Jussa arejea Zanzibar, apokewa kwa dufu na haluwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 431

  • @mwadinimwadini4068
    @mwadinimwadini4068 3 ปีที่แล้ว +7

    Alhamdullillah Allah Akupe Nafuu Na Upone Haraka Ismail Jusa Ladu. Mwenyezi Mungu Ndie Ajuaye. Kwakweli Inauma Sanaa

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 3 ปีที่แล้ว +8

    Alhamdullah . Kila jambo linalo mfika kiumbemwenyez Mungu ameandika ,pole sana Jussa nawa walewe wote walipoteza maisha mwenyez Mungu awajalie kaul thabit amsamehe makosa wagonjwa wapone . Amiin 😭😭😭😭😭

  • @captain_kharus4784
    @captain_kharus4784 3 ปีที่แล้ว +9

    Masha Allah mapokezi ya mheshmiwa jussa yameonesha jins gani upendo umoja na uzalendo wa kweli katika chama cha ACT wazalendo

  • @mheshimiwapimpanajiitaamja7787
    @mheshimiwapimpanajiitaamja7787 3 ปีที่แล้ว +5

    Yess rasta
    Ismail Jussa yuko salama na tumefurahi kuona upo hai
    We will make togeza zanzibar beta
    Tupo pamoja

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 3 ปีที่แล้ว +3

    Wallah machozi yananitoka. Allah atawalipia. Alhamdulillah uko hai . Allah atakujaalia speed recovery, ALLAH awaafu wote na awarahamu maiti wetu wote in sha Allah

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 19 วันที่ผ่านมา

    Mashallah ❤❤ kiongozi wetu Kwa kurejea nchini

  • @aishaseif7127
    @aishaseif7127 3 ปีที่แล้ว +12

    Mashaallah. Nikobali na, nyumbani. Ila nimefurahisana Allah ape wepesi zadi

  • @fatmambarouk8107
    @fatmambarouk8107 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atamfanyia wepesi kipezi chetu Allah atakufanyia shifaa kipezi chetu na Hao waloyafanya haya Mungu atawahukumu kila La heri jussa wetu tunakupenda na tutazidi kukupenda kamwe hatutokusaliti tunakupenda sanaaaaaa..... Zaidi ya sanaaaaaaaaa...

  • @user412
    @user412 3 ปีที่แล้ว +3

    ماشاءاللہ
    Twasubiria na upokezi wa Masheikh إن شاء اللهَ
    Allah atujaalie afya njema na furaha ya kudumu
    Amiin

    • @fatmamohammedali4306
      @fatmamohammedali4306 3 ปีที่แล้ว

      ALLAH atawafanyia wepesi na wao watoke kwenye hio zahma

  • @mussabaucha8175
    @mussabaucha8175 3 ปีที่แล้ว +9

    Inasikitisha kwa kweli Allah akufanyie wepesi jusa twakupenda sote

  • @mamymamy7938
    @mamymamy7938 3 ปีที่แล้ว

    Mashaalla kiongoz wetu

  • @misscoast3174
    @misscoast3174 3 ปีที่แล้ว +23

    Allah akuvue hilo na jengine yaarabby

  • @yussuphshilingi3258
    @yussuphshilingi3258 3 ปีที่แล้ว +1

    Pole xana kiongozi jusa kwakweli inatuuma Sana kwawaliyo tufanyia CCM hatuwasamehe mpaka mwisho wauhai wetu

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 ปีที่แล้ว +21

    Ya Rab tunakuomba mponyeshe na waponyeshe ndugu zetu wote.
    Allah tunakuomba vijaalie Visiwa vyetu barka utulivu na amani.
    Amiin.

