ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
yaani jaa yenu ijije ikaleta uchafuzi wa ichi yetu kwanza sijui kakuleta nani sisi tunataka amani
Safiiiiiii,safi sanaaaaaaa,TUNDU LISU KIBOKO YA WASIOJULIKANA,NASEMANE,NASEMAJE,SAFIIIIIIII,SAFI SANAAAAAA.
yaani nyie kuonekana mtandao unaona sifa
Huyu mtu tungempa urais hata miaka 2 atuwekee nchi kwenye mstari
Sahihi kabisa!
Lissu mtu makini sana, nchi hizi masikini huwezi kuficha jambo milele kuna watu watapenyeza taarifa tu. Lissu anao udhahidi wote na video
Hakika mungu atabaki kuwa mungu, hivi ukimuua mwenzako je wewe hautakufa, Kila nafsi itaonja mauti
Da pole sn, mana naamini ww ni jasiri na laiti ungekuw unapambana kwa ajili ya tumbo lako na familia yako, hakika ungeshanunuliwa na wazungu😂😂😂
Watu walijua tu kwamba watajulikana sasa makonda sabaya na felle n.k. mungu dhihirisha uwepo wako.
Kumbe tigo mko hivyo jamani, NAMI natumia tigo
Wew Acha unafiki lisu Tanzania ingekuwa ni ya babaangu leo ningempa uraisi
Kwa hiyo ndege zetu Chadema ndiyo mnazihujumu Kila mara Hilo tutalitangazia imma wa watanzania
Pumbavu
SEMA CHADEMA NI WATU WA FUJO SANA AISEE MITANDAONI SIJUI NDO SIASA YENU MNAPOIPELEKA
Kikubwa me nataka tu samia afe ugombee na ww mheshimiwa
Tunakuombea mungu atume ulinzi wa malaika akuzunguke❤
Hawa wanataka kuwatumia wananchi vibaya
Lisu wa watu
LEMA NA MBOYA KUWA NAO MAKINI LISU
Huyu jamaa kwanini watz ham amki na kumkemea kwa nguvu zote, yeye45
@@jumamustapha8254anataka haki yake ipatikane, ttz cc watanzania hatuhurumiani
Mimi namlaumu sana Samia kwa kuwaleta nchini. Ni bora mgekaa huko huko.
KABISA KABISA
Kabisaa huyu atatuharibia nchi yetu kenge huyu
@@godfreybeatus8396acha kumtusi baba yangu😂😂😂
Kwnn hauna huruma Kwa mtanzania mwenzako?
Yaani maelezo yako hufai kuwa rais hata kwa maongezi yako tu hayana mashiko
Vp ungepigwa risasi ww, je ungekaa kimya?