Kusah umenenepa umezidi kuwa handsaome ndomana rubby anapanic,na Rubby yuko na wasiwasi kuwa muda wote anaweza akamtoka muda wote,na mpendaga kusah anavyo jibiyaga interviews Kuusu awo wanawake Yani anajielewa vizuri sana,atamtangazaji
Sasa collabo kwanini isitoke aunt ni mpuuzi au haka ??? collabo itoke sisi kama mashabiki tumesema collabo itoke kwani yeye ndo anaimba huyo aunt au chefuuuuuu
Kusa mjanja sana kah yani hapo anajifanya kama anamsifia Anty ili asikasilike lakini pia wala ajamponda bby mama wake ruby wote kawatendea haki ila sijui kwanini ety wivu naona mimi ila nyie si anty ataumia na miwivi uyu ata koma na ruby anavyojuw kuimba na ile sauty kilivyochembamba kikija kujikunjakunja aty pole mway
Kusah ni mdg lkn ana akili kubwa na amejibu kiume tumpe mauwa yake
Kusah umenenepa umezidi kuwa handsaome ndomana rubby anapanic,na Rubby yuko na wasiwasi kuwa muda wote anaweza akamtoka muda wote,na mpendaga kusah anavyo jibiyaga interviews Kuusu awo wanawake Yani anajielewa vizuri sana,atamtangazaji
Kusa umejibu kiume❤❤
Kafanana na mwanae
Saaafi Kusa anajielewa nimependa kwakumheshimisha Rubby tatizo miwanawake mingine ikishaingilia miji ya watu inajiona imefika nakusahau kama huyo mwanaume aliweza kumwacha mkewe kwaajili yako sembuse wewe,Embu tuache roho mbaya kinamama Wenzangu😂
Anti apa umepatikana kusa Yuko vizuri nimeipenda majibu yake
Yani kapatika Aswaaaaa
Mwanaume Haachagi Mwanamke kiholela Kijamaa kina wake wawili hiki 😂😂😂
😂😂😂😂Ngoja ncheke
Akili kubwa❤
Jamaa mrembo kama demu tu. Wasanii wa kibongo jau sana.
Hiyo kolabo na ruby itawatowa sana
Kusa unaongea vizuriii
Upo vizuri sana Kuza mwaaaa❤
Sasa collabo kwanini isitoke aunt ni mpuuzi au haka ??? collabo itoke sisi kama mashabiki tumesema collabo itoke kwani yeye ndo anaimba huyo aunt au chefuuuuuu
😂😂😂kwann ukubaki na ruby lkn????uyu mama anakusalimia ety shikamoo baba duuh Bora uolewe na mwanaume mkubwa ila sio kuona mwanamke aliekuzidi kiukweli
Hujui mapenzi wewe tulia
@@vivianjonathan1783 🤣🤣🤣😂nifundishe bha
Mpenzi Ayangalii umblir nawenaye
Niushamba sana unakaa namzeee
😂😂😂mapenz upofu
Kusa mjanja sana kah yani hapo anajifanya kama anamsifia Anty ili asikasilike lakini pia wala ajamponda bby mama wake ruby wote kawatendea haki ila sijui kwanini ety wivu naona mimi ila nyie si anty ataumia na miwivi uyu ata koma na ruby anavyojuw kuimba na ile sauty kilivyochembamba kikija kujikunjakunja aty pole mway
Wewe rudiana na Ruby achana na mishangingi ya mjini unakula tu pesa
Kusah ukinenepa unakuwa mbaya,
Umejibu vizuri sana
Umalaya tu kwann usitulie na mmoja
Anaongea point sn!
Dahhh mchaga anamwambia kusah avae viatu vya mama nono ila nikweli hata mimi namuunga mkono mchaga
Harafu mm nawapenda kutoka moyoni
Mmmmmmh bongo mambo ni mengi muda mchache,
Kusa umejibu vizuri kabisa
Kusah unaakili sana kakaangu chukua maua yakooo🎉🎉🎉
Mhhhhh hapa sasahv wapo matalaaaa
Good boy ivo ndo inavotakiwa
Umeongea vizuri sana
Si mtanga😊❤❤❤
Safi
Basi asimnyanyase sana amuwache mama wa watu
Wanaumeeeeeeeeeeee😅🙌
Wivu naona mimi
Apo kazi lazima itoke Baba 😂🫡👏
Kusah simama kama mwanaume bwana 😂😂😂😂😂
Big shangazi ujitahid korabo isitoke
Mr Boom was here
Kusah uko smart
Mamkubwa 😂😂😂 shikamo baba 😂😂
Watoe watengeneze pesa ni kwa faida yao
Kusah ss umekuwa hongera
Kama atake asitake sijasema😂😂😂
Mishavumibaya misiipendi
Sijui hata wanaaziaga
Kusah ni mwanamme wa shoka sana.yupo makini ktk kujibu yaani anajielewa kabisa
Eti mama mkubwa 😂😂
aunt aache ufara huo ni ushamba coz ngoma ipo mda
Kiukweli kazi yako na ruby hua inavutia mno
wanapendezeana pia..jmn mwanaume kuoa mwanamke mwenye umri mkubwa ni mtihani sana huwa amani haipo sana kati yao..nimtazamo tu
Bora hata uolewe na mwanaume anaestaafu leo ila sio kuchezewa na vitoto
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💐
Wanaume siowatu jmn anty pore sana
Shangazi umesikia
Umeongeaa Kitu kizuri Kweli kusaa alf nyiee wazazi Huyo ant akae kwa kutulia nyie wazazi alf haipendezi
Lisa anajielewa
Nimempenda bwana hapo kaongea kiume at least
Ila unaongeaga kiume sana
huyo kinyozi nae ni mmbea amalizii tuuuuh hhaha
😂😂😂umemuona pia ww ee
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
napenda mapenzi yenu bwana kusa
Unapenda mapenzi yao na nani
Video viksa atakuwa yeye ruby
Kwenye video vixen akae ruby ndo itanoga zaidi
Sana
😂😂😂😂😂
Kwenda wewe mchaga bossi wako umuonagi nkiwa na mVidio vixer🤮🤮😊