    • @chamritaabdul1592
      @chamritaabdul1592 3 ปีที่แล้ว +1

      Aamiin

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 3 ปีที่แล้ว +1

      Amin yarab

    • @munasuleyman3159
      @munasuleyman3159 3 ปีที่แล้ว +1

      Amein Yarab

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 3 ปีที่แล้ว +2

      @@munasuleyman3159
      Kila wakati dua. Hasa nyakati za sala.
      Allah anapokea dua hivyo tuviombee dua Visiwa vyetu mema.
      Mwenyezi Mungu! Tulishie maskini wenzetu, waponyeshe wagonjwa wetu,wastiri mayatima wetu,wakinge wanaonyanyaswa kijinsia. Amiin.

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 3 ปีที่แล้ว +36

    Aliyetuma yatendeke haya tunamlaani Watanzania woote Bara na Visiwani. Pole sana Jusa

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunakupenda baba ishalla Mungu akupe maisha marefu yenyeher na baraka

  • @fatmahamad9314
    @fatmahamad9314 3 ปีที่แล้ว +4

    Nina furaha km zote kumuona Jussa wetu 💗💗💗💗💗💯

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 2 ปีที่แล้ว

      Jusa ni mwanasiasa mkweli nampenda sana wazanzibari mumtumie sana huyo jamaa ni tunu hiyo

  • @salmaseif1070
    @salmaseif1070 3 ปีที่แล้ว +8

    Waliyomtendea vbaya jusaa hawana usoooo .... Looolll mungu awalaaani wotee

  • @hplatnumz5690
    @hplatnumz5690 3 ปีที่แล้ว +8

    We wait that day our shekh be free wallah all Zanzibar will be happy inshallah allah give them shifaa

    • @daliladalilasamehere9356
      @daliladalilasamehere9356 3 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭😭😭😭😭

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 3 ปีที่แล้ว +2

      Naam inshaallah tunawaombea na wao watolewe wallah 😢😢

    • @adijei
      @adijei 3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Insha'Allah

  • @adilhabibu7958
    @adilhabibu7958 3 ปีที่แล้ว +4

    In shaa allah mwenyezimungu akufanyie wepes jussa

    • @rashidrashid1105
      @rashidrashid1105 3 ปีที่แล้ว

      Dah Allah akujaalie uzima urudi ktk majukumu yko na hao walowatuma na walfanya Allah awahukumu hapahapa duniani sote tuwaone na Akhera awafyeke Jahannam wakae milele. Aamin

  • @shixeoshxs7276
    @shixeoshxs7276 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akufanyie wepesi wa afya na siha jusa hadi nalia kwa uchungu mungu aendelee kutupa subra

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 3 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah mashallah nawapenda sana

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 3 ปีที่แล้ว +12

    Mw. Mungu akulinde na kila shari akujalie uzima na afya njema

  • @ruthkimaro6137
    @ruthkimaro6137 3 ปีที่แล้ว +2

    Karibu nyumbani Jussa.Mwenyezi Mungu akujaalie upone haraka insha Allah

  • @andersonnyahove2867
    @andersonnyahove2867 3 ปีที่แล้ว +1

    For real, Jussa is the coming Maalim Seif Shariff Hamad, note and underline my words.

  • @safiyasaid1291
    @safiyasaid1291 3 ปีที่แล้ว +7

    Wale walomtesa Jussa Allah atawaongoa....jemedari kaingia leo tunampokea.....💃💃💃💃💃💃💃

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukuran njema zmfkiye Allaha Kwa kuturejesheya jusa wetu akiwa hai na salama ishalla kwauwezo wake Allah atakurejesheya afwa njema nakila alokuzulumu ishalla Mungu amuangamize

  • @maumpemba1088
    @maumpemba1088 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana kiongozi, Mwenyezi Mungu ndie hakimu kuliko mahakimu wote

  • @rastafare878
    @rastafare878 3 ปีที่แล้ว

    Huu ndio utamaduni wa Zanzibar , I love this, dufu zuri sana

  • @rahmabilali541
    @rahmabilali541 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah azidi kumpa shifaa na kila mweny marz Allah amponye na alotangulia amps kauli thbt walobaki awape mwisho mwema

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuvuwe hili na jengine. Na awalipe hao waloyafanya hayo... Mungu IBARIKI Zanzibar na watu wake. Amin

