani uefa, kwani hawa vijana hawafai kuendelea kuchezea bongo.
Hii ndio tanzania ya kuboreshwa zaidi hii ndio tanzania ya kuwekwezwa hii ndio tanzania ya matumaini serekali ingetumia pesa nyingiii kuiboresha hii timu kwa kila kitu waengeipeleka hii timu nchini brazil ama ulaya ikaenda piga kambi huko kwa muda wa angalau miezi sita na kuijengea tabia angalau kila mwezi kuitafutia club ya inje icheze nayo. Naamini ingeanza na kutwaa african cup of nations na kisha kufanya maajabu kwenye kombe la dunia. Hii ndio timu ya kuboresha kuliko kuhangaika na michezaji ishayokomaa mifupa na akili na ishayozizowesha tabia za usimba na uyanga na kupoteza pesa za kodi ya wananchi na hukuna popote wafikapo kila cku kufungwa tuuu. Serekani na TFF juweni hii ndio tanzania ambayo itawafikisha mbalii kimpira. Mwenye macho haambiwi tazama
Game imejirudia mikwaju ya penati 2021 wow !
Mwinyi Yahya safiii
TANZANIA 0yeeeed
Mko vizuri Serengeti Boyz
FEDRICK MALAKATETE matokeo ya leo ni kwa ajili ya matokeo waliopata dhidi ya UG ila vijana wapo sawa kabisa na hasa kama ni kweli mwl alichosema kuwa kikosi kimekosa wachezaji wengine waliopaswa kuwepo kwa mashindano ukimujumuisha WALE aliyekataliwa na fifa & caf.
Imani yangu mawakala wa kutosha walikuwepo kutazama haya mashindano kwa kuwaita ama kuja na walioshiriki kuandaa mashindano yaani uefa, kwani hawa vijana hawafai kuendelea kuchezea bongo.
FEDRICK MALAKATETE b
madogo wazalendo sana aiseee had nmecatch feelings😥
Mko vizuri vijana
Kumbe Tanzania kuna madogo mafundi sana wanao piga Pinati hata mchezo mzuli pia Nauhakika mpaka 2030 naiyona Taifa Stars kombe Dunia kikubwa Dua⛪🕌
Hongera vijana
Muwatunze sasa hawa wakuinua taifa Stars baadae
Tumewasamehee
Hawa vijana wanapoteaga wapi asee
watoi wako sawa
goal keep kafanya yake
magoli yapiusijoni
Kumbe kipa mzur
Huyu Kevin serikali impeleke kwenye Academy za England.
Serikali? Ungesema mawakala sawa
hii ndo tanzania yangu mm
Unadhn naerewa san bila kichuya hahah
Pena ya mwisho
Nina ndoto za kuwa Kama nyinyi
vzr
Inapendeza
Huyo ndo mpenja bana
Hii ndio tanzania ya kuboreshwa zaidi hii ndio tanzania ya kuwekwezwa hii ndio tanzania ya matumaini serekali ingetumia pesa nyingiii kuiboresha hii timu kwa kila kitu waengeipeleka hii timu nchini brazil ama ulaya ikaenda piga kambi huko kwa muda wa angalau miezi sita na kuijengea tabia angalau kila mwezi kuitafutia club ya inje icheze nayo. Naamini ingeanza na kutwaa african cup of nations na kisha kufanya maajabu kwenye kombe la dunia. Hii ndio timu ya kuboresha kuliko kuhangaika na michezaji ishayokomaa mifupa na akili na ishayozizowesha tabia za usimba na uyanga na kupoteza pesa za kodi ya wananchi na hukuna popote wafikapo kila cku kufungwa tuuu. Serekani na TFF juweni hii ndio tanzania ambayo itawafikisha mbalii kimpira. Mwenye macho haambiwi tazama
tunaangushwa na vilaza wakubwa ila hao vipiii wako msupuuu