  • @mashaallahshehkhafidhmunga1764
    @mashaallahshehkhafidhmunga1764 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah jusa ata kama wamekufanyia mabaya lakn sis bado tunakupend

  • @aliyasaa7972
    @aliyasaa7972 3 ปีที่แล้ว

    Asante kiongozi wetu mungu akupe umri mrefu lnshaallh lla hatuwez kusahauu yalio tutokea lkn lnshaallh mungu yupo na atatulipia kw dhulluma llio tokea lnshaallh

  • @mgeniali941
    @mgeniali941 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu atujalie naupendo uwo uwo act oyee ishaallah allah atafanya wepes

  • @skeneali6125
    @skeneali6125 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa allah allah akuvue hili na jengine in shaa allah utapona vizur allahumma amin allah akulindeni kwa kila shari na baalaa

  • @Oman-tt1hn
    @Oman-tt1hn 3 ปีที่แล้ว +23

    Muungu awaponye walewote walio pata majiraha na matatizo katika kipindi kile kigumu cha mpito na wale walio kwisha tangulia muungu awasamehe makosa yao Amiin

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 3 ปีที่แล้ว +13

    Allah akuvuwe na kila hasada 🤲

  • @munasuleyman3159
    @munasuleyman3159 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah Akuvue hili na jengine ndugu yetu shujaa wetu

  • @topaviator
    @topaviator 3 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana

  • @harounaakhiy4700
    @harounaakhiy4700 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah amjalie uzma jemedari wetu apowe inshaallah

  • @tuterlakapo2016
    @tuterlakapo2016 3 ปีที่แล้ว

    'Bismil'Lahimaashallah Mola akuzidishieni imani na ehsani ya upendo wahesiya za nyoyo thabit juu ya ubinadam wenu..na mshikamano wa kuaniyana..amin, na hilo c jmbogeni kwetu.. kwani ndivo khasa ilivo khulka ya Zenjybabar tangu..azal tukiyaona juu ya wazee wetu washao tangulia mbele ya haki.. M/Mungu awarehm amin. Ishaallah tunamuombea Mola amzidishie afyayake Mh Jussa na amzidishie imani ya subira ktk yalio mfika na yaliotokea tukijuwa kuwa yote hayo ni maandiko ya Muumba, lililobakia na la mhimu zaidi ni mshikamano wa kulijenga Taifa jipya palipo na matumaini ya kusonga mbele na kusahau na kuyazika kbs!! Yote yaliopita na kwa uwezo wke..Allah atajalia yale yote yanayo tgmewa na kwa manufaa ya wote..Yaa Rabby tufungulie kheri ktk Kisiwa chetu, na wape nguvu na busara za uwongozi wao uwe ktk mikono yako..juu ya sheriya na uadilifu..amin'

  • @adilhabibu7958
    @adilhabibu7958 3 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaaa allah

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +8

    Hayo km ACT haimo ktk serekali unafikiri yangefanyika? Askari wangepiga watu hapo .

    • @safiyasaid1291
      @safiyasaid1291 3 ปีที่แล้ว

      Wallah umenena ....hta siku moja yasinhefanyika

    • @nassorrashid2857
      @nassorrashid2857 3 ปีที่แล้ว

      Sasa hivi tunaweza kufanya tutakavyo

    • @linmixtv
      @linmixtv 3 ปีที่แล้ว

      Sherehe hii yengependeza tungepata madaraka lakini ccm watu washamaliza kazi yao bardi saiv watawacha mufanye mtakavo saiv

    • @masoudyrashidy9041
      @masoudyrashidy9041 3 ปีที่แล้ว

      Fact bab hakika

    • @asayubeejr1199
      @asayubeejr1199 3 ปีที่แล้ว

      @@linmixtv waaaallah katika mtu ulio ongea ukweli ww mmoja wake yani hawa wanakuwa watu wazuri ila majini karibu na uchaguzi wanakuwa wafanyama kasoro mkia asa

  • @adilhabibu7958
    @adilhabibu7958 3 ปีที่แล้ว +3

    Jussa in shaa allh kila la kher mwenyezmungu atatupa kher wallah dah hatar sana

  • @adamabui6121
    @adamabui6121 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole Allah atajalia haki ya wazanzibar itarudi kwa nguvu za Allah inshaallah wamekuuumiza wewe ni mpambanaji

  • @ummysaid8273
    @ummysaid8273 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah azidi kukulinda na maaduwi, Allah ndiye hakimu wa haki

  • @mussamahmoud2376
    @mussamahmoud2376 3 ปีที่แล้ว +3

    Polesananusa Allah jibri (A.S) amesema kumwambia Mtume (SAW) wemahauozi nazambi haisahauliki na Allah hafi ukishajuaivo fanyautakavo Kama ulivolima ndivo utakavovuna nakwavovotevile utavowafanyiawatu naww utalipwa kwakitendoicho polesanajusa Allah atubariki sote waislaam nawaumini.

  • @hajikombo8578
    @hajikombo8578 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni waislamu muliomo katika vyombo vya dola kwa kutufanyia unyama mkubwa mungu atawalaani hapa duniani na kesho akhera😢😢😢😢🤲🤲🤲🤲🤲

  • @aliymsellem1462
    @aliymsellem1462 3 ปีที่แล้ว +1

    WALIYOYAFANYA HAYA WATALIPWA HAPA HAPA DUNIANI IN SHAA ALLAH MAZALIMU HAWA

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana Allah atadhidi kukuponya

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @munamohd963
    @munamohd963 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah. Mungu atakuafu inshaalwah

  • @badriaahmed4373
    @badriaahmed4373 3 ปีที่แล้ว

    MashaaAllah tunafurah kubwa sanaaa wallah

  • @trustman8034
    @trustman8034 3 ปีที่แล้ว +12

    Machozi ya furaha..
    Sasa sijui anajiskiaje yule alietenda mabaya kwa mwenzake...??
    Ubaya haudumu...
    Kila la kheri Jussa

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว +1

      Walofanya Mungu atawarudi kwa HARAKA SANA KWA DHULMA WALOIFANYA...

    • @rahamaraalkheir6604
      @rahamaraalkheir6604 3 ปีที่แล้ว

      Wahalifu willasakwe wahukumiwe kwa vitendo walivyovifanya, nyimbo na kudemka haitosaidia kitu.

    • @aishaharuni2937
      @aishaharuni2937 3 ปีที่แล้ว

      From Kenya ni nn mbaya

  • @kingmagufuliforever3144
    @kingmagufuliforever3144 3 ปีที่แล้ว

    Sasa umekua kilema kwa kuendekeza siasa umepata faida gani zaidi ya hasara pole Sana jussa this is the lesson

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole sanaa kipenz chetu Kila
    Alie husika kuku piga ww Allah Ata hukumu

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atakuafu kwa rehma zake

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaa! Allah akulinde kiogozi

  • @sharmilarashid5401
    @sharmilarashid5401 3 ปีที่แล้ว

    🤲😪😪Amiin amiin amiin Yaa rabbyl Allaha.mina insha Allaha

  • @biaysha8553
    @biaysha8553 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah tabaraka Allah

  • @alimpatani6296
    @alimpatani6296 3 ปีที่แล้ว +7

    Hii ni zaidi ya mapenzi ama kweli wazanzibar tuna mahaba duuu mungu azidi kuimarisha afya yako mh jussa

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว +2

      Mna mapenzi au mmeshikwa na ibilisi?

    • @sameramwajdu9029
      @sameramwajdu9029 3 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 upendavo tafsir yaliyoyafika watu simadogo kama nww ungelijuwa kuwa niubilisi au nimapenzi

    • @badranassor3303
      @badranassor3303 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jumakapilima5674 Iblis mkubwa ni wewe. Usiopenda kuwaona wazanzibar wanapendana. Hasid mkubwa wewe

    • @aishamuhammad7785
      @aishamuhammad7785 3 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 ww itakuwa ni mchawi wewe si bure, hasidi mkubwa

    • @vikitu4793
      @vikitu4793 3 ปีที่แล้ว

      @@badranassor3303 Kupendana huku mnatiana fitna na chuki kila kukicha?

  • @didapk2529
    @didapk2529 3 ปีที่แล้ว

    Yaani MashaAllah MashaAllah munainda

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 3 ปีที่แล้ว +6

    Mash allah upendo wenu ni hali ya juu I like it

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 3 ปีที่แล้ว

    الحمد لله على السلامه. الله يعطيك الف عافيه

  • @misscoast3174
    @misscoast3174 3 ปีที่แล้ว +19

    Ila wazanzibar sie kwa manjonjo 😁 tungekua tupo huru na nchi yetu aaah tungeifukiza udi nchi nzima na maasumini kila pahali aaah hatuna dogo wenyewe 😁

    • @nusaybasaid3378
      @nusaybasaid3378 3 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁😁😁😁😁

    • @topaviator
      @topaviator 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Ujinga huo,,,,,,,nenda Syria uone kama watu wanapiga ngoma kwa Uhuru kama hivyo!!

    • @Anonymous-sy5kx
      @Anonymous-sy5kx 3 ปีที่แล้ว +1

      Wapi! Wasnzibari wachafu sana! Unapikwenda uchafu watu wanatupa taka bila kujali iwe beach, barabarani kwmeye makaazi...machupa, foils, kokwa za ubuyu, Pampers etc....eti udi! Hahaha

  • @selwanmohmmed8792
    @selwanmohmmed8792 3 ปีที่แล้ว +6

    Tunamuomba Allah akuponyeshe kwa haraka kwa uwezo wake bdo tunakuhtaji ktk harakat zakuijenga zanzbar yetu

  • @omarynassor6313
    @omarynassor6313 3 ปีที่แล้ว

    Sasa nikipi kinachosherehekewa kushangaza sana

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaani siku nimeskia huyu mtu ameumizwa nilihuzunika sana,lakini ninachomkubali ni mtu mwenye moyo wa kishujaa,na ameonesha uzalendo,tuko pamoja mh jussa na Allah yupo nasi

  • @aminially4456
    @aminially4456 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe nguvu ishaaa allah

  • @theophilwilliam6906
    @theophilwilliam6906 3 ปีที่แล้ว

    Madhila na makovu ya uchaguzi hayo! Mwenyezi Mungu atutie nguvu na wote walioathiriwa awape wepesi ktk yote wanayopitia.INSHAALLAH..!

  • @bakarikhatib6777
    @bakarikhatib6777 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu akupe nguvu zaidi kiongozi wetu

  • @altaf.ibrahim
    @altaf.ibrahim 3 ปีที่แล้ว +3

    pole jussa bha

  • @britishadam1896
    @britishadam1896 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujalie afya nzur kiongoz wetu jussa

  • @youmnaaboubakar5486
    @youmnaaboubakar5486 3 ปีที่แล้ว

    Inshallah Alha atakuwafu baad y dhik sio dhik kher itapatkn inshallah

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah amjalie apone na wale wote walioumia wapone pamoja na majeruhi wote na waliotangulia mbele ya haki Allah awajalie jannat firdausi na sisi tulio kuwa hai Allah tujalie mwisho mwema Isha Allah

    • @alirashid1727
      @alirashid1727 3 ปีที่แล้ว

      Ammin ammin

    • @abdulihafidhali5379
      @abdulihafidhali5379 3 ปีที่แล้ว +1

      @@alirashid1727 Insha Allah

    • @hajimwahu1421
      @hajimwahu1421 3 ปีที่แล้ว

      Kwanini msiheshimu Dua wengine mnafanya mambo mengine tu

  • @suleiman_002
    @suleiman_002 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atakujaalia uzima inshallah🙏🏾

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 ปีที่แล้ว

    Imenifurahisha hii

  • @thedon8467
    @thedon8467 ปีที่แล้ว

    ALLAH AKUHIFAZI

  • @balqisabdullah6200
    @balqisabdullah6200 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭 speedy recovery in sha allah.Na Waliotenda hilo allah atawalipa malipo wanayostahiki.kwani malipo ya allah ni bora zaid.

  • @aminahhamed747
    @aminahhamed747 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah alaaa kulli hali mungu mkubwa utapoa baba etu uendelee na majukumu yko

  • @allymrisho2775
    @allymrisho2775 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah awanusuru kwa hili na jengine inshaAllah

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 3 ปีที่แล้ว

    Allah azidi kumpa shifaa jussa yarrab

  • @1carbon676
    @1carbon676 3 ปีที่แล้ว +10

    Umeniza sana lakini tumwachie Allah yeye ndo kila kitu Allah atakusimiya na atakupa uzima wako wewe nakila alohasirika yaraab

  • @mudy4604
    @mudy4604 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah inauma sana

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 3 ปีที่แล้ว +5

    Masikini aliniliza jussa allah akujaaliye umri mrefu akupe na afya na allah ndio hakeem wa yote alhamdulilah

  • @duniaileile5522
    @duniaileile5522 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah awalaani waliompiga na waliokuwa sababu ya hilo 😰😰😰 Allah akupe sihha na afya na subra jemedari wetu

  • @rastafare878
    @rastafare878 3 ปีที่แล้ว

    Zanzibar tuwe Na akili tunawapigisha wazanzibari wenzetu kutoka Kwa watu wengine kisa ni kudai haki , iko siku yatakwisha In'shaa'Allah

  • @hawahaji5959
    @hawahaji5959 3 ปีที่แล้ว

    Hupokezi unaniliza kikwel mungu atawalipia

  • @zainabyousof3742
    @zainabyousof3742 3 ปีที่แล้ว +2

    ALHAMDULILLAH ALAA SSALAAMA AKHUI

  • @allydaruweshi5983
    @allydaruweshi5983 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah amfanyie wepes inshaallah

  • @aliymsellem1462
    @aliymsellem1462 3 ปีที่แล้ว

    ALHAMDULILLAH KWA KURUDI UKIWA UPO MZIMA WA AFYA ALLAH S W ATAZIDI KUKUPONYA IN SHAA ALLAH BIIDHINI LAAH

  • @thukha5033
    @thukha5033 3 ปีที่แล้ว +1

    allah kariim

  • @salehmadawa7035
    @salehmadawa7035 3 ปีที่แล้ว +6

    Inasisimuwa na inasikitisha kusikia , mungu akujalie upone haraka amin, hakika jussa kutokwa na machozi inatia majonzi sana

  • @mbarouksalim2792
    @mbarouksalim2792 3 ปีที่แล้ว

    Poe sana, M/Mungu atakusaidia inshaAllah

  • @adballahaji8431
    @adballahaji8431 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sn jusa wetu

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupiganie Jussa

  • @adilhabibu7958
    @adilhabibu7958 3 ปีที่แล้ว +7

    Machoz yetu kwako hayato mwagika bure mwenyezimungu atayalipa kwa kher

    • @arafahassan5257
      @arafahassan5257 3 ปีที่แล้ว

      Wallah mn najikuta nalia kwa uchungu

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 ปีที่แล้ว

    Looooh watu wabaya Mungu atawarudi kwa HARAKA. NA ALOKUWA SABABU.........

  • @hassanturky7511
    @hassanturky7511 3 ปีที่แล้ว +1

    Hio kumswalia mtume huku vigelegele,na kucheza. Ni kufru na sio neema.

    • @sabrasuleiman9624
      @sabrasuleiman9624 3 ปีที่แล้ว

      Kuna aliekata kiuno hapo? Kwaio mtu asitikisike acha chuki